Simiyu Yetu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 18,949
- 4,643
mwaka huu lazima kampeni zisimame kusubiri mtu akiwa amekweda kutibiwa ujerumani.Alipokuwa anatangaza nia kule Arusha Lowasa alihutubia kwa dk 20. Juzi Mbeya kahutubia kwa dakika 16, Arusha Dakika 7 na Zanzibar Dakika 11. Hivi huyu Lowasa ataweza kuhutubia mikutano ya Kampeni zaidi ya minne kwa siku? Ataweza kuzunguka nchi nzima kama alivyokuwa anafanya Dr Slaa? Mwisho ataweza kuhutubia Bunge kwa masaa mawili hadi matatu? Ataweza kukagua paredi ya kijeshi? Mhhhh naanza kupata mashaka.