Elinewinga
JF-Expert Member
- Aug 16, 2011
- 632
- 175
Alitembea mikoa 27 kutafuta wathamini mbona hakuchoka?na sasa katembea mikoa 5 mbona hajachoka?Lowassa ni mzee wa vitendo na maamuzi magumu mtamkubali tuu
kama kuna mtu anajua kesho yake itakavyokuwa aseme..... kama ulivyojifunza kutumia simu na kompyuta mazingira yalivyokulazimu kujifunza.... nadahani pia mazingira yatamlazimu ajifunze kuongea mbele ya watu........
kawoli utanifahamu tuhahaaa naitaji kukufahamu
Alipokuwa anatangaza nia kule Arusha Lowassa alihutubia kwa dk 20. Juzi Mbeya kahutubia kwa dakika 16, Arusha Dakika 7 na Zanzibar Dakika 11. Hivi huyu Lowassa ataweza kuhutubia mikutano ya Kampeni zaidi ya minne kwa siku?
Ataweza kuzunguka nchi nzima kama alivyokuwa anafanya Dr Slaa? Mwisho ataweza kuhutubia Bunge kwa masaa mawili hadi matatu? Ataweza kukagua paredi ya kijeshi? Mhhhh naanza kupata mashaka.
unajibu majibu mepesi ya kijingaaaaaa. Unaambiwa Lowasa anaumwa na wewe unajibu mbona Kikwete alianguka. hii inamaanisha wote ni wagonjwa.
Alipokuwa anatangaza nia kule Arusha Lowassa alihutubia kwa dk 20. Juzi Mbeya kahutubia kwa dakika 16, Arusha Dakika 7 na Zanzibar Dakika 11. Hivi huyu Lowassa ataweza kuhutubia mikutano ya Kampeni zaidi ya minne kwa siku?
Ataweza kuzunguka nchi nzima kama alivyokuwa anafanya Dr Slaa? Mwisho ataweza kuhutubia Bunge kwa masaa mawili hadi matatu? Ataweza kukagua paredi ya kijeshi? Mhhhh naanza kupata mashaka.
Yetu macho, tarehe ya uchaguzi inaweza kusogezwa mbele kwa miezi mitatu zaidi
tusipoangalia.
Huyo Rais anayestaafu alikuwa anatupotezea muda kwa kuhutubia muda mrefu mpaka tunashindwa kuelewa alilenga nini hasa. Yaani longolongo zinakuwa nyingi na maccm ndo mlivyo kwa kuwa na longolongo sana bila maamuzi.
Sisi tunadhani Lowassa anajali muda na anahutubia kwa malengo bila kuwapotezea wananchi muda wa kufanya mambo mengine ya maendeleo kwa taifa.
Maadam kichwa chake kiko poa na kinatoa mafikara ya maana, anafaa kuliongoza taifa. kumbuka Rais wa Algeria anatembelea wheelchair na alishinda uchaguzi katika wheelchair hiyohiyo, hivyo sidhani akili yako kama ni nzuri kiasi kwamba huwezi kutanabahisha ni kitu gani unataka kwa Rais unayemtarajia.
Kama ni maguvu mbona kila siku Kinana anabeba madumu ya maji na matofali ya kujengea katika sanaa za chama lakini amekuwa proved failure?
Ukikasirika shauri yako
Lowassa ni mtendaji sio muongeaji. Hata hivyo ahutubie nini wakati kampeni hazijaanza? Ninyi mnataka maneno au vitendo? Hao wanaoongea wamefanya nini zaidi ya kutalii duniani kwa pesa zetu? Lowassa sio msanii ni mtendaji na cha kufanya kinaeleweka sasa ukae unahutubia kupoteza muda wa kufanya maendeleo ili iwe nini?!Alipokuwa anatangaza nia kule Arusha Lowassa alihutubia kwa dk 20. Juzi Mbeya kahutubia kwa dakika 16, Arusha Dakika 7 na Zanzibar Dakika 11. Hivi huyu Lowassa ataweza kuhutubia mikutano ya Kampeni zaidi ya minne kwa siku?
Ataweza kuzunguka nchi nzima kama alivyokuwa anafanya Dr Slaa? Mwisho ataweza kuhutubia Bunge kwa masaa mawili hadi matatu? Ataweza kukagua paredi ya kijeshi? Mhhhh naanza kupata mashaka.
Jambo la msingi kuhutubia kwa muda mrefu? Ahutubie kwa muda mrefu ili iwe nini? Mtu anayejua cha kufanya huwa haongei sana ila wale wenye midomo kama chiriku ndio huongea sana lakini utendaji ni sifuri na kila siku utakuta wanazunguka ughaibuni kwa kutumia kodi zetu. Mkitaka mahubiri nendeni kanisani. Sisi tunataka raisi mtendaji sio msemaji!Haya sasa subiri matusi na kuitwa Magamba, angalau umezungumza jambo la msingi sana.
usiwe na hofu nimipango ya mungu ashikishwe adabu amewaibia watanzania mda mrefu,nilipost thread yenye mrengo huu asubuhi wameisogeza mbali,muwaache watu wajadili.alipokuwa anatangaza nia kule arusha lowassa alihutubia kwa dk 20. Juzi mbeya kahutubia kwa dakika 16, arusha dakika 7 na zanzibar dakika 11. Hivi huyu lowassa ataweza kuhutubia mikutano ya kampeni zaidi ya minne kwa siku?
Ataweza kuzunguka nchi nzima kama alivyokuwa anafanya dr slaa? Mwisho ataweza kuhutubia bunge kwa masaa mawili hadi matatu? Ataweza kukagua paredi ya kijeshi? Mhhhh naanza kupata mashaka.