Muitaliano aitwaye Niccolò Machiavelli aliwahi kusema, ‘’Politics have no relation to morals’’.
We have to remember, Strive for power attracts hard-wired mind for bribery like a flame attracts moths. Politics is a damn expensive business kama msingi wake ni pesa.
Safari ya matumaini ya Lowassa kwa sasa imeanza kugeuka safari ya ukiwa hata mwaka mmoja haujapita. Ama kweli, A week is a long time in politics.
Wale watu waliokuwa wanaitwa Lowassa confidant na Ulipo Tupo kwa sasa wanamkimbia kama maji yanavyotiririka kutoka kwenye mlima.
Politically, Lowassa is dying while walking.
Aliyefungua mlango na kuanza kumkimbia baada ya uchaguzi Mkuu alikuwa Balozi Juma Mwapachu.
Aliyefuata nyuma alikuwa Goodluck ole Madeye.
Haukupita muda, akaibuka Mgana Msindai
Kabla hata siku haijapita akaibuka Jacqueline Wolper Massawe na kusema bye-bye.
Waliobaki kama Lowassa confidant kwa sasa ni Kingunge Ngombale–Mwiru na Hamisi Mgeja huku Frederick Sumaye akirudi chini ''mchangani'' kujijenga akitumaini kupambana na Lowassa katika nafasi ya Ugombea Urais.
Who is next after Jacqueline Wolper?
Tunaweza kukaa na kuanza kujifariji lakini ikumbukwe nyota njema huonekana asubuhi.
Kwa sasa hata baadhi ya CHADEMA die-hard wameanza kushtuka kuhusu hatima ya Lowassa ndani ya CHADEMA kutokana na kuanza kujijenga huku akitoa matamko na kauli zinazotoa ishara kama yeye yuko juu ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa.
Wanaozifahamu vizuri siasa za Tanzania hawawezi kushangaa kinachomtokea Lowassa kwa sababu hata Augustino Mrema alipitia njia ile ile anayopitia Lowassa.
Don't bet your life on history repeating itself through Lowassa.
The man is in trouble!
Siyo muda mrefu atakapo baki peke yake ataanza kuvaa magwanda ya CHADEMA ili afanane na makamanda na ataanza kuongea lugha ya kikamanda as the last kick of dying horse.