Lowassa asiposhtakiwa, anashinda Uchaguzi mkuu

Lowassa asiposhtakiwa, anashinda Uchaguzi mkuu

We kweli mjinga sana!
Umefuta mneno yanayo someka lakini hujafuta hizo security codes za kukutambua kirahisi.
Kwamba we huwezi kuzisoma haina maana hazisoimeki!!!
Ubavicha nao ni shida.
nimeziacha makusudi ili wewe mjinga uzisome.😛hoto:
 
Bora umekua mkweli, wewe ni wa tatu kuongea ukweli alianza
1. Kingunge Ngombaru Mwiru
2. Pro. Mark Mandosya
3. Mzee Tupatupa
4. ..........

Nyie mnkaribishwa CDM kwa kuwa mnaujua ukweli

MUSSA ALAN na acampo four pia. ...
 
Mimi nasema Ccm,kushinda ilikuwa na nafasi bado ,sema kwa sasa viongozi tulio nao nakuwa siwaelewi,sijui hawajasoma upepo kuwa watz kwasasa hawahitaji ngonjera,Sasa kama Katibu Mkuu anaweza kusimama na kuita walioshindwa kupata nafasi kuwa ni makapi! Kwa maana kwamba: Bilali,pinda,Membe,Mwandosya,Ramadhani,Sitta....,waliotumikia Taifa hili ni Makapi? Kuweni na staha ya Uongozi na si kusema pasipo kupima athari.

Kweli mkuu.
 
nausubiri kwa hamu huo mpambano wa october,tayari nina silaha yangu mkononi kuitumia kuwachinjilia mbali masisiemu.kudadadeki zenu.
11223915_1035470039799078_848027710265389819_n.jpg
Mkuu umefanya kosa kubwa sana kuonyesha hiyo barcode......dah sijui kama kitengo kitakuacha salama............
 
mkuu umeacha wazi QR-code,watu wanaweza kusoma na kukutambua pia kaka.

Ni mtazamo tuu lakini
haina shida kaka,tayari baadhi wananitambua vizuri tu mkuu.mimi sio kama POPOMA (..jina kwenye mabano...) anayejificha nyuma kwa ID ya GENTAMYCINE.
 
Last edited by a moderator:
Bavicha wanamambo ya kijinga kweli yani wewe leo unajiita mtu wa lumumba wakati upo ufipa na kundi lenu la kumwagia watu tindikali.

Hakika shingo zenu zishashupazwa ndio baasi tena.
 
Mkuu umefanya kosa kubwa sana kuonyesha hiyo barcode......dah sijui kama kitengo kitakuacha salama............
nimevunja sheria gani,labda tuanzie hapo kwanza.vijana wa lumumba kwa mikwara hamuwezekani.
 
Lowasa hafai ni mchafu kila mahala slaa hawezi kukaa meza moja na mafisadi hata kidogo.

Nani aliye msafi ndani ya ccm mwandike tu humu angalao mmoja wewe mwenyewe mwizi na ndio maana ukaweka jina fake humu jitokeze tukujue mnafiki kama wanafiki wengine.
 
Lowasa hafai ni mchafu kila mahala slaa hawezi kukaa meza moja na mafisadi hata kidogo.

Mkuu unaposema lowassa ni mchafu je msafi ni nani dr slaa? no kuna mfanyakazi wa TPA mpaka leo analalamika kuporwa mke wake na huyo unaemuona msafi by the way 2nataka kiongoz wa kutuvusha kutoka hapa na ku2peleka pale 2ngekuwa 2nataka watakatifu 2ngewafata mapadre na mashehe ndo wagombee 2natafuta rais si papa au mufti
 
Bora umekua mkweli, wewe ni wa tatu kuongea ukweli alianza
1. Kingunge Ngombaru Mwiru
2. Pro. Mark Mandosya
3. Mzee Tupatupa
4. ..........

Nyie mnkaribishwa CDM kwa kuwa mnaujua ukweli

4.malima
 
Hapa siropoki. Naandika facts. Nasema baada ya tafakuri ya kutosha. Nimefanya tafakuri,pamoja na kiburi mashuhuri cha kichama, na kugundua kwa kuona na kusikia kuwa Lowassa atashinda uchaguzi wa mwaka huu. Ninaposema hapa ninahuzuni kubwa kwa chama changu. Ninausema ukweli huu mchungu kwangu kama kada mzoefu na hata nisiyemkubali Lowassa. Lakini,wacha niseme. Atabezwa lakini ukweli u wazi.

Lowassa atashinda. Kwanza, ana wapigakura. Pili,ana walindakura. Tatu, ana mfumo wenye mvumo tangu 2010. Amejiandaa na kuandalika. Hakika,Lowassa ana ushawishi na ufuasi mkubwa ndani na nje ya CCM;ndani na nje ya upinzani ambapo ndipo alipo. Kilichobaki,kama njia ya kumkwamisha ni kumshtaki tu kwa makosa ya jinai. Kumshtaki kutadhihirisha 'uchafu' wake tunaousema na kuutegemea kichama. Amasivyo, Lowassa hazuiliki kwenye boksi la kura.

Lowassa sasa ni mpinzani. Anapingana na chama tawala. Naye ameruhusu kushtakiwa kama kuna ushahidi wa Richmond na kashfa nyinginezo ambapo alitajwatajwa. Kwakuwa amejiunga na akina Dr. Slaa, Mbowe, Lissu, Maalim Seif, Juma Duni Haji, na wengineo waliozoea kushtakiwa naye ashtakiwe kama kuna ushahidi. Lowassa hana tena ulinzi na kinga ya kichama kama zamani (kama uliwahi kuwepo). Nini kikwamishe tena ikiwa yeye ni mkosaji na ni mpinzani?

Wapo walio CCM ambao watapiga kura kwa Lowassa. Wapo humu kimaslahi tu. Wapo watakaompigia 'kura za huruma' asiposhtakiwa. Wapo wanaohama chama sasa,wakihama na wafuasi wao ima kiakili au kimwili. Chama kinatikisika.Chama kinapasuka ingawa,kisiasa, inatupasa kujikaza kiume. Akikusanya wa humu, wa mle na wale walio huru anashinda. Hatahivyo, mpambano wa Oktoba utakuwa wa karne!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam

Ukawa/chadema bila slaa/prof inawezekana.
 
nausubiri kwa hamu huo mpambano wa october,tayari nina silaha yangu mkononi kuitumia kuwachinjilia mbali masisiemu.kudadadeki zenu.
11223915_1035470039799078_848027710265389819_n.jpg
hahaa naona umeshikilia kikatio chako
 
Ni kweli atashinda. SASA ni nani amshtaki? JK, Pinda, Mwankyembe, Takukuru au nani hasa?

Hawataweza na wakiweza ndio mtaona rangi halisi ya RICHMUND
 
Back
Top Bottom