acha kumtisha bana, hii ni Tanzania sio Rwanda. Huyo anaenda kupoteza muda wake tu siku ya uchaguzi.Mkuu umefanya kosa kubwa sana kuonyesha hiyo barcode......dah sijui kama kitengo kitakuacha salama............
acha kumtisha bana, hii ni Tanzania sio Rwanda. Huyo anaenda kupoteza muda wake tu siku ya uchaguzi.Mkuu umefanya kosa kubwa sana kuonyesha hiyo barcode......dah sijui kama kitengo kitakuacha salama............
Asiposhitakiwa au asipouawa???!!!!
tayari nimewatega magamba ili wanipe mpunga nami niwapigie kura.huoni nimeacha QR code wazi?.😛hoto:Duh ungeweka wazi upewe mpunga
kama unazungumzia CCM kuiba kura,hilo siwezi bisha.ila usisahau,EL alishawahi kuzungumza kuwa mbinu ambazo adui huzitumia kushinda chaguzi,yeye anazijua.kazi ipo mwaka huu.acha kumtisha bana, hii ni Tanzania sio Rwanda. Huyo anaenda kupoteza muda wake tu siku ya uchaguzi.
Wewe chizi maharifa, afiche ili iweje??? Kwani ni kosa kuonyesha kitambulisho chako??? Hata kama majina yangetokea, kitengo kingefanya nini?? Acha upopoma
nausubiri kwa hamu huo mpambano wa october,tayari nina silaha yangu mkononi kuitumia kuwachinjilia mbali masisiemu.kudadadeki zenu.
![]()
nimeziacha makusudi ili wewe mjinga uzisome.😛hoto:
Mkuu umefanya kosa kubwa sana kuonyesha hiyo barcode......dah sijui kama kitengo kitakuacha salama............
:smile-big::redface::redface::redface:Haya kuna watu wajaaaanja...............!!!!!!!!!!
basi inapendeza twende pamoja tukaungane kuuangusha utawala wa muda mrefuhaina shida kaka,tayari baadhi wananitambua vizuri tu mkuu.mimi sio kama POPOMA (..jina kwenye mabano...) anayejificha nyuma kwa ID ya GENTAMYCINE.
Dr.Slaa kapishana na gari la mshahara
Jaribuni kunishitaki nitoboe siri
Lowasa hafai ni mchafu kila mahala slaa hawezi kukaa meza moja na mafisadi hata kidogo.
Kwanza mkuu....nitake radhi kwa kunitanabaisha na CCM........nilichokuwa najaribu kukueleza si kuwa umevunja sharia.....zilivuma tetesi kuwa kuna watu huwa wanazifanyia utundu hizo barcode kwa manufaa ya chama twawala.......na nikiwa kama mwana mabadiliko mwenzako nisingependa kuona kichinjio chako kikihujumiwa......kwani mapambano ndio kwanza yanaanza.........nimevunja sheria gani,labda tuanzie hapo kwanza.vijana wa lumumba kwa mikwara hamuwezekani.