habibu lisili
Member
- Jul 18, 2016
- 28
- 5
Trttt try tMafuriko ya kutengeneza kisanii yaliziba upeo wa fikra zao wakadhani Lowassa atakuwa Rais wa Tanzania baada ya 2015.
Trttt try tMafuriko ya kutengeneza kisanii yaliziba upeo wa fikra zao wakadhani Lowassa atakuwa Rais wa Tanzania baada ya 2015.
akubali ili aje athalilishwe kwa akili za kiBavicha za kuziba midomo kwa plasta?lowassa ana pesa, tofauti na unavyo fikiri, make wake alikataa kuteuliwa ubunge was viti maalum, jiulize alipata wapi huo ujasiri, lowassa anajua anacho kifanya , siasa anazijua nje ndani.
aliye andika hii post ameandika kiushabiki bila kuwa na fact.
Polisi wametanda nchi nzima wakishirikiana na TCRA kumkamata kila mwanaJF aliyepo huku hasa wenye lugha tata. Tukishakamatwa tutapelekwa sehemu moja wote halafu kila mmoja atasomewa post zake na comment zake halafu members watoe maoni yao juu ya comments zake humu JF na aanze kutukana Live tuone kama atamudu. Baada ya hapo tutatenganishwa, ukawa gereza lao na tawala gereza lao na simu zetu tuendelee kuchat tukiwa humo. Wasio na chama, watalazimika kuchagua mojawapo ya gereza kati ya hayo mawili. Punguza matusi kubaba.Msanii ni baba yako mzazi
Una maana gani?Sasa mchezo mchafu
Loading..........!Hakuna siku ambayo wanachadema watafurahi kama siku wakisikia Lowasa ameachana Na siasa Na kuachana Na Chadema kabisa.
Lowasa ni kama ndoano kwenye koo la Chadema.!
Mwl. Nyerere aliwahi kuvaa sare za CCM.Mbona Mwalimu Nyerere hakuonekana kuvaa migwanda yenu CCM? Je, hakuwa mwa CCM? Kukaa kimya ni busara wakati mwingine kuliko kuonyesha waupe wako.
Kila sentensi 2 za CCM lazima atajwe Lowasa.
No sir. It's politics. You "attack" your enemy. You strategize against him. You do this relentlessly until you are 100% sure that s/he is completely finished. Attacking your enemy is actually expected.Inashangaza sana. And, it's really annoying kusikia hizi kauli zisizoisha kuhusu mtu waliyehitimisha kuwa keshakufa kisiasa zaidi ya mwaka sasa. Nothing short of guilty conscience must be tormenting these people.
Hawa wote walikuwa washirika wa ufisadi. Leo hii hata JK anajinasibu kama mpambanaji dhidi ya ufisadi simply kwa vile alikuwa kwenye nafasi ya "utukufu" akatumia "ajali ya kisiasa" kumtosa "rafiki yake" EL. Ni bora waachane na Lowassa, waendelee kuweka sawa mikingamo ya kifisadi iliyokizonga chama chao. Just imagine JPM and JK being in the same boat! Lazima watafute topic ya Lowassa ili wapate kisingizio cha kujiona "ndugu".
uliona eeeeAu CHADEMA naona hata Magu jana alivumilia mwisho akashindwa akaitaja
You've said it.Lowassa political ideology yake ilikuwa ni kupata urais full stop. Na wafuasi wake wote political idelogies zao zilikuwa kupewa vyeo na kupewa fursa za dili. Baada ya kuona hawezi ku-achieve kila walichotegemea ni wazi hawawezi kuendelea kumuunga mkono. Wameshapiga mahesabu wakaona 2020 hakuna matumaini. Sasa wasubiri ni nini? Tena walivumilia na kumstahi sana! Wenzao kina msukuma, mama Sofia, Nchimbi etc walisoma alama ukutani na wakamkana kbla hata jogoo halijawika. Upande wa pili: Hiyo ndio hasara ya siasa za kiafrika. Siasa za kiafrika zime-base kwenye vyeo vs maslahi binafsi na sio ideology! Siasa za aina hii siku zote hazileti maendeleo ya maana kwani watu wanakuwa wanafiki na wanaangalia matumbo yao kuliko matatizo ya umma kwa ujumla.
Kiongozi kutaja chama cha upinzani na hata kukishambulia ni ajabu? Basi kama ni hivi siasa zetu ni very unique. Ma Republican na ma Democrat kule kwa waliotuletea hili dude demokrasia wanaparurana kweli non stop. Sisi hata kutaja tu jina la chama cha upinzani ni shida! Kazi ipo!uliona eeee
hahahahaKiongozi kutaja chama cha upinzani na hata kukishambulia ni ajabu? Basi kama ni hivi siasa zetu ni very unique. Ma Republican na ma Democrat kule kwa waliotuletea hili dude demokrasia wanaparurana kweli non stop. Sisi hata kutaja tu jina la chama cha upinzani ni shida! Kazi ipo!
Mbona umeishia kucheka kijana wa Nyamatare? Siasa sisi bana bado sana. Ukimtaja mpinzani wako na chama chake eti unamgwaya.hahahaha