Lowassa apigwa mawe Tarime

Hana mvuto watu wanataka hoja za maana yeye anabwabwaja tu hata kuongea hajui kwa siasa za sasa? subiri CCM wampitishe. Atapigwa mawe nchi nzima, labda kasoro Monduli.

shida yenu mnajua siasa nikupiga makelele kama mnavyofanya, mnakuwa kama mnahubiri mapepo yatoke, hivi hamuoni wagombea wa USA, uk na kwingineko hata kenya tu hamna wapiga makelele ! Uraisi si saizi yenu Utawapwelepweta bure!!!
 
KIBARAone

Hizo ni ndoto za chuki yaani atoe shs.40,000,000 kwa bodaboda 200 tu na hao wengine ni kiasi gani? jamaa akitembelea wilaya zote tz atatumia kiasi gani????? Hizo pesa zote azipate wapi? ingekuwa mnahamasisha watu wasijitokeze kumdhamini ningewaelewa lakini kupiga mawe? duu mko nyuma sana kwenye political tolerence.
Kitu cha kuwaelmisha ni kuwa kwenye siasa hakuna adui wakudumu wala rafiki wakudumu na ndiyo maana hata hao makamanda wenu wakiwa ndani ya mjengo wanakejeli sana wapinzani wao lakini nje ya mjengo wanakunywa na kula pamoja.
 
Last edited by a moderator:
Wakati tumeshuhudia kwenye taarifa ya habari Itv watu walivyomlaki kwa upendo

Jipange ww
 
Acha matusi kijana. Usipanic.


Pale ITV waliripoti habar ya MUSOMA pekee. Na usitegemee George Marato aripoti taarifa mbaya ya Lowassa yule ni Team lowassa na huwa anaihujumu cdm sana hapa MUSOMA.

Kumbe ww chadema..
Basi nishajua ulichokuwa unamaanisha
 
Ndiyo mm ni cdm. Kwa Akili yako kubwa unafikiri mwana ccm yeyote anaweza ripoti hii taarifa.

Over

Sasa kwa taarifa yako tunawapiga point 3 huko huko kwenu na chadema yako ikiwemo alafu tukiingia pale kwenye jumba letu la miaka yote habari mtakuwa nayo
Waulize wenzenu wa lindi na mikoa mingine na upinzani wenu uchwala.

Kwanza umri wako please .
 
Nani asietumia pesa ndani ya CCM? Tena hao mnaowapigia chapua ndo laana kum
Tatizo la Lowassa ni mwanasiasa wa mwiaka ya 1977, habadiliki. Yeye anaamini pesa ndo njia ya kushinda. Watanzania wa leo sio wa miaka hiyo wanahitaji mtu, sio pesa yako wala chama chako.

Namkubusha kwenye uchaguzi wa jimbo la mbuge Nasari Arumeru, alitoa pesa nyingi kumsanidia ndugu yake aliyekuwa anagombea lakini hizo hela walikula na nyingine walimchangia Nasari.

Kambi yake mwambie abadilike ajipime kwa viwango vya uwezo na kukubalika yeye mwenyewe sio pesa na sio wachumia tumbu wanamfanya mtaji ,na mwisho atalalamikia CCM wamenihujumu kumbe yeye mwenyewe ndo tatizo.
 
Mi mpaka najishangaa sisi watanzania ni watu wa aina gani? Kwa maana mtu Mwizi,JambaZi, Jangiri Mafisadi Papa kama hawa wanaotuibia na kudhulumu wazi wazi eti Wanakuja kuomba Dhamana yetu tuwakabidhi inchi yaani tuhalalishe ujambazi wao?

Kweli Jamani yaani sisi ni wapole na wajinga kiasi hicho? Ninaa amini ndani ya kikosi cha Majambazi wapo pia mashushushu, basi tuwape mashushushu ili tuwe salama.

Nchi Za wenye msimamo hawa watu walitakiwa wawe tayari wamepelekwa kwenye mamlaka za milele siku nyingi saana.
Only from Tanzanians
 
Angejikalia nyumbani akala taratibu, Anajifanya kijana kuzunguka nchi nzima, magoti hayana supu ataweza?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom