Rohombaya
JF-Expert Member
- Jul 4, 2011
- 13,080
- 10,436
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji61][emoji2] [emoji2] [emoji144] [emoji2] hapa tuishie hapahapa[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji61][emoji2] [emoji2] [emoji144] [emoji2] hapa tuishie hapahapa[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Kwa siasa za Tanzania zenye kutanguliza matumbo, inawezekana hata huyo akamkimbia.lowasa kwa sasa amebanana sana na Hamis Mgeja. muda wote yuko naye. huenda anaogopa kukimbiwa na yeye kwenda ccm....
Mbona Karume nae habari migwanda ya ccm.Mbona Mwalimu Nyerere hakuonekana kuvaa migwanda yenu CCM? Je, hakuwa mwa CCM? Kukaa kimya ni busara wakati mwingine kuliko kuonyesha waupe wako.
Kwamba publicity anayoipata Lowassa hakuna mwanasiasa anaipata Africa? This is fun to say the least?CCM wanateswa sana na Lowassa ndio maana Mkutano Mkuu wa Dodoma ajenda ilikuwa Lowassa , NEC ajenda ilikuwa Lowassa na Kamati Kuu ajenda ilikuwa Lowassa na sasa kwenye mitandao naona mmeelekezwa ajenda kuu iwe Lowassa na CHADEMA .Publicity anayoipata Lowassa hakuna mwanasiasa anaipata katika ukanda mzima wa Afrika as of now....
Jipe moyowanazidi kumpa chati.
Kawafanya wawe wepesi kama tishu kwa wananchiHuyu Lowassa ana nini jamani?
Mbona haipiti siku sijamsikia?
Na zaidi namsikia kutoka kwa wanaCCM...
Kwani kawafanya nini?
Lowassa anapitia njia aliyopitia Mrema.Ameshaanza kuisoma namba!!
Kumbe ndio maana wanapepesuka namna hii?Kawafanya wawe wepesi kama tishu kwa wananchi
Dah... Leo?[emoji41] [emoji41]Wolper mchumiaaaaa tumbooo alivyokuwa team lowasa.....hakuletaaa msaada wowote
Zaidi ya kuuza suraaa
ENL huwezi kummkopea na mapimbi wewe?Muitaliano aitwaye Niccolò Machiavelli aliwahi kusema, ‘’Politics have no relation to morals’’.
We have to remember, Strive for power attracts hard-wired mind for bribery like a flame attracts moths. Politics is a damn expensive business kama msingi wake ni pesa.
Safari ya matumaini ya Lowassa kwa sasa imeanza kugeuka safari ya ukiwa hata mwaka mmoja haujapita. Ama kweli, A week is a long time in politics.
Wale watu waliokuwa wanaitwa Lowassa confidant kwa sasa wanamkimbia kama maji yanavyotiririka kutoka kwenye mlima.
Politically, Lowassa is dying while walking.
Aliyefungua mlango na kuanza kumkimbia baada ya uchaguzi Mkuu alikuwa Balozi Juma Mwapachu.
Aliyefuata nyuma alikuwa Goodluck ole Madeye.
Haukupita muda, akaibuka Mgana Msindai
Kabla hata siku haijapita akaibuka Jacqueline Wolper Massawe na kusema bye-bye.
Waliobaki kama Lowassa confidant kwa sasa ni Kingunge Ngombale–Mwiru na Hamisi Mgeja huku Frederick Sumaye akirudi chini ''mchangani'' kujijenga ili kupambana na Lowassa katika nafasi ya Ugombea Urais.
Who is next after Jacqueline Wolper?
Tunaweza kukaa na kuanza kujifariji lakini ikumbukwe nyota njema huonekana asubuhi.
Kwa sasa hata baadhi ya CHADEMA die-hard wameanza kushtuka kuhusu hatima ya Lowassa ndani ya CHADEMA.
Wanaozifahamu vizuri siasa za Tanzania hawawezi kushangaa kinachomtokea Lowassa kwa sababu hata Augustino Mrema alipitia njia ile ile anayopitia Lowassa.
Don't bet your life on history repeating itself through Lowassa.
The man is in trouble!
Siyo muda mrefu atakapo baki peke yake ataanza kuvaa magwanda ya CHADEMA ili afanane na makamanda na ataanza kuongea lugha ya kikamanda as the last kick of dying horse.
![]()
Lowasa kwenye kikao na bavicha amekubali alishindwa uchaguzi kihalali.Ya mwisho si kweli ccm haikushinda uchaguzi kilichotokea wote tulikiona mengine ngoja tusiyaandike hapa kwakuwa ni "case sensitive" kwa ajili ya afya ya jukwaa na mimi pia
Kwa sasa Lowassa anajaribu kujenga mtandao wake ndani ya CHADEMA.Hakuna siku ambayo wanachadema watafurahi kama siku wakisikia Lowasa ameachana Na siasa Na kuachana Na Chadema kabisa.
Lowasa ni kama ndoano kwenye koo la Chadema.!
Ndoto za alinacha na abunuwasiENL huwezi kummkopea na mapimbi wewe?
ENL ni rato kama siyo sururu na siyo Jembe ukitaka kuamini si umeona mkutano mkuu wa Lumumba agenda kuu ni ENL na kusahau kilicho wapeleka Dom.
Na bado anakuja kuhitimisha 2020 the coming Presida tuombe uzima utaona na bado anadhihirisha kuwa ndiye aliye kuwa chaguo la Watz. wenzako wamekiri hawakulala wamenusuriwa na Wazee wa magoli ya mkono.
Let be tuned pray and see.....until the END of these Series of Movies utamjua ENL ni nani katika nchi hii na Sayari hii ya TATU.
Tunajua mnajiliwaza na kuvunga ila ukweli halisi mnaujua wenyewe na hata nafsi zinawasuta pamoja na taswira.
Mkuu kwani wewe na Lowassa mna uhusiano gani mpaka akisemwa uumie hivi? I am just curious!sijawai ona Mwanaccm kaandika kitu kutetea chama chake zaidi ya Lowassa unakuta mwanaume kajikunja anaandika ujinga Mara Lowassa ivi mara vile ***** kabisa