Lowassa asiposhtakiwa, anashinda Uchaguzi mkuu

Lowassa asiposhtakiwa, anashinda Uchaguzi mkuu

Nape huko ...kwao kafunga goli la mkono naona Suleiman Methew analia tu...hiv lumumba kuna msafi .....lowasa alikuwa msafi ndo maana wamemkataaaa.......sasa subirini
 
Magufuri wenyewe hana plan na nchi yetu ...yupo tu ilimradi...kila siku utasikia"kwan nawaangusha ...sijawaangushaa..."kama rais mtarajiwa sema unataka tanzania iweje baada ya ww kuondoka au watanzania wawe vp...?
Lowasa achukue tu nnchi maana hakuna namna sasa
 
9RVR4QG.png

cc: kadoda11.MAGALEMWA..
sawa,
the bottom line is,ili huyo mtu apate details zangu,kwanza lazima awe na card yangu physically ili akai-scan anakokujua yeye,na sio kwa kutazama image copy ya kadi hiyo hapa JF.rudi shule upya kwa mwalimu wako IT.
 
hahaa naona umeshikilia kikatio chako
wee acha tu mkuu,kimekuwa talk of the thread,kila anaye comment kwenye hii thread, lazima aki-LIKE/akijadili kwa namna anayo elewa yeye.yaani kimefunika mpaka mada kuu.vijana wa CCM wana pressure sana.
 
Bavicha wanamambo ya kijinga kweli yani wewe leo unajiita mtu wa lumumba wakati upo ufipa na kundi lenu la kumwagia watu tindikali.

Usinikumbushe.. hivi Said Kubenea alimwagiwa tindikali na nani? je na mmiliki wa Home Shopping Center?

vema ukaongea kitu ulicho na ushahidi nacho, je wajua kumficha mhalifu ni kosa la jinai?
 
Hapa siropoki. Naandika facts. Nasema baada ya tafakuri ya kutosha. Nimefanya tafakuri,pamoja na kiburi mashuhuri cha kichama, na kugundua kwa kuona na kusikia kuwa Lowassa atashinda uchaguzi wa mwaka huu. Ninaposema hapa ninahuzuni kubwa kwa chama changu. Ninausema ukweli huu mchungu kwangu kama kada mzoefu na hata nisiyemkubali Lowassa. Lakini,wacha niseme. Atabezwa lakini ukweli u wazi.

Lowassa atashinda. Kwanza, ana wapigakura. Pili,ana walindakura. Tatu, ana mfumo wenye mvumo tangu 2010. Amejiandaa na kuandalika. Hakika,Lowassa ana ushawishi na ufuasi mkubwa ndani na nje ya CCM;ndani na nje ya upinzani ambapo ndipo alipo. Kilichobaki,kama njia ya kumkwamisha ni kumshtaki tu kwa makosa ya jinai. Kumshtaki kutadhihirisha 'uchafu' wake tunaousema na kuutegemea kichama. Amasivyo, Lowassa hazuiliki kwenye boksi la kura.

Lowassa sasa ni mpinzani. Anapingana na chama tawala. Naye ameruhusu kushtakiwa kama kuna ushahidi wa Richmond na kashfa nyinginezo ambapo alitajwatajwa. Kwakuwa amejiunga na akina Dr. Slaa, Mbowe, Lissu, Maalim Seif, Juma Duni Haji, na wengineo waliozoea kushtakiwa naye ashtakiwe kama kuna ushahidi. Lowassa hana tena ulinzi na kinga ya kichama kama zamani (kama uliwahi kuwepo). Nini kikwamishe tena ikiwa yeye ni mkosaji na ni mpinzani?

Wapo walio CCM ambao watapiga kura kwa Lowassa. Wapo humu kimaslahi tu. Wapo watakaompigia 'kura za huruma' asiposhtakiwa. Wapo wanaohama chama sasa,wakihama na wafuasi wao ima kiakili au kimwili. Chama kinatikisika.Chama kinapasuka ingawa,kisiasa, inatupasa kujikaza kiume. Akikusanya wa humu, wa mle na wale walio huru anashinda. Hatahivyo, mpambano wa Oktoba utakuwa wa karne!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam

Ktk watu ambao huwa wanasema kweli wewe ni mmoja wapo @VUTA NIKUVUTE ntakutafuta hata pm nikupongeze kwa kuwa mkweli
 
Wewe nae si mnafiki tu, unajifanya uko lumumba wakati muuza chips tu. Wewe tunakujua ni bavicha kwaiyo wala uaijisumbue. Na kwa taarifa yako lowassa hana ubavu kwa ccm.
Join Date : 2nd April 2012
Posts : 3,317
Rep Power : 0
Likes Received608
Likes Given184​
 
Hapa siropoki. Naandika facts. Nasema baada ya tafakuri ya kutosha. Nimefanya tafakuri,pamoja na kiburi mashuhuri cha kichama, na kugundua kwa kuona na kusikia kuwa Lowassa atashinda uchaguzi wa mwaka huu. Ninaposema hapa ninahuzuni kubwa kwa chama changu. Ninausema ukweli huu mchungu kwangu kama kada mzoefu na hata nisiyemkubali Lowassa. Lakini,wacha niseme. Atabezwa lakini ukweli u wazi.

