Lowassa anazidi kuwa mkiwa ndani ya CHADEMA!

Lowassa anazidi kuwa mkiwa ndani ya CHADEMA!

Bora upost udaku labda tutakuelewa. Lakn ukpost kuhuxu lowasa nakuona una akir kama za wazee wa ccm ambao bdo wanaweweseka wakimckia mzee wa amani. Edward Ngoyai Lowasa. Ebu
 
No sir. It's politics. You "attack" your enemy. You strategize against him. You do this relentlessly until you are 100% sure that s/he is completely finished. Attacking your enemy is actually expected.

It's obvious that Lowassa is still alive and well politically. Once he is completely dead, nobody will attack him or mention his name except may be in historical perspectives. Have patience my friend. The time will come!

Completely dead, literally? Is the living but obviously frail EL that much of a threat to CCM? I guess that could be CCM just trying to run away from its own shadow!
 
Completely dead, literally? Is the living but obviously frail EL that much of a threat to CCM? I guess that could be CCM just trying to run away from its own shadow!
I didn't mean it literally sir. I meant political death. Only God The Almighty have the power and authority to determine literal death. [emoji125][emoji125][emoji125]
 
Muitaliano aitwaye Niccolò Machiavelli aliwahi kusema, ‘’Politics have no relation to morals’’.

We have to remember, Strive for power attracts hard-wired mind for bribery like a flame attracts moths. Politics is a damn expensive business kama msingi wake ni pesa.

Safari ya matumaini ya Lowassa kwa sasa imeanza kugeuka safari ya ukiwa hata mwaka mmoja haujapita. Ama kweli, A week is a long time in politics.

Wale watu waliokuwa wanaitwa Lowassa confidant na Ulipo Tupo kwa sasa wanamkimbia kama maji yanavyotiririka kutoka kwenye mlima.

Politically, Lowassa is dying while walking.

Aliyefungua mlango na kuanza kumkimbia baada ya uchaguzi Mkuu alikuwa Balozi Juma Mwapachu.

Aliyefuata nyuma alikuwa Goodluck ole Madeye.

Haukupita muda, akaibuka Mgana Msindai

Kabla hata siku haijapita akaibuka Jacqueline Wolper Massawe na kusema bye-bye.

Waliobaki kama Lowassa confidant kwa sasa ni Kingunge Ngombale–Mwiru na Hamisi Mgeja huku Frederick Sumaye akirudi chini ''mchangani'' kujijenga akitumaini kupambana na Lowassa katika nafasi ya Ugombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA.

Who is next after Jacqueline Wolper?

Tunaweza kukaa na kuanza kujifariji lakini ikumbukwe nyota njema huonekana asubuhi.

Kwa sasa hata baadhi ya CHADEMA die-hard wameanza kushtuka kuhusu hatima ya Lowassa ndani ya CHADEMA kutokana na kuanza kujijenga huku akitoa matamko na kauli zinazotoa ishara kama yeye yuko juu ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa.

Wanaozifahamu vizuri siasa za Tanzania hawawezi kushangaa kinachomtokea Lowassa kwa sababu hata Augustino Mrema alipitia njia ile ile anayopitia Lowassa.

Don't bet your life on history repeating itself through Lowassa.

The man is in trouble!

Siyo muda mrefu atakapo baki peke yake ataanza kuvaa magwanda ya CHADEMA ili afanane na makamanda na hapo ndipo ataanza kuongea lugha ya kikamanda as the last kick of dying horse.
kp28072015.jpg

Hao uliowataja wote hakuna hata mmoja aliekuwa na mchango wa maana kwa Lowassa mwenyewe wala Chadema, bali walitegemea Lowassa ashinde Urais wapate vyeo, walipokosa wamerudi ccm, wangebaki Chadema wangekuwa mizigo tu, isiyo n.a. kazi. Wangerudi watu kama kina Sumaye, Kingunge, Makongoro Mahanga, Tambwe Hiza and the likes, ambao hivi sasa wanapiga kazi ndani ya Chadema, hapo tungejiuliza, lakini kina Wolper? ..na hao 'Ng'ombe kasoro mkia' wengine, sioni impact yoyote kwa Lowassa wala chama chake cha sasa.
 
Waache CCM wajiaminishe sana kuwa hii nchi ni yao. Huyo lowassa wanamhanya sana ndo maana wanatumia nguvu zote kumpoteza. Na hawatoweza.hawatoamini kitachowatokea 2020. Hapo maisha ya watanzania yatakua worse than ever... Tutaichanachana ccm 2020..just wait and see...
Lowassa ka shemeji hiyo 2020 ataliwa tuuuu★★★★★☆☆☆☆[emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji84] [emoji84] [emoji84]
 
Back
Top Bottom