Lowassa apigwa mawe Tarime

Yaani hilo tukio nimelishuhudia kwa macho yangu. Jamaa angejifanya kinganganizi wangemuua. Na cha ajabu alidondoka wakati anaondolewa naskia hali yake sio nzuri pamoja na afya yake mgogoro ndio doh! Balaa tupu.

Aisee nyie watu wa tarime,mtakuja kumuua mutu!
 
Team maembe kwa style ya kucheza na ki board hamfiki popote sijui hii safari kama mtapita wami kuelekea magogoni mje iona chalinze.

Rais wa awamu ya 5 the Great EL atakuwa anazindua bunge kwa hotuba adimu
Hotuba adimu aitoe wapi, hata takwimu za peg 1 hawezi kuzitoa kichwani. Hata akipita kwanza hizo vurugu za kampein zikiisha kabla ya kuapishwa ataenda kulazwa Nigeria.
 
kama jk tena akiwa rais alipigwa mawe mbeya , itakuwa huyu raia mtia nia tu , tutafakari kwanza kabla ya kupinga .

Nasubiria kusikia lowassa kenda mbeya? maana JK hajarudi tena mbeya hadi anamalizia utawala wake...
 
sasa kama upo tarime kwanini uonyeshe hisia zako. wewe ni sawa na askari akilinda uwanjani anageuka kushangilia. au mwandishi unakuwa mshabikiaji. huo uzushi peleka huko
 
Watu wa Mara wameanza kujiona wana Rais baada ya watu watatu kuchukuwa form. Siku moja nilikuwa na mmoja wao na tayari wanasema wana rais na wengine wote wanaigiza. Hili linadhiirisha jambo ambalo siyo zuri.

Hizi sofa za kujipachika waache ni sifa zilizopitwa na wakati. Mleta Uzi siyo kwamba anatujenga watu wa Mara anawabomoa kwa kuwaonyesha siyo wavumilivu na wastaarabu. Hawa watu ni Waziri na wenye msimamo dhabiti lakini sifa unaowapachika ya kupiga kiongozi mawe hawana.

Pengine unaleta uzi huu kuwaharibia Muhongo, Makongoro na Wassira. Hii haikubaliki!
 
kipumbwi nimesoma observation zako; nilichokiewa kutoka kwako ni kwamba haujasoma alama za nyakati, hiki kipindi ni kipindi ambacho tunaelekea kwenye uchaguzi. Hivyo basi mada zote zinazohusiana na siasa lazima zibambe headlines, siyo ubaguzi ni hali ya mwelekeo.
 
Last edited by a moderator:
Watu wa Mara wameanza kujiona wana Rais baada ya watu watatu kuchukuwa form. Siku moja nilikuwa na Mmoja wao na tayari wanasema wana Rais na wengine wote wanaigiza. Hili linadhiirisha jambo ambalo siyo zuri.

Hizi sofa za kujipachika waache ni sifa zilizopitwa na wakati. Mleta Uzi siyo kwamba anatujenga watu wa Mara anawabomoa kwa kuwaonyesha siyo wavumilivu na wastaarabu. Hawa watu ni Waziri na wenye msimamo dhabiti lakini sifa unaowapachika ya kupiga kiongozi mawe hawana.

Pengine unaleta uzi huu kuwaharibia Muongo, Makongoro na Wasira. Hii haikubaliki!

Mbona TIBAIJUKA naye alizomewa huko jimboni kwake mkuu. Je huo nao ni ukaguzi? Hili Taifa kwa tulipofikia inatakiwa wananchi sasa wathubutu kwa kuwa chukulia mafisadi hatua kwani Mahakama zetu zinawalinda Mafisadi.

Watu wa Mara hatuna utani na wezi na wasaliti wa Taifa. Hata zzk alipo kuja hapa MUSOMA alizomewa na kilichomsaidia ni Escorts ya polisi.

Over
 
Kwa ubinafsi mnaongoza kwa fujo mnaongoza. Mwaka huu Lowassa atawatoa jasho. Na hizi chuki zitaisha.
 
mara mbona kunawezi wengi tu! mbona wajawahi kuwapiga mawe na iwe lowasa basi ni ukabila hapo.
 
KIBARAone Kabla ya kuvamia masuala ya ushabiki na demokrasia nadhani kuna haja ya watanzania kufunzwa UVUMILIVU....
 
Last edited by a moderator:
needeseela
1. Kanda maalum ya nini kule??!!!
2. Huo ni mtafaruku wa kwanza na viongozi. . . . ??!!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom