kadoda11
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 21,453
- 20,757
dah!!,we mkuu umenivunja mbavu sana.jamaa ana rep power zero.SMHJoin Date : 2nd April 2012
Posts : 3,317
Rep Power : 0
Likes Received608
Likes Given184

Lowasa hafai ni mchafu kila mahala slaa hawezi kukaa meza moja na mafisadi hata kidogo.
Hapa siropoki. Naandika facts. Nasema baada ya tafakuri ya kutosha. Nimefanya tafakuri,pamoja na kiburi mashuhuri cha kichama, na kugundua kwa kuona na kusikia kuwa Lowassa atashinda uchaguzi wa mwaka huu. Ninaposema hapa ninahuzuni kubwa kwa chama changu. Ninausema ukweli huu mchungu kwangu kama kada mzoefu na hata nisiyemkubali Lowassa. Lakini,wacha niseme. Atabezwa lakini ukweli u wazi.
Lowassa atashinda. Kwanza, ana wapigakura. Pili,ana walindakura. Tatu, ana mfumo wenye mvumo tangu 2010. Amejiandaa na kuandalika. Hakika,Lowassa ana ushawishi na ufuasi mkubwa ndani na nje ya CCM;ndani na nje ya upinzani ambapo ndipo alipo. Kilichobaki,kama njia ya kumkwamisha ni kumshtaki tu kwa makosa ya jinai. Kumshtaki kutadhihirisha 'uchafu' wake tunaousema na kuutegemea kichama. Amasivyo, Lowassa hazuiliki kwenye boksi la kura.
Lowassa sasa ni mpinzani. Anapingana na chama tawala. Naye ameruhusu kushtakiwa kama kuna ushahidi wa Richmond na kashfa nyinginezo ambapo alitajwatajwa. Kwakuwa amejiunga na akina Dr. Slaa, Mbowe, Lissu, Maalim Seif, Juma Duni Haji, na wengineo waliozoea kushtakiwa naye ashtakiwe kama kuna ushahidi. Lowassa hana tena ulinzi na kinga ya kichama kama zamani (kama uliwahi kuwepo). Nini kikwamishe tena ikiwa yeye ni mkosaji na ni mpinzani?
Wapo walio CCM ambao watapiga kura kwa Lowassa. Wapo humu kimaslahi tu. Wapo watakaompigia 'kura za huruma' asiposhtakiwa. Wapo wanaohama chama sasa,wakihama na wafuasi wao ima kiakili au kimwili. Chama kinatikisika.Chama kinapasuka ingawa,kisiasa, inatupasa kujikaza kiume. Akikusanya wa humu, wa mle na wale walio huru anashinda. Hatahivyo, mpambano wa Oktoba utakuwa wa karne!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Hizo salamu wafikishie Mbayuwayu wote kule CCM!! hakuna cha mashitaka wala shangazi mashitaka yoyote dhidi ya EL; mashitaka ya aina yoyote dhidi yake hususani yanayohusu Richmond yamepitwa na wakati! ni time barred in legal speak; kama hujui, kamuulize Mtikila!
EL alijiuzulu 2008; kama mlisita kumshitaki wakati huo kwa maslahi yenu ya kichama cha majizi na majangili; basi mmeula wa chuya!! EL hakamatiki tena;; na msilogwe wala kujitoa akili mkamdhuru kimwili; NJI hii Amani itakuwa bye bye!
Magufuri wenyewe hana plan na nchi yetu ...yupo tu ilimradi...kila siku utasikia"kwan nawaangusha ...sijawaangushaa..."kama rais mtarajiwa sema unataka tanzania iweje baada ya ww kuondoka au watanzania wawe vp...?
Lowasa achukue tu nnchi maana hakuna namna sasa
Si umeona hata Raisi wake analilia lia
MUSSA ALAN na acampo four pia. ...
Lowasa hafai ni mchafu kila mahala slaa hawezi kukaa meza moja na mafisadi hata kidogo.
Poa ngoja tumchague lowassa na ukawa oyeeee
Mliniita MREMA, nikanyamaza, mkaniita Mbowe nikanyamaza, mkaniita PADRI nikanyamaza, lakini Hili jina LOWASSA....... hapo Lumumba litakwenda na mtu......
Mshachelewa chochote kitakachofanyika kwake ni kumuongezea umaarufu
Hapa siropoki. Naandika facts. Nasema baada ya tafakuri ya kutosha. Nimefanya tafakuri,pamoja na kiburi mashuhuri cha kichama, na kugundua kwa kuona na kusikia kuwa Lowassa atashinda uchaguzi wa mwaka huu. Ninaposema hapa ninahuzuni kubwa kwa chama changu. Ninausema ukweli huu mchungu kwangu kama kada mzoefu na hata nisiyemkubali Lowassa. Lakini,wacha niseme. Atabezwa lakini ukweli u wazi.