Lowassa atashinda. Kwanza, ana wapigakura. Pili,ana walindakura. Tatu, ana mfumo wenye mvumo tangu 2010. Amejiandaa na kuandalika. Hakika,Lowassa ana ushawishi na ufuasi mkubwa ndani na nje ya CCM;ndani na nje ya upinzani ambapo ndipo alipo. Kilichobaki,kama njia ya kumkwamisha ni kumshtaki tu kwa makosa ya jinai. Kumshtaki kutadhihirisha 'uchafu' wake tunaousema na kuutegemea kichama. Amasivyo, Lowassa hazuiliki kwenye boksi la kura.

Lowassa sasa ni mpinzani. Anapingana na chama tawala. Naye ameruhusu kushtakiwa kama kuna ushahidi wa Richmond na kashfa nyinginezo ambapo alitajwatajwa. Kwakuwa amejiunga na akina Dr. Slaa, Mbowe, Lissu, Maalim Seif, Juma Duni Haji, na wengineo waliozoea kushtakiwa naye ashtakiwe kama kuna ushahidi. Lowassa hana tena ulinzi na kinga ya kichama kama zamani (kama uliwahi kuwepo). Nini kikwamishe tena ikiwa yeye ni mkosaji na ni mpinzani?

Wapo walio CCM ambao watapiga kura kwa Lowassa. Wapo humu kimaslahi tu. Wapo watakaompigia 'kura za huruma' asiposhtakiwa. Wapo wanaohama chama sasa,wakihama na wafuasi wao ima kiakili au kimwili. Chama kinatikisika.Chama kinapasuka ingawa,kisiasa, inatupasa kujikaza kiume. Akikusanya wa humu, wa mle na wale walio huru anashinda. Hatahivyo, mpambano wa Oktoba utakuwa wa karne!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam

Hizo salamu wafikishie Mbayuwayu wote kule CCM!! hakuna cha mashitaka wala shangazi mashitaka yoyote dhidi ya EL; mashitaka ya aina yoyote dhidi yake hususani yanayohusu Richmond yamepitwa na wakati! ni time barred in legal speak; kama hujui, kamuulize Mtikila!
EL alijiuzulu 2008; kama mlisita kumshitaki wakati huo kwa maslahi yenu ya kichama cha majizi na majangili; basi mmeula wa chuya!! EL hakamatiki tena;; na msilogwe wala kujitoa akili mkamdhuru kimwili; NJI hii Amani itakuwa bye bye!
 
Yaani wajinga ndio waliwawao mngejua lowasa kaja kuwapoteza mtakuja kumbuka slaa wakati wa mwisho eti mnataka kuutoa mfumo wakati mzizi was mfumo mmeuweka kwenu alafu mmempa nafasi ya buy kwa siku mbili Mnajiaminini nyie ebu mwangalien lowasa anavyojimini kana kwamba tanzAnia ni yake
 
sawa,
the bottom line is,ili huyo mtu apate details zangu,kwanza lazima awe na card yangu physically ili akai-scan anakokujua yeye,na sio kwa kutazama image copy ya kadi hiyo hapa JF.rudi shule upya kwa mwalimu wako IT.

-------
Mkuu kadoda11 ... hapa lengo ni kueleweshana na wala si ubishi


Kwanza ni lazima ujue kuwa not all barcode scanners zina uwezo wa ku-read hizo barcode kutoka kwenye sema iPhone au display device screen, inategemea na aina ya image sensor.

Sasa kwa upande wa CCD scanner zina uwezo wa ku-read barcode off LCD screen, sasa ukizingatia kuwa CCD ni teknologia ya zamani kidogo;

Kwa upande wa CMOS scanner hizi ni much better kuliko CCD scanner. Nafikiri unafahamu kuwa kuna baadhi ya event ticket sales na check in service kuna watu wengi huwa wanaonyesha tu tickets zao kutoka katika smartphones zao kabla ya ku-check in katika events, ambapo huwa wasimamizi huwa wana-scan online ticket barcode katika devices zao kama vile iPhone, iPad, Android, na pamoja na smartPhone n.k.

Mfano mzuri ni Arkscan's CMOS barcode scanners zinafanya kazi vizuri ambapo kuna mini scanner pamoja na gun version katika USB interface; pia kuna bluetooth wireless scanner pia ambapo unaweza uka-store the barcode number katika your App katika Android au IOS yako for future use.

Na technologia hii inatumika zaidi ya miaka miwili sasa!



Lt8MEBt.png
.​

ARKSCAN - Home, model # MT1297 works the best for scanning barcode off display device screen, hope it's helpful.


------
 
Last edited by a moderator:
Wakitoa ivyo vijihela vya escrow tunavibamiza bt kura UKAWA viva EL
 
Back
Top Bottom