Lowassa apigwa mawe Tarime

Hizo pesa anazo mwaga namna hii atazirudishaje, kama sio kuwapandishia kodi watanzania na kupitisha mikataba ya fake na hovyo!!!! Tafakari na chukuwa hatua.
 
Hii heading ya gazeti ina tafsiri nyingi sana, na inaonyesha uhalisia wa chama hiki Chadema.
"Akumbana na nguvu ya Chadema, vijana warusha mawe." Tafsiri ya hii sentensi ni kwamba Chadema ni chama kinachoasisi vijana wanaofanya vurugu kwenye mikutano ya kisiasa.
 
Usitegemee kuwa vyombo vya habari vita ripoti hii taarifa kwani mafisadi wameshavinunua.

Mimi nipo Tarime nimeshuhudia tukio
mkuu lowasa ni mafuriko hayazuiliki naona baada ya cd ya kusema lowasa ni mgonjwa kukosa soko mmekuja na nyngne ya mawe jana airport vijana walitaka kuvunja geti wakamsalimie lowasa Kangi lugola akafanya kazi kubwa kuwatuliza na kuomba geti lifunguliwe vijana wakamsalimia lowasa nakuhakikishia kua nguvu ya lowasa haizuliki trust me or not...ila upepo wa watanzania umegeukia upande wa lowasa mpaka bnafsi nmeshsngaa...Lowasa ni mpango wa Mungu kuna kitu ambacho Mungu anataka atufanyie watanzania kupitia lowasa hatuwezi kushindana na mpango wa Mungu ata tumtukane lowasa na kumsngizia kutokana na visasi vya makundi ya ndani na nje ya ccm lakini lowasa kwenye ili gemu hana mpinzani
 

Utasubiri saaanaaa.

Hicho kitu kikubwa unachosema anataka kutufanyia ni Ufisadi wa kuuza nchi tu.

Over
 


Wakurya wana hofu ya mungu hawawezi fanya hivyo,hiyo ni kazi ya teamwasira
 
Hatuwezi kumpokea fisadi aliyesababisha mpaka sasa hivi gharama za umeme ziko juu na tunayeseka kununua unit 1 kwa zaidi ya tsh300

mwanza hapa siku alipokuja kuna watu wameneemeka kwa sababu kuna mtu alinunua rover 4 mpaya kwa fedha za mavuno 2015.

Madosho na tunu mpoooo hapooo
 
Simpendi EL,
Lakini TanzaniaDaima mmeripoti habari kiushabiki sana
nawapenda UKAWA lakini unaweka kichwa kidogo cha habari ati
"Akumbanan na Nguvu ya Chadema, Vijana warusha mawe"
hivi hili nalo ni la kujisifia???
 
Viongozi Wezi ; Wananchi Wafanya Fujo / Wahuni....... Nchi itakwenda kweli ????

Sio haki wala busara kiongozi kukwapua mali (kama ikithibitika/imethibitishwa..) LAKINI sio vema wala busara kwa mwananchi kumfanyia fujo / kumpiga mwananchi mwenzake hata kama hakubaliani na anachofanya.., hizi fujo sio za kufurahia hata kidogo, busara na hekima imeanza kutushinda watanzania na hili sio kwa watangaza Nia peke yao leo wao kesho jirani zao sababu tu tofauti ya kiitikadi au allegation moja au nyingine
 
Huyu ndiye Lowassa aliyepokelewa kwa mawe
Bunda apatoshi mapokezi yakumpokea Lowassa Ngoyai Edward wakati wengine wakihaha kusaka wadhamini wengine ni mafuriko kila mmoja anataka kumdhamini. ‪#‎TEAMSAFARIYAMATUMANI‬#





 

hili jambazi bora lingepigwa hadi kifo au wangemkamata wa kamchoma moto.Lowasa jambazi mimi mwenyewe nilimkosa tofari la kichwa
 
Inaonesha kabisa Chadema ndio wafanya fujo kama gazeti lao lilivyosema.
Afu lile jimbo wanalikosa mara nyingine tena
 
Inasikitisha kweli.... Sijui waliofanya hicho kitendo kisicho na tafsiri nzuri walipata wapi ujasiri huo? Hakika ni hatari sana ktk zama hizi ka bado kuna watu wana husudu ktk mawazo potofu na maamuzi yasio na tija! Binafsi na laani sana kitendo hicho.... Kuna njia nyingi za kuonesha hisia zetu, kila mmoja atumie haki yake ya msingi "KURA" kutimiza azma yake maana vurugu sio suluhisho!!!!!
 
Kama ni kweli basi hao ni ccm na sio Chadema ..kwani cdm hawaba ujinga kama huo..
 
jaman hata kama lowasa ni mtendaji kiasi gani kwa afya ile bodi guard wake endapo atakuwa rais anakazi ya kuokota mtu kila siku ni dhoofu li hali sana jaman akapumzike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…