Lowassa anazidi kuwa mkiwa ndani ya CHADEMA!

Naona kama lowassa bado ni tishio kama mkutano mkuu pamoja na wajumbe wake bado wanamzungumzia ukiona watu wanakukalia vikao ujue uko juu mbona walio hama ccm ni wengi sio ed tu. Sh bil4 zimetumika kwa ajili ya kumsimanga mzee wawatu ila yeye kimya tu kama hayupo nchi hii
 
Muitaliano aitwaye Niccolò Machiavelli aliwahi kusema, ‘’Politics have no relation to morals’’.

We have to remember, Strive for power attracts hard-wired mind for bribery like a flame attracts moths. Politics is a damn expensive business kama msingi wake ni pesa.

Safari ya matumaini ya Lowassa kwa sasa imeanza kugeuka safari ya ukiwa hata mwaka mmoja haujapita. Ama kweli, A week is a long time in politics.

Wale watu waliokuwa wanaitwa Lowassa confidant kwa sasa wanamkimbia kama maji yanavyotiririka kutoka kwenye mlima.

Politically, Lowassa is dying while walking.

Aliyefungua mlango na kuanza kumkimbia baada ya uchaguzi Mkuu alikuwa Balozi Juma Mwapachu.

Aliyefuata nyuma alikuwa Goodluck ole Madeye.

Haukupita muda, akaibuka Mgana Msindai

Kabla hata siku haijapita akaibuka Jacqueline Wolper Massawe na kusema bye-bye.

Waliobaki kama Lowassa confidant kwa sasa ni Kingunge Ngombale–Mwiru na Hamisi Mgeja huku Frederick Sumaye akirudi chini ''mchangani'' kujijenga akitumaini kupambana na Lowassa katika nafasi ya Ugombea Urais.

Who is next after Jacqueline Wolper?

Tunaweza kukaa na kuanza kujifariji lakini ikumbukwe nyota njema huonekana asubuhi.

Kwa sasa hata baadhi ya CHADEMA die-hard wameanza kushtuka kuhusu hatima ya Lowassa ndani ya CHADEMA.

Wanaozifahamu vizuri siasa za Tanzania hawawezi kushangaa kinachomtokea Lowassa kwa sababu hata Augustino Mrema alipitia njia ile ile anayopitia Lowassa.

Don't bet your life on history repeating itself through Lowassa.

The man is in trouble!

Siyo muda mrefu atakapo baki peke yake ataanza kuvaa magwanda ya CHADEMA ili afanane na makamanda na ataanza kuongea lugha ya kikamanda as the last kick of dying horse.
kp28072015.jpg

Winners are not people who never fail, but people who never quit!!!
 
Hiyo sentensi ya mwisho nimeipenda sana umeipanga kiufundi sana.
 
Naona kama lowassa bado ni tishio kama mkutano mkuu pamoja na wajumbe wake bado wanamzungumzia ukiona watu wanakukalia vikao ujue uko juu mbona walio hama ccm ni wengi sio ed tu. Sh bil4 zimetumika kwa ajili ya kumsimanga mzee wawatu ila yeye kimya tu kama hayupo nchi hii
Yupo kimya kwa sababu hana uhakika na hii mahakama ya ufisadi kuna jamaa mmoja ameshasema atenda kutoa ushahidi hata kama hujachukua lakini hofu kidogo utapata
 
Why dont you use your time thinking about your future and your nation rather than always talking about Lowassa, Lowassa...?
Why don't you use your time thinking about your future and your nation than counter argument about Lowassa, Lowassa...
 
Hakuna siku ambayo wanachadema watafurahi kama siku wakisikia Lowasa ameachana Na siasa Na kuachana Na Chadema kabisa.

Lowasa ni kama ndoano kwenye koo la Chadema.!

Umesema kweli ndugu, yaani Mbowe anaona aibu jinsi gani ya kumtema ili chadema iwe huru. Na si Lowasa tu bali ni pamoja na genge alilokuja nalo kutoka ccm. Na ikiwa hivyo chadema itazaliwa upya na Mbowe itabidi naye angolewe uenyekiti.
 
Halafu wanasema sio maarufu! Mkutano mkuu wa chama badala ya kuzungumzia agenda zao, kila anaye simama bila kumtaja Lowasa hajapigiwa makofi.
Huyu mtu angekuwa fisi maji angeshawananiliu wote [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Umeshindwa kuhangaika na ACT yako Arusha ofisini yenu makao makuu naona imeshafungwa unahangaika na Lowasa
Muitaliano aitwaye Niccolò Machiavelli aliwahi kusema, ‘’Politics have no relation to morals’’.

We have to remember, Strive for power attracts hard-wired mind for bribery like a flame attracts moths. Politics is a damn expensive business kama msingi wake ni pesa.

Safari ya matumaini ya Lowassa kwa sasa imeanza kugeuka safari ya ukiwa hata mwaka mmoja haujapita. Ama kweli, A week is a long time in politics.

Wale watu waliokuwa wanaitwa Lowassa confidant kwa sasa wanamkimbia kama maji yanavyotiririka kutoka kwenye mlima.

Politically, Lowassa is dying while walking.

Aliyefungua mlango na kuanza kumkimbia baada ya uchaguzi Mkuu alikuwa Balozi Juma Mwapachu.

Aliyefuata nyuma alikuwa Goodluck ole Madeye.

Haukupita muda, akaibuka Mgana Msindai

Kabla hata siku haijapita akaibuka Jacqueline Wolper Massawe na kusema bye-bye.

Waliobaki kama Lowassa confidant kwa sasa ni Kingunge Ngombale–Mwiru na Hamisi Mgeja huku Frederick Sumaye akirudi chini ''mchangani'' kujijenga akitumaini kupambana na Lowassa katika nafasi ya Ugombea Urais.

Who is next after Jacqueline Wolper?

Tunaweza kukaa na kuanza kujifariji lakini ikumbukwe nyota njema huonekana asubuhi.

Kwa sasa hata baadhi ya CHADEMA die-hard wameanza kushtuka kuhusu hatima ya Lowassa ndani ya CHADEMA.

Wanaozifahamu vizuri siasa za Tanzania hawawezi kushangaa kinachomtokea Lowassa kwa sababu hata Augustino Mrema alipitia njia ile ile anayopitia Lowassa.

Don't bet your life on history repeating itself through Lowassa.

The man is in trouble!

Siyo muda mrefu atakapo baki peke yake ataanza kuvaa magwanda ya CHADEMA ili afanane na makamanda na ataanza kuongea lugha ya kikamanda as the last kick of dying horse.
kp28072015.jpg
 
CCM imekuwa ikjificha kwenye usanii na sio siasa bora za chama. Kitendo cha jpm kujaribu kutekeleza maazimio yake ni kukiumbua chama chake, yaani kitakuwa uchi na ndipo mwisho wake utahitimishwa. Magufuli itambidi aanzishe chama chake na wafuasi wake hawatakuwa hao waliopo sasa.
 
sijawai ona Mwanaccm kaandika kitu kutetea chama chake zaidi ya Lowassa unakuta mwanaume kajikunja anaandika ujinga Mara Lowassa ivi mara vile ***** kabisa
Hufahamu kama kuna wanaCHADEMA wanampinga Lowassa achilia mbali wanaCCM?
 
Ni kanuni ya jumla ya kimaumbile hapa duniani. Mti wenye matunda ndo hupopolewa mawe. Ukiishiwa matunda walioshikilia mawe utawaona wanayaweka chini mawe yao tena kwa hiari yao na kwenda zao. Hata wewe Mchambuzi. Ukiona huna haters wala warusha mawe basi jua kuwa you are finished. As far as Lowassa is concerned tuiache historia ichukue mkondo wake.
Kwa mantiki hiyo hata shetani ni mti wenye matunda.
 
Ha ha haas umenikumbusha ishu ya kuvaa gwanda....mmh kuna mijitu ilianza chokochoko ya gwanda mwisho kimyaaa. Ila utabiri wako ni sahihi...muda wa kuwa superior ukiisha atavaa gwanda ha ha haaa.
 
Wachumia tumbo hawaiwezi Ukawa, huku ni kunako majukumu ya kikazi kuliko maslahi binafsi tofauti na fikra zao, lazima watimke, hawapo tayari kwa safari, hii ni safari ya wana wa Israel mawakala wa farao hawawezi.
 
Who is Jackline Wolper?kwani alikua na wadhifa gani ndani ya Chadema!Hata hivyo kila mtu ana haki ya kuamua na kufuatia kile anachokiamini.Let us time talk.
 
Back
Top Bottom