Lowassa anasafishwa!

KALOKIRO wameamua kwenda na sisi vita kupitia vyombo vya habari.

Wakati sisi tunazidisha nguvu kwenye mtandao, wao wanafikia watu vijijini kwa magazeti. Pesa walizohujumu wanazitumia kujitangaza na kuiba kura kabla ya uchaguzi!
 
Mkuu,

Hapa ni zaidi ya noma! Sijui mapinduzi yetu tuyaanzie wapi.Lakini cha muhinu ni kuwa na moyo mgumu tu mpaka tuyakamilishe,hata kama nitabaki peke yangu,Tanzania lazima ikombolewe.Nakumbuka maneno ya Nelson Mandela aliposema kwamba kupinga ukandamizaji wa mtu mweupe haimaanishi kukubali ukandamizaji wa mtu mweusi.Let me stick and dwell on this point mpaka kieleweke.

Tunahitaji movement kubwa ya kulikomboa taifa hili ikiwezekana hata kama nitaji-sacrifice maisha yangu ili mradi vizazi vijavyo viishi na kujivunia utaifa wao
 
KALOKIRO wameamua kwenda na sisi vita kupitia vyombo vya habari.

Wakati sisi tunazidisha nguvu kwenye mtandao, wao wanafikia watu vijijini kwa magazeti. Pesa walizohujumu wanazitumia kujitangaza na kuiba kura kabla ya uchaguzi!

na kazi hiyo imeishaanza kwenye majimbo yao kama ilivyothibitishwa
kwenye jimbo moja la uchaguzi ambako hata jamaa wa chama cha
upinzani kamuunga mono mgombea wao.
 
waacheni waanzishe lakini wakae wakijua .. "waTanzania si mabwege!" - Dr. Harisson Mwakyembe

Watanzania gani hao, mwakyembe hakufafanua, wale wanaowakaribisha mafisadi kwa mbwembwe? wanaomchagua Kikwete kwa asilimia 80.Nadhani Mwakyembe alimaanisha kwa watu waliofunguka macho kama wewe na mimi.LAKINI WATANZANIA WENGI BADO WAKO GIZANI, WE HAVE LONG WAY TO GO.TZ siyo DSM.

wasio mabwege wachache na wana nguvu hao kama JF -menbers say, , VYAMA VINGI VYA UPINZANI VISALITI VITAFAHAMIKA WIKI 2 KABLA YA UCHAGUZI, MAKANISA NA MISIKITI NI HAOHAO. taabu tupu
 
Wabo,

Kwani DSM si mabwege zaidi hata wakamkaribisha Rostam kuchangia kanisani!
 
Mtandao wa Rostam, Karamagi na Lowassa umeanzisha magazeti mapya manne: NYUNDO, MTANDAO, UMMA na TAIFA kwa lengo la kuwasafisha mafisadi hao na kumtisha Kikwete aone kuwa Urais wake uko hatarini kuporwa na kundi linalopigana kufa na kupona dhidi ya ufisadi Serikalini. Magazeti hayo mapya manne yanaungana na magazeti yao mengine manne ya RAI, MTANZANIA, TAZAMA na ASUMIN kuendeleza mkakati huo wa kumfanya Lowassa Rais mwaka 2010. Wanaposema 2015 ni geresha tu, danganya toto. Tayari kikao chao cha KALOKIRO kimemteua Lau Masha kugombea Urais ikiwa kazi ya kumsafisha Lowassa itashindikana kufikia mwaka 2010.
Jopo kubwa la wandishi mamluki, likiongozwa na Prince Bagenda,Charles Charles, Deodatus Balile, Mhingo Rweyemamu na Manyere Jackton, linayaendesha magazeti hayo kwa malipo makubwa. Lazaros

Wakileta uandishi wa kisanii na kifisadi katika magazeti hayo basi hayatakuwa na maisha marefu. Watanzania tumechoka na magazeti yanayoandika mambo ambayo hayana uzito wowote katka kupambana na mafisadi ili kuleta maendeleo ya kweli kwa nchi yetu.
 
waacheni watambe bwana kuna watu wanawasupport. Na nyinyi mkikerwa supportini magazeti yanayowakilisha mawazo yenu. Vinginevyo wanaosupport mafisadi na kazi zao wana namna wanayonufaika. Na wale ambao mko kinyume na ufisadi mna uchaguzi wa kukaa pembeni kulalamika au kuanzisha chombo chenu, au kuunga mkono vyombo vinavyowakilisha mawazo yenu.

