Lowassa asiposhtakiwa, anashinda Uchaguzi mkuu

Lowassa asiposhtakiwa, anashinda Uchaguzi mkuu

VUTA-NKUVUTE

Mumechelewa Basi Lowassa anavyeti vya Takukuru kuwa yeye nimsafi hasa kwa kashifa ya Richmond!alisafishwa 2008 kuwa hana kashifa yoyoyte sasa kashifa nyingine ni hipi hapa ni kutafsiri sharia na upinzani ndo kuna nguri wa sharia CCM weupe katika maswala ya sharia Pole!!
 
Last edited by a moderator:
Mimi nasema Ccm,kushinda ilikuwa na nafasi bado ,sema kwa sasa viongozi tulio nao nakuwa siwaelewi,sijui hawajasoma upepo kuwa watz kwasasa hawahitaji ngonjera,Sasa kama Katibu Mkuu anaweza kusimama na kuita walioshindwa kupata nafasi kuwa ni makapi! Kwa maana kwamba: Bilali,pinda,Membe,Mwandosya,Ramadhani,Sitta....,waliotumikia Taifa hili ni Makapi? Kuweni na staha ya Uongozi na si kusema pasipo kupima athari.
 
Mkuu VUTA-NKUVUTE, ufahamu kuwa Lowassa anayajua mengi saana ambayo hakuweza kuyasema wakati huo, na ambayo akiyasema sasa panachimbika.

Kwa hiyo usidhani huko mahakamani, kutamzuwia Lowassa peke yake, kunaweza kuivuruga nchi pia.
 
nausubiri kwa hamu huo mpambano wa october,tayari nina silaha yangu mkononi kuitumia kuwachinjilia mbali masisiemu.kudadadeki zenu.
11223915_1035470039799078_848027710265389819_n.jpg

mkuu umeacha wazi QR-code,watu wanaweza kusoma na kukutambua pia kaka.

Ni mtazamo tuu lakini
 
Mkuu VUTA-NKUVUTE asante kwa kukubali hali halisi. Acha waendelee kutukana tu na kuwaita wenzao makapi? sasa watajisafisha, acha waende Chadema kwa mpango wa Mungu wakasafishwe na sisi wananchi tunakubali makapi tuyarekebishe. Makapi ya CCM yalituongoza kwa miaka kadhaa hakuna lolote. Karibuni makapi, njooni muungane. Mwaka huu kwa mara ya kwanza nitapiga kura!!!!!!! Huko nyuma nilikuwa ninababaisha tu.
 
Last edited by a moderator:
Si umeona hata Raisi wake analilia lia
 
nausubiri kwa hamu huo mpambano wa october,tayari nina silaha yangu mkononi kuitumia kuwachinjilia mbali masisiemu.kudadadeki zenu.
11223915_1035470039799078_848027710265389819_n.jpg

Mkuu ninaona fulana ya njano.. Nyuma imeandikwa chagua JK nini..?

Just kidding.. Mie mwenyewe ninacho changu.. October 25 kura ni kwa ukawa..
 
Mwanangu Tetty uko wapi unishauri cha kufanya?

Mzee Tupatupa
 
Last edited by a moderator:
nausubiri kwa hamu huo mpambano wa october,tayari nina silaha yangu mkononi kuitumia kuwachinjilia mbali masisiemu.kudadadeki zenu.
11223915_1035470039799078_848027710265389819_n.jpg

We kweli mjinga sana!
Umefuta mneno yanayo someka lakini hujafuta hizo security codes za kukutambua kirahisi.
Kwamba we huwezi kuzisoma haina maana hazisoimeki!!!
Ubavicha nao ni shida.
 
Watanzania ninaamini wengi wana Vichinjio vya tayari kwa Oktoba. Mtu asikuogopeshe. Katika chumba cha kupigia kura ni siri yako. Hata kama nilikupa ubwabwa au buku tano haijalilishi ni siri yako tu. Na akikudai mwambie nilikupigia labda walichakachua. Kwani anakuona? Vivaaaaaa Ukombozi.
 
lowasa anakura yangu hata kama sintakuwa nlipojiandikisha nitasafiri kumpigia kura huyu shetani CCM lazima apoteee
 
lowasa ia a political liability not an asset ,Dr W Slaa sio mjinga kukaa pembeni he knows what will happen

Dr slaa yupo na jumatatu anarudi kazini. Poleni magamba ya mamba
 

Attachments

  • IMG-20150805-WA0052.jpg
    IMG-20150805-WA0052.jpg
    99.7 KB · Views: 800
Wewe nae si mnafiki tu, unajifanya uko lumumba wakati muuza chips tu. Wewe tunakujua ni bavicha kwaiyo wala uaijisumbue. Na kwa taarifa yako lowassa hana ubavu kwa ccm.
 
Back
Top Bottom