Lowassa anusurika kifo Morogoro


As a "Father of All" you have to learn to hate corruption in individuals without hating individuals.

It seems you cannot distinguish.
 
Pole sanaMh ENL
Pole sana ndg ENL nakumbuka uchapakazi wako ulipokuja mwaka 2007 pale Kibakwe ulisimamia mapinduzi ya kumttoa madarakani mwenyekiti wa kijiji fisadi ndg.Gabriel Ngoitanile Mwasamila...Nakuombea upate urais ili uonyesshe makucha yako kwa mafisadi...Big up
 
We sio greatthinkerto say so Mh, huyu ni mtu muhimu sana kwa mustakabari wa nchi yetu sahivi...jifunze kuona mbali.

Mungu ashukuliwe kwa kuepusha hili
Anaumuhimu gani mwizi mkubwa huyu? Nchi imekua kama mali yao bana! Atachangia sana makanisa na urais hapati.
 
I am Father of All not " a Father of All". Methinks I know what I am doing. Being who I am, I will nary trade my moral fibres with coins. I insist that the death of Lowassa for his victims is more than welcome. And so be it.
As a "Father of All" you have to learn to hate corruption in individuals without hating individuals.

It seems you cannot distinguish.
 
Halafu MOROGORO na ajali za Mawaziri wakuu, tena wote wanaitwa Edward na wote waasili ya kimasai........ooooh!

Tofauti ni kuwa yule alikufa ktk ajali huyu kanusurik- huko huko morogoro. Yule kifo kilikatiza uwaziri mkuu wake lakini huyu Richmond ili mtoa before time. Mmoja alichapa kazi kwa ajili ya maslahi ya wengi na mwingene alikuwa kwaajili ya tumbo lake na familia yake.

Pole kwa ajali mzee Lowassa....next time you have to fly kwenda au kipita via morogoro.
 
I am Father of All not " a Father of All". Methinks I know what I am doing. Being who I am, I will nary trade my moral fibres with coins. I insist that the death of Lowassa for his victims is more than welcome. And so be it.

If you have any moral fibre you would know that this declaration simply turns you into a Bin Laden.

A terrorist.

One who uses terror and force to solve problems.
 

Yeye EL ana ubinaadamu gani? Au hujui kupitia ufisadi wake waTanganyika wengi wanaendelea kupoteza maisha kwa kukosa tiba sahihi, elimu bora n.k.!!!???

Peleka kujipendekeza kwako kule Monduli sio hapa JF.
 
Yeye EL ana ubinaadamu gani? Au hujui kupitia ufisadi wake waTanganyika wengi wanaendelea kupoteza maisha kwa kukosa tiba sahihi, elimu bora n.k.!!!???

Peleka kujipendekeza kwako kule Monduli sio hapa JF.

Kwa hiyo kama EL hana ubinadamu ndo na wewe u descend kwake huko huko kwenye unyama?

Sasa utakuwa na moral high ground gani ya kumsema?

Kwa kuendeleza unyama utasaidiaje nchi kuushinda unyama?

Binadamu yeyote anayemtakia kifo binadamu mwingine kwa namna hii anajishusha ubinadamu wake.
 
Hivi hata majambazi, bora tu walikuwa mawaziri wakuu bado mnawapapatikia? Huyu alitakiwa kuwa lupango na rafiki yake wa Magogoni kwa hujuma ya uchumi.
 
Du hilo basi lingefanya kweli tungepunguza fisadi mmoja mkubwa na hatari! Mungu atusaidie ipatikane fursa nyingine ya kuondokewe na fisadi huyu mnafiki anayejifanya kuchangia makanisa wakati akiwaibiwa watanzania. May you perish fisadi!
Wewe utakua na matatizo kichwani mwako. Ama sijui unatumia nini sijui kufikiri.
Mtu mwenye akili timamu hawezi kushabikia mabaya yampate binadamu mwenzie, haijalishi ana ubaya kiasi gani,
Huo sio utamaduni wetu waafrika, hasa Tanzania
 

Angekufa mkono wa mungu ungekua haupo !?
 

upuuzi mtupu
 
Hapo bwawani ni hatari na ni rahisi sana kupata ajali...mwaka juzi dec 2011 nilikoswa kugongwa na basi la Princess Muro likitokea Dar nami nikitokea Morogoro.

Nilikuwa nimeshavuka daraja, nimeshapanda tuta pale kituoni na sasa naipa gari mafuta taratibu kupanda kilima na ile kona kama unaenda chalinze...tahamaki Muro lime-overtake tunaangaliana uso kwa uso, kilichonisaidia ni kuwa nilikuwa katika mwendo mdogo kama 30-40Km/H na pale kuna ile extension ya bus station kwa hiyo nikawahi kuingiza mguu wa kushoto kwenye majani faster na kurudi barabarani maana nyuma yangu kulikuwa na scania linakuja moto.

My Suggestion: Mnaondesha magari binafsi, chunga sana ukifika bwawani.

As for bwana Mamvi..nadhani bado sir God anakuhitaji katika hii dunia, so pray to him.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…