Lowassa atashinda. Kwanza, ana wapigakura. Pili,ana walindakura. Tatu, ana mfumo wenye mvumo tangu 2010. Amejiandaa na kuandalika. Hakika,Lowassa ana ushawishi na ufuasi mkubwa ndani na nje ya CCM;ndani na nje ya upinzani ambapo ndipo alipo. Kilichobaki,kama njia ya kumkwamisha ni kumshtaki tu kwa makosa ya jinai. Kumshtaki kutadhihirisha 'uchafu' wake tunaousema na kuutegemea kichama. Amasivyo, Lowassa hazuiliki kwenye boksi la kura.
Lowassa sasa ni mpinzani. Anapingana na chama tawala. Naye ameruhusu kushtakiwa kama kuna ushahidi wa Richmond na kashfa nyinginezo ambapo alitajwatajwa. Kwakuwa amejiunga na akina Dr. Slaa, Mbowe, Lissu, Maalim Seif, Juma Duni Haji, na wengineo waliozoea kushtakiwa naye ashtakiwe kama kuna ushahidi. Lowassa hana tena ulinzi na kinga ya kichama kama zamani (kama uliwahi kuwepo). Nini kikwamishe tena ikiwa yeye ni mkosaji na ni mpinzani?
Wapo walio CCM ambao watapiga kura kwa Lowassa. Wapo humu kimaslahi tu. Wapo watakaompigia 'kura za huruma' asiposhtakiwa. Wapo wanaohama chama sasa,wakihama na wafuasi wao ima kiakili au kimwili. Chama kinatikisika.Chama kinapasuka ingawa,kisiasa, inatupasa kujikaza kiume. Akikusanya wa humu, wa mle na wale walio huru anashinda. Hatahivyo, mpambano wa Oktoba utakuwa wa karne!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Shikoroooobooooo...Hapa siropoki. Naandika facts. Nasema baada ya tafakuri ya kutosha. Nimefanya tafakuri,pamoja na kiburi mashuhuri cha kichama, na kugundua kwa kuona na kusikia kuwa Lowassa atashinda uchaguzi wa mwaka huu. Ninaposema hapa ninahuzuni kubwa kwa chama changu. Ninausema ukweli huu mchungu kwangu kama kada mzoefu na hata nisiyemkubali Lowassa. Lakini,wacha niseme. Atabezwa lakini ukweli u wazi.
Lowassa atashinda. Kwanza, ana wapigakura. Pili,ana walindakura. Tatu, ana mfumo wenye mvumo tangu 2010. Amejiandaa na kuandalika. Hakika,Lowassa ana ushawishi na ufuasi mkubwa ndani na nje ya CCM;ndani na nje ya upinzani ambapo ndipo alipo. Kilichobaki,kama njia ya kumkwamisha ni kumshtaki tu kwa makosa ya jinai. Kumshtaki kutadhihirisha 'uchafu' wake tunaousema na kuutegemea kichama. Amasivyo, Lowassa hazuiliki kwenye boksi la kura.
Lowassa sasa ni mpinzani. Anapingana na chama tawala. Naye ameruhusu kushtakiwa kama kuna ushahidi wa Richmond na kashfa nyinginezo ambapo alitajwatajwa. Kwakuwa amejiunga na akina Dr. Slaa, Mbowe, Lissu, Maalim Seif, Juma Duni Haji, na wengineo waliozoea kushtakiwa naye ashtakiwe kama kuna ushahidi. Lowassa hana tena ulinzi na kinga ya kichama kama zamani (kama uliwahi kuwepo). Nini kikwamishe tena ikiwa yeye ni mkosaji na ni mpinzani?
Wapo walio CCM ambao watapiga kura kwa Lowassa. Wapo humu kimaslahi tu. Wapo watakaompigia 'kura za huruma' asiposhtakiwa. Wapo wanaohama chama sasa,wakihama na wafuasi wao ima kiakili au kimwili. Chama kinatikisika.Chama kinapasuka ingawa,kisiasa, inatupasa kujikaza kiume. Akikusanya wa humu, wa mle na wale walio huru anashinda. Hatahivyo, mpambano wa Oktoba utakuwa wa karne!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Acha kutupa tupa uchafu. Lowassa labda atashinda na njaa uchaguzi mkuuHapa siropoki. Naandika facts. Nasema baada ya tafakuri ya kutosha. Nimefanya tafakuri,pamoja na kiburi mashuhuri cha kichama, na kugundua kwa kuona na kusikia kuwa Lowassa atashinda uchaguzi wa mwaka huu. Ninaposema hapa ninahuzuni kubwa kwa chama changu. Ninausema ukweli huu mchungu kwangu kama kada mzoefu na hata nisiyemkubali Lowassa. Lakini,wacha niseme. Atabezwa lakini ukweli u wazi.
Lowassa atashinda. Kwanza, ana wapigakura. Pili,ana walindakura. Tatu, ana mfumo wenye mvumo tangu 2010. Amejiandaa na kuandalika. Hakika,Lowassa ana ushawishi na ufuasi mkubwa ndani na nje ya CCM;ndani na nje ya upinzani ambapo ndipo alipo. Kilichobaki,kama njia ya kumkwamisha ni kumshtaki tu kwa makosa ya jinai. Kumshtaki kutadhihirisha 'uchafu' wake tunaousema na kuutegemea kichama. Amasivyo, Lowassa hazuiliki kwenye boksi la kura.
Lowassa sasa ni mpinzani. Anapingana na chama tawala. Naye ameruhusu kushtakiwa kama kuna ushahidi wa Richmond na kashfa nyinginezo ambapo alitajwatajwa. Kwakuwa amejiunga na akina Dr. Slaa, Mbowe, Lissu, Maalim Seif, Juma Duni Haji, na wengineo waliozoea kushtakiwa naye ashtakiwe kama kuna ushahidi. Lowassa hana tena ulinzi na kinga ya kichama kama zamani (kama uliwahi kuwepo). Nini kikwamishe tena ikiwa yeye ni mkosaji na ni mpinzani?
Wapo walio CCM ambao watapiga kura kwa Lowassa. Wapo humu kimaslahi tu. Wapo watakaompigia 'kura za huruma' asiposhtakiwa. Wapo wanaohama chama sasa,wakihama na wafuasi wao ima kiakili au kimwili. Chama kinatikisika.Chama kinapasuka ingawa,kisiasa, inatupasa kujikaza kiume. Akikusanya wa humu, wa mle na wale walio huru anashinda. Hatahivyo, mpambano wa Oktoba utakuwa wa karne!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Hapa siropoki. Naandika facts. Nasema baada ya tafakuri ya kutosha. Nimefanya tafakuri,pamoja na kiburi mashuhuri cha kichama, na kugundua kwa kuona na kusikia kuwa Lowassa atashinda uchaguzi wa mwaka huu. Ninaposema hapa ninahuzuni kubwa kwa chama changu. Ninausema ukweli huu mchungu kwangu kama kada mzoefu na hata nisiyemkubali Lowassa. Lakini,wacha niseme. Atabezwa lakini ukweli u wazi.
Lowassa atashinda. Kwanza, ana wapigakura. Pili,ana walindakura. Tatu, ana mfumo wenye mvumo tangu 2010. Amejiandaa na kuandalika. Hakika,Lowassa ana ushawishi na ufuasi mkubwa ndani na nje ya CCM;ndani na nje ya upinzani ambapo ndipo alipo. Kilichobaki,kama njia ya kumkwamisha ni kumshtaki tu kwa makosa ya jinai. Kumshtaki kutadhihirisha 'uchafu' wake tunaousema na kuutegemea kichama. Amasivyo, Lowassa hazuiliki kwenye boksi la kura.
Lowassa sasa ni mpinzani. Anapingana na chama tawala. Naye ameruhusu kushtakiwa kama kuna ushahidi wa Richmond na kashfa nyinginezo ambapo alitajwatajwa. Kwakuwa amejiunga na akina Dr. Slaa, Mbowe, Lissu, Maalim Seif, Juma Duni Haji, na wengineo waliozoea kushtakiwa naye ashtakiwe kama kuna ushahidi. Lowassa hana tena ulinzi na kinga ya kichama kama zamani (kama uliwahi kuwepo). Nini kikwamishe tena ikiwa yeye ni mkosaji na ni mpinzani?
Wapo walio CCM ambao watapiga kura kwa Lowassa. Wapo humu kimaslahi tu. Wapo watakaompigia 'kura za huruma' asiposhtakiwa. Wapo wanaohama chama sasa,wakihama na wafuasi wao ima kiakili au kimwili. Chama kinatikisika.Chama kinapasuka ingawa,kisiasa, inatupasa kujikaza kiume. Akikusanya wa humu, wa mle na wale walio huru anashinda. Hatahivyo, mpambano wa Oktoba utakuwa wa karne!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
nausubiri kwa hamu huo mpambano wa october,tayari nina silaha yangu mkononi kuitumia kuwachinjilia mbali masisiemu.kudadadeki zenu.
![]()