Lowassa anazidi kuwa mkiwa ndani ya CHADEMA!

Lowassa anazidi kuwa mkiwa ndani ya CHADEMA!

Muitaliano aitwaye Niccolò Machiavelli aliwahi kusema, ‘’Politics have no relation to morals’’.

We have to remember, Strive for power attracts hard-wired mind for bribery like a flame attracts moths. Politics is a damn expensive business kama msingi wake ni pesa.

Safari ya matumaini ya Lowassa kwa sasa imeanza kugeuka safari ya ukiwa hata mwaka mmoja haujapita.

Wale watu waliokuwa wanaitwa Lowassa confidant kwa sasa wanamkimbia kama maji yanavyotiririka kutoka kwenye mlima.

Politically, Lowassa is dying while walking.

Aliyefungua mlango na kuanza kumkimbia baada ya uchaguzi Mkuu alikuwa Balozi Juma Mwapachu.

Aliyefuata nyuma alikuwa Goodluck ole Madeye.

Haukupita muda, akaibuka Mgana Msindai

Kabla hata siku haijapita akaibuka Jacqueline Wolper Massawe na kusema bye-bye.

Waliobaki kama Lowassa confidant kwa sasa ni Kingunge Ngombale–Mwiru na Hamisi Mgeja huku Frederick Sumaye akirudi chini ''mchangani'' kujijenga ili kupambana na Lowassa katika nafasi ya Ugombea Urais.

Tunaweza kukaa na kuanza kujifariji lakini ikumbukwe nyota njema huonekana asubuhi.

Kwa sasa hata baadhi ya CHADEMA die-hard wameanza kushtuka kuhusu hatima ya Lowassa ndani ya CHADEMA.

Wanaozifahamu vizuri siasa za Tanzania hawawezi kushangaa kinachomtokea Lowassa kwa sababu hata Augustino Mrema alipitia njia ile ile anayopitia Lowassa.

Don't bet your life on history repeating itself through Lowassa.

The man is in trouble!

Siyo muda mrefu atakapo baki peke yake ataanza kuvaa magwanda ya CHADEMA ili afanane na makamanda na ataanza kuongea lugha ya kikamanda as the last kick of dying horse.

"Ulipo tupo" wameanza kujirudisha mmoja-mmoja! Inaonekana baridi ni kali sana nje ya CCM

Kila sentensi 2 za CCM lazima atajwe Lowasa.

wanazidi kumpa chati.

Sijaona aliyejitanabaisha kama mwana CCM kwenye thread hii.

Au CHADEMA naona hata Magu jana alivumilia mwisho akashindwa akaitaja

Ni kanuni ya jumla ya kimaumbile hapa duniani. Mti wenye matunda ndo hupopolewa mawe. Ukiishiwa matunda walioshikilia mawe utawaona wanayaweka chini mawe yao tena kwa hiari yao na kwenda zao. Hata wewe Mchambuzi. Ukiona huna haters wala warusha mawe basi jua kuwa you are finished. As far as Lowassa is concerned tuiache historia ichukue mkondo wake.

Siku zote ukiona adui yako anakutaja ujue ana kuhofia

Kwanini asitaje cuf au act
 
Muitaliano aitwaye Niccolò Machiavelli aliwahi kusema, ‘’Politics have no relation to morals’’.

We have to remember, Strive for power attracts hard-wired mind for bribery like a flame attracts moths. Politics is a damn expensive business kama msingi wake ni pesa.

Safari ya matumaini ya Lowassa kwa sasa imeanza kugeuka safari ya ukiwa hata mwaka mmoja haujapita.

Wale watu waliokuwa wanaitwa Lowassa confidant kwa sasa wanamkimbia kama maji yanavyotiririka kutoka kwenye mlima.

Politically, Lowassa is dying while walking.

Aliyefungua mlango na kuanza kumkimbia baada ya uchaguzi Mkuu alikuwa Balozi Juma Mwapachu.

Aliyefuata nyuma alikuwa Goodluck ole Madeye.

Haukupita muda, akaibuka Mgana Msindai

Kabla hata siku haijapita akaibuka Jacqueline Wolper Massawe na kusema bye-bye.

Waliobaki kama Lowassa confidant kwa sasa ni Kingunge Ngombale–Mwiru na Hamisi Mgeja huku Frederick Sumaye akirudi chini ''mchangani'' kujijenga ili kupambana na Lowassa katika nafasi ya Ugombea Urais.

Tunaweza kukaa na kuanza kujifariji lakini ikumbukwe nyota njema huonekana asubuhi.

Kwa sasa hata baadhi ya CHADEMA die-hard wameanza kushtuka kuhusu hatima ya Lowassa ndani ya CHADEMA.

Wanaozifahamu vizuri siasa za Tanzania hawawezi kushangaa kinachomtokea Lowassa kwa sababu hata Augustino Mrema alipitia njia ile ile anayopitia Lowassa.

