Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 53,246
- 50,468
Na apigwe tu
Nawe ummo
Na apigwe tu
Yaani hilo tukio nimelishuhudia kwa macho yangu. Jamaa angejifanya kinganganizi wangemuua. Na cha ajabu alidondoka wakati anaondolewa naskia hali yake sio nzuri pamoja na afya yake mgogoro ndio doh! Balaa tupu.
hao ndo wana Akili na kuna uwezekano rais akatokea huko mara.jambazi mkubwa ngoja zama zake zina isha july.popote apitapo tunamjua ni fisadi tu.ngoja tumlie pesa zake mana ni kodi xetu alixotuibia.shame on him.
Lita 5 ndiyo full tank? acha uongo mkuu!
Usitegemee kuwa vyombo vya habari vita ripoti hii taarifa kwani mafisadi wameshavinunua.
Mimi nipo Tarime nimeshuhudia tukio
Pale kwenye vyombo vya habari wamerusha clips za Musoma na Bunda tu
ok , kwahiyo ni kweli kwamba mzee wetu amevurumishiwa mvua ya mawe ?Kilikuwa ni kikundi kidogo cha wahuni kilichokodiwa na mtangaza nia mmoja wa huko Mara.
Lowassa atawatoa roho mwaka huu. Mafuriko hayazuiliwi kwa viganja.
Usitegemee kuwa vyombo vya habari vita ripoti hii taarifa kwani mafisadi wameshavinunua.
Mimi nipo Tarime nimeshuhudia tukio
kama jk tena akiwa rais alipigwa mawe mbeya , itakuwa huyu raia mtia nia tu , tutafakari kwanza kabla ya kupinga .
Acha uongo wewe! / wana tarime wamempokea kwa mbwembwe sana/
KWANINI MTU ANABUNI UONGO NAMNA HII?
ngoja wapinge tu lkn habari ndiyo hiyo.
Mbona tibaijuka alizomewa huko jimboni kwake. Kwani lowassa ana tofauti gani na tibaijuka wakati wote ni kambi moja ya ufisadi?
shida yenu mmetawaliwa na upuzi fulani, ,fuatilieni kwa ndg zenu walioko trme au kwa aliyeangalia startv watawaambieni,,,
lowasa kazomewa ile mbaya na kuonesha vidole viwili,,ila mawe sijashudia walitupa wawili watatu hv