Lowassa anazidi kuwa mkiwa ndani ya CHADEMA!

Lowassa anazidi kuwa mkiwa ndani ya CHADEMA!

MsemajiUkweli

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2012
Posts
13,185
Reaction score
24,055
Muitaliano aitwaye Niccolò Machiavelli aliwahi kusema, ‘’Politics have no relation to morals’’.

We have to remember, Strive for power attracts hard-wired mind for bribery like a flame attracts moths. Politics is a damn expensive business kama msingi wake ni pesa.

Safari ya matumaini ya Lowassa kwa sasa imeanza kugeuka safari ya ukiwa hata mwaka mmoja haujapita. Ama kweli, A week is a long time in politics.

Wale watu waliokuwa wanaitwa Lowassa confidant na Ulipo Tupo kwa sasa wanamkimbia kama maji yanavyotiririka kutoka kwenye mlima.

Politically, Lowassa is dying while walking.

Aliyefungua mlango na kuanza kumkimbia baada ya uchaguzi Mkuu alikuwa Balozi Juma Mwapachu.

Aliyefuata nyuma alikuwa Goodluck ole Madeye.

Haukupita muda, akaibuka Mgana Msindai

Kabla hata siku haijapita akaibuka Jacqueline Wolper Massawe na kusema bye-bye.

Waliobaki kama Lowassa confidant kwa sasa ni Kingunge Ngombale–Mwiru na Hamisi Mgeja huku Frederick Sumaye akirudi chini ''mchangani'' kujijenga akitumaini kupambana na Lowassa katika nafasi ya Ugombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA.

Who is next after Jacqueline Wolper?

Tunaweza kukaa na kuanza kujifariji lakini ikumbukwe nyota njema huonekana asubuhi.

Kwa sasa hata baadhi ya CHADEMA die-hard wameanza kushtuka kuhusu hatima ya Lowassa ndani ya CHADEMA kutokana na kuanza kujijenga huku akitoa matamko na kauli zinazotoa ishara kama yeye yuko juu ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa.

Wanaozifahamu vizuri siasa za Tanzania hawawezi kushangaa kinachomtokea Lowassa kwa sababu hata Augustino Mrema alipitia njia ile ile anayopitia Lowassa.

Don't bet your life on history repeating itself through Lowassa.

The man is in trouble!

Siyo muda mrefu atakapo baki peke yake ataanza kuvaa magwanda ya CHADEMA ili afanane na makamanda na hapo ndipo ataanza kuongea lugha ya kikamanda as the last kick of dying horse.
kp28072015.jpg
 
Kila sentensi 2 za CCM lazima atajwe Lowasa.
Ni kanuni ya jumla ya kimaumbile hapa duniani. Mti wenye matunda ndo hupopolewa mawe. Ukiishiwa matunda walioshikilia mawe utawaona wanayaweka chini mawe yao tena kwa hiari yao na kwenda zao. Hata wewe Mchambuzi. Ukiona huna haters wala warusha mawe basi jua kuwa you are finished. As far as Lowassa is concerned tuiache historia ichukue mkondo wake.
 
lowasa kwa sasa amebanana sana na Hamis Mgeja. muda wote yuko naye. huenda anaogopa kukimbiwa na yeye kwenda ccm....
 
CCM wanateswa sana na Lowassa ndio maana Mkutano Mkuu wa Dodoma ajenda ilikuwa Lowassa , NEC ajenda ilikuwa Lowassa na Kamati Kuu ajenda ilikuwa Lowassa na sasa kwenye mitandao naona mmeelekezwa ajenda kuu iwe Lowassa na CHADEMA .Publicity anayoipata Lowassa hakuna mwanasiasa anaipata katika ukanda mzima wa Afrika as of now....
 
CCM wanateswa sana na Lowassa ndio maana Mkutano Mkuu wa Dodoma ajenda ilikuwa Lowassa , NEC ajenda ilikuwa Lowassa na Kamati Kuu ajenda ilikuwa Lowassa na sasa kwenye mitandao naona mmeelekezwa ajenda kuu iwe Lowassa na CHADEMA .Publicity anayoipata Lowassa hakuna mwanasiasa anaipata katika ukanda mzima wa Afrika as of now....
 
Why dont you use your time thinking about your future and your nation rather than always talking about Lowassa, Lowassa...?
 
Kamwe hawata msahau kwa alichowafanya, na bado mnaendelea kumuogopa.
Kwamba Lowassa anaogopwa?

Kwa usanii wake lazima aogopwe sana!

Kupambana na msanii wa kisiasa inahitaji fikra ya ziada au na wewe pia uwe ni msanii.
 
Brother Mimi sioni ulichoandika humu zaidi ya kingereza za ugoko!,kama hujui kufanya political analysis ukagundua threats (madhara) alotuachia lowassa kwenye chama chetu ni bora ukakae kimya kabisaaa!,ssa acha nikutajie baadha tu!,kwz,kasababisha ruzuku yetu ikapungua na ya chadema ikapaa maradufu,ccm tulipoteza majiji yenye fedha nyingi kama vile arusha, dar,mbeya na iringa na baadhi ya manispaa na halmashauri,hayo ni baadhi ya economic threats bado social threats kwahiyo tusipojipanga wataendelea kukomba miji yote mwaka 2020!,umeona hiyo kaka usibwabwaje tu kama mkereketwa jaribu kuangalia na madhara hapo tutakuelewa!
 
Back
Top Bottom