Kwa upande wangu, I'll do what I got to do. Sisalimu amri kwa mafisadi, wala kupiga magoti kwa walioiteka nchi yangu. Ijumaa ijayo, I'll go for my response.
 
Hizi ni habari njema kwani tunajua. Ingekuwa mbaya sana kama mpaka magazeti yanatoka watu hatuna taarifa. Bahati iliyoje. Sasa ni kujipanga na kuhakikikisha hawafanikiwi!
 
waacheni watambe bwana kuna watu wanawasupport. Na nyinyi mkikerwa supportini magazeti yanayowakilisha mawazo yenu. Vinginevyo wanaosupport mafisadi na kazi zao wana namna wanayonufaika. Na wale ambao mko kinyume na ufisadi mna uchaguzi wa kukaa pembeni kulalamika au kuanzisha chombo chenu, au kuunga mkono vyombo vinavyowakilisha mawazo yenu.

Kwa upande wangu, I'll do what I got to do. Sisalimu amri kwa mafisadi, wala kupiga magoti kwa walioiteka nchi yangu. Ijumaa ijayo, I'll go for my response.

Mkuu hebu fafanua hapa umetuacha wengine!
 
Losers!

...njia pekee ya hawa watu kujisafisha ni kujihusisha na shughuli za kijamii, i.e kujenga mashule, zahanati, vituo vya yatima, wasiojiweza na wazee, na miradi ya maji na umeme.

Huenda historia ikaja wahukumu kwa mazuri hayo badala ya kung'ang'ania kwenda Ikulu.
 
Mkuu,

Nakumbuka maneno ya Nelson Mandela aliposema kwamba kupinga ukandamizaji wa mtu mweupe haimaanishi kukubali ukandamizaji wa mtu mweusi.Let me stick and dwell on this point mpaka kieleweke.

Tunahitaji movement kubwa ya kulikomboa taifa hili ikiwezekana hata kama nitaji-sacrifice maisha yangu ili mradi vizazi vijavyo viishi na kujivunia utaifa wao

Mkuu sio Mandela tu alisema hayo, hata Nyerere Pia.
Movement we need to put words into action, tuwe na action Plan na tuanze kuimplement mara moja! Wazo la movement ndio wazo la kulipa kipaumbele.

Nakushauri usome Steve Biko " I write what I Like" na Vitabu vya Taylor Branch 1. Parting the Waters, 2. Pillar of the Fire 3. At Canaan's Edge. These books have changed my Life and they have streghthened my belief on a real movement must impower and involve the community afflicted at large. Let us start Now!

Mkuu nakupa TANO !
 
Juzi nilisema kwenye thread fulani kuwa Bagenda ameajiriwa kuandikia magazeti ya Karamagi kuna njemba humu ikaniijia juu. Nilinyamaza tu. Sasa ukweli unadhihiri.
 
wana JF,nimefanikiwa kupata baadhi ya minute za vikao vya KALOKIRO,hi itatusaidia kuwaelewa hawa mafisadi vizuri zaidi.
angalia attachements
 
Attachments

  • KALOKIRO.jpg
    KALOKIRO.jpg
    203.6 KB · Views: 128
  • KALOKIRO1.jpg
    KALOKIRO1.jpg
    217.7 KB · Views: 91
  • KALOKIRO2.jpg
    KALOKIRO2.jpg
    109.9 KB · Views: 80
  • KALOKIRO3.jpg
    KALOKIRO3.jpg
    84.5 KB · Views: 81
Wana JF..........je Mnamkumbuka Badra Masoud...endeleeni kuunganisha dots.......chekini sasa hivi yuko wapi
 
Losers!

...njia pekee ya hawa watu kujisafisha ni kujihusisha na shughuli za kijamii, i.e kujenga mashule, zahanati, vituo vya yatima, wasiojiweza na wazee, na miradi ya maji na umeme.

Huenda historia ikaja wahukumu kwa mazuri hayo badala ya kung'ang'ania kwenda Ikulu.

BRAVO...... Mchongoma,
Huenda MwenyeziMungu angewasamehe hayo makosa yao,mimi nawasihi sana kutubia kwa huo ufisadi kwa angalau kuwatendea mema waliowaibia hizo pesa kuliko kuendelea na njama za kifisadi ambazo mimi nahisi zaelekea kubaya,huku kusalitiana ndani ya chama tawala na fitna zinazopandikizwa na puppet leaders wa hivyo vyama vinavyojiita vya upinzani kutudanganya sisi WaDanganyika wa kawaida kunahatarisha amani in which waathirika wakuu ni sisi waliotudhulumu haki zetu za msingi.

Wao tayari wana makazi yao huko ""UNYAMWEZINI"" kwa Kichaka na ""UKEREWE"" kwa Bibi,huo moto wanaochezea katika zile Nyika kavu za Tanganyika ukilipuka wanakimbilia huko,sisi twabaki kuteketea.FISADIZ......tafadhalini sana calm down,kubali matokea,rejeeni kwa Muumba wenu,atakupeni riziki kwa mtindo mwingine ambao huenda bora kuliko huo......SAWA?

By the way,hivi hawa wapinzani kama kweli wana uchungu na nia ya kusaidia wananchi kwanini wasisaidie hizo huduma za jamii..?kama vile kusaidia ujenzi wa vitu muhimu,kusomesha yatima..n.k kwa hizo pesa za ruzuku wanazopata......maana hizo wanazipata kupitia mgongoni kwetu,nafikiri chama chenye wabunge/wawakilishi wengi ndio kina ruzuku kubwa(if am right),sasa badala ya kununua helcopter za kampeni,waadjust budget watumie magari ili pia ziwasaidie wananchi wakawaida.Hii itaonesha kuwa kweli hawa jamaa wana nia ya kutusaidia.Badala yake kila siku twasikia ugomvi kuhusu mgawanyo wa ruzuku.

Nilipata kusikia siku moja mawaziri wa Zambia waliasacrifice mishahara yao ya mwezi mmoja ili kutatua tatizo fulani kwa wananchi,nina imani wabunge wetu wa upinzani wanaliweza hili,hata kama litasaidia wachache sana ila litaleta impact fulani kwa wananchi.
 
Ndanda,

Asante sana kwa taarifa muhimu. Hawa jamaa ni mafia na mafisadi kweli kweli. Lakini maadamu wamejulikana njama zao hazitafanikiwa. Watashindwa na kulegea kabisa katika Jina la Yesu. Ngoja ifike 2010 tuawaaibisha - asipite hata mmoja kati yao.
 
Wakati sisi tunazidisha nguvu kwenye mtandao, wao wanafikia watu vijijini kwa magazeti...

This is very good stuff, Rev. Coz I usually use "HeadOn" every time I read those long and boring sermon/post/thread/reply of yours, but not today! This actually makes a lot of sense because it states the obvious.

Ila ulichosahau ni kuwa, nguvu zetu kwenye mtandao haziwafikii hata asilimia moja (1%) ya wabongo wote ambao kwasasa wanakadiriwa kuwa Milioni 40.2 (ambao wengi wao wanaishi vijijini na haohao ndio watakaoirudisha CCM ya mafisadi madarakani 2010).

And as I have long been telling y'all kwamba tunahitaji stratergy mpya (action not words only) lakini hamtaki kunisikiliza, oneni sasa mafisadi walivyotutangulia hatua kumi mbele...
 
Back
Top Bottom