Lowassa apigwa mawe Tarime

Lowassa apigwa mawe Tarime

Apigwe tu! tumechoka kuongozwa na mafisadi.hongera wana wa Tarime.
 
Si wanasemaga mti wenye matunda ndiyo hupigwa mawe! Na hata Yesu alifanyiwa hivyo,na hata manabii walifanyiwa hivyo...
"THE WAR WITHIN CCM; WATANGAZA NIA"
 
shida yenu mmetawaliwa na upuzi fulani, ,fuatilieni kwa ndg zenu walioko trme au kwa aliyeangalia startv watawaambieni,,,
lowasa kazomewa ile mbaya na kuonesha vidole viwili,,ila mawe sijashudia walitupa wawili watatu hv

hizo ni rasharasha tu.
 
najua mwaka huu mtanunuliwa sana kwa kupewa viroba vya buree ili mtupigie viongozi wetu mawe..mtashindwa na fitina zenuu
 
Ikulu hatuwapi wahuni, mpaka mjirekebishe tabiaa yenu kisenge hiyo ya kurusha mawe Kama wendawazimu
 
huu ni uongo Wa mchana kweupe , Mimi nipo na Mzee kutafuta wadhamini mikoani hakuna hata mchanga au jiwe lililomgusa rais Wa watanzania Lowasa kwani anapendwa sana.

wanamara walitaka kumshika hata mkono kwa kumsalimia japo waguse mikono ya Lowasa ndipo tunaamanisha tafrani ya furaha ya kumuona Lowasa, kwani walimis sana kwa miaka saba ya kutokumuona
 
Lowassa atawatoa roho mwaka huu. Mafuriko hayazuiliwi kwa viganja.

Atawatoa hao ccm ,kuongea yenyewe ajui akija kukaa na kutizama pesa zilivyotiririka tunajua sukari itammaliza tu
 
Hivi hakukiona kile kibao pale mpakani ukitokea Musoma? Kimeandikwa hivi;
SASA UNAINGIA TARIME.
Huo ni ujumbe tosha kuwa hapo unapoingia bila kuambiwa karibu basi mambo yako ya hadaa yaache huko huko ulikotoka. Mtikila hawezi kusahau yaliyompata Tarime baada ya kuleta hadaa zake na kuonywa aache akadharau. Mpaka leo ukimnyoa kipara makovu ya kipigo kile bado yako kichwani mwake.
 
hili jambazi bora lingepigwa hadi kifo au wangemkamata wa kamchoma moto.Lowasa jambazi mimi mwenyewe nilimkosa tofari la kichwa
Hakuna kitu kibaya kama dharau.
Hapa kwetu inasemekana katika kile kipindi cha kuchafuka kwa hali ya hewa, kule dodoma kulikuwa na kikao kizito cha ccm na ikatokea mzee rukhsa alitakiwa kuhudhuria [hakuwa mjumbe] na kipindi kile dodoma hakukuwepo hoteli nyingi na alipofika mzee rukhsa hakupata mahala pa kupumzikia hivyo aliombwa mjumbe mmoja ambaye alikuwa na nyumba ya serikali kukaa naye hadi siku inayofuata ambapo angepatiwa mahala rasmi. Huyo mjumbe kwa madharau makubwa alikataa kabisa kumpokea. siku ya pili kwenye kikao hicho ambacho mzee rukhsa alialikwa mwisho wake alitoka kama rais wa zanzibar na baadaye rais wa nchi. Yule mjumbe alikosa raha sana na hata mzee rukhsa alipoonyesha ungwana mkubwa kwa kutokujali kwa lile tendo bado yule mjumbe alikosa raha sana.
Somo kwenu vijana ni kwamba mkisema/kuandika muwe mnabakisha kwani kuna kesho na hakuna ajuaye kesho hiyo italeta nini.
 
shida yenu mmetawaliwa na upuzi fulani, ,fuatilieni kwa ndg zenu walioko trme au kwa aliyeangalia startv watawaambieni,,,
lowasa kazomewa ile mbaya na kuonesha vidole viwili,ila mawe sijashudia walitupa wawili watatu hv



ndio umeandika nini apo kwenye red ....Lowasa atawatoa roho mwaka huu....hayo ni mafuriko hayazuiliki
 
KIBARAone

Hizo ni ndoto za chuki yaani atoe shs.40,000,000 kwa bodaboda 200 tu na hao wengine ni kiasi gani? jamaa akitembelea wilaya zote tz atatumia kiasi gani????? Hizo pesa zote azipate wapi? ingekuwa mnahamasisha watu wasijitokeze kumdhamini ningewaelewa lakini kupiga mawe? duu mko nyuma sana kwenye political tolerence.
Kitu cha kuwaelmisha ni kuwa kwenye siasa hakuna adui wakudumu wala rafiki wakudumu na ndiyo maana hata hao makamanda wenu wakiwa ndani ya mjengo wanakejeli sana wapinzani wao lakini nje ya mjengo wanakunywa na kula pamoja.
usilolijua kaka kaa kimya!!kuna mengine hayapaswi kujulikana manake ukisikia uipokaa unaweza kujitia kitanzi...ulivyo na moyo mdogo usijue kabisa...kaaa kimya
 
cdm n u waongo aise mtu kapigwa kaokolea napolice hata picha huna
eti koneshwa vidole picha hana eti karushia mawe mawili picha hakuna mtoa nyuzi kaa chizi kweli
 
Binafsi nafikiri kitendo hicho si cha kistaraabu,Kwani wangelimsikiliza then wakatae hoja zake!.But kuna historia mbaya itakayowafika hawa viongozi wetu,hususan walioko madarakani......'Kama watanzania watakumbuka vizuri,Serikali hii ya kikwete ndiyo serikali pekee ambayo viongozi wastaafu na hata wa upinzani wamedhalilishwa sana huku yeye aidha akiwa kimya au anachekelea na mwisho HACHUKUI HATUA NA HATA KUKEMEA TABIA HIZO.Alianza mkapa akazomewa...jk kimya...Mwinyi akapigwa kofi huku akiwa kama mwakilishi wake.....warioba akapigwa na makonda...akacheka...Lowasa naye .....kimya!!!!!..Nafikiri hata yeye akistaafu huenda yakamkuta!..Ni vyema watanzania tukapingana kwa hoja badala ya nguvu.
 
Back
Top Bottom