Don't bet your life on history repeating itself through Lowassa.

The man is in trouble!

Siyo muda mrefu atakapo baki peke yake ataanza kuvaa magwanda ya CHADEMA ili afanane na makamanda na ataanza kuongea lugha ya kikamanda as the last kick of dying horse.
Hatari sana,
Naona historia ya ndugu Lyatonga Mrema mwaka 1995 ikijirudia tena kwa ndugu Edward Lowasa tangu October 2015.
Ngoja tuone mwisho wake
1469368700764.jpg
 
sijawai ona Mwanaccm kaandika kitu kutetea chama chake zaidi ya Lowassa unakuta mwanaume kajikunja anaandika ujinga Mara Lowassa ivi mara vile ***** kabisa
 
Hakuna siku ambayo wanachadema watafurahi kama siku wakisikia Lowasa ameachana Na siasa Na kuachana Na Chadema kabisa.

Lowasa ni kama ndoano kwenye koo la Chadema.!
Mkuu hawawezi kukuelewa vijana wao, Chadema inahitaji mageuzi haraka. Chama sasa kinawategemea akina Yericko Nyerere na wanaheshimika na Mbowe kuliko akina Mnyika.
 
Tatizo la Ukawa ni kubwa kuliko tunavyodhani kwamba lowasa anafaa kuwa suluhisho lake. Lowasa anaongeza chumvi kwenye kidonda Cha matatizo ya Chadema kuliko kua tiba.
 
Na hili linadhihirisha wazi kiwango kidogo cha kufikiri cha wana hawa CCM. Kwa nini mnaogopa kivuli chenu wenyewe? KAMA MNAJIAMINI KWA NINI MWAPOTEZA MUDA NA MTU ASIYE NA CHOCHOTE WALA LOLOTE KWENU? Aibu kwenu!!
 
Lowasa hajawahi kuonekana ofisi za ufipa tangu ajiunge Chadema.

Lowasa hajawahi kuvaa magwanda tangu ajiunge Chadema.

Hii inaashiria nini??

Ipo siku atajisalimisha na kurudi ccm hapo ndio bavicha watagundua adui yao siyo ccm ,mbali ni Mbowe
 
Mbona Mwalimu Nyerere hakuonekana kuvaa migwanda yenu CCM? Je, hakuwa mwa CCM? Kukaa kimya ni busara wakati mwingine kuliko kuonyesha waupe wako.
 
Mafuriko ya kutengeneza kisanii yaliziba upeo wa fikra zao wakadhani Lowassa atakuwa Rais wa Tanzania baada ya 2015.
Lowassa political ideology yake ilikuwa ni kupata urais full stop. Na wafuasi wake wote political idelogies zao zilikuwa kupewa vyeo na kupewa fursa za dili. Baada ya kuona hawezi ku-achieve kila walichotegemea ni wazi hawawezi kuendelea kumuunga mkono. Wameshapiga mahesabu wakaona 2020 hakuna matumaini. Sasa wasubiri ni nini? Tena walivumilia na kumstahi sana! Wenzao kina msukuma, mama Sofia, Nchimbi etc walisoma alama ukutani na wakamkana kbla hata jogoo halijawika. Upande wa pili: Hiyo ndio hasara ya siasa za kiafrika. Siasa za kiafrika zime-base kwenye vyeo vs maslahi binafsi na sio ideology! Siasa za aina hii siku zote hazileti maendeleo ya maana kwani watu wanakuwa wanafiki na wanaangalia matumbo yao kuliko matatizo ya umma kwa ujumla.
 
Dah.. Prof. Katika miongo miwili iliyopita... Mitihani ambayo Ccm wamefaulu ni miwili tu.... Kumkata ENL na mtandao wake kisha chama kubaki imara pamoja na kushinda uchaguzi....[emoji41] [emoji41]
Ya mwisho si kweli ccm haikushinda uchaguzi kilichotokea wote tulikiona mengine ngoja tusiyaandike hapa kwakuwa ni "case sensitive" kwa ajili ya afya ya jukwaa na mimi pia
 
Ya mwisho si kweli ccm haikushinda uchaguzi kilichotokea wote tulikiona mengine ngoja tusiyaandike hapa kwakuwa ni "case sensitive" kwa ajili ya afya ya jukwaa na mimi pia
Dah.. Prof. Kwani hatuna rais wa URT?? Usizikilize hayo ya vichochoroni... Utaniangusha bana [emoji41] [emoji41]
 
Dah.. Prof. Kwani hatuna rais wa URT?? Usizikilize hayo ya vichochoroni... Utaniangusha bana [emoji41] [emoji41]
[emoji2] [emoji2] [emoji144] [emoji2] hapa tuishie hapahapa[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Back
Top Bottom