Lowassa anasafishwa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lowassa anasafishwa!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by BAK, Feb 19, 2008.

 1. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #1
  Feb 19, 2008
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,871
  Likes Received: 83,348
  Trophy Points: 280
  Si ajabu hawa mafisadi wote waliojizulu wataendelea kunufaika kupitia migongo ya walipa kodi. Kitu ambacho siyo sawa. Wamefanya ufisadi dhidi ya Watanzania hivyo hawastahili kupata hata senti tano ya walipa kodi.

  Lowassa in line for huge pension cheque: Courtesy of taxpayers` money

  THISDAY REPORTER
  Dar es Salaam


  FORMER Prime Minister Edward Lowassa, who resigned early this month over the Richmond corruption scandal, will pick up a huge government pension cheque and continue to live a life of luxury in his enforced early ’retirement’, THISDAY can reveal today.

  Apart from pocketing millions of shillings from his generous pensions package, the 55-year-old Lowassa is entitled to a personal assistant, a cook, a laundryman, a domestic servant, a gardener, a driver, and a monthly pay cheque equal to 80 per cent of the salary of the incumbent PM for the rest of his life.


  All this is at the expense of the normal taxpayer, according to the law of the land.

  Although Lowassa was literally forced to resign after being implicated in a major corruption scandal, the Political Service Retirement Benefits Act of 2000 guarantees him various other remuneration incentives over and above a hefty pension cheque.

  According to section 14 (1) of the legislation, a leader who held the office of prime minister shall, upon ceasing to hold office, be granted the following:

  • An annual pension payable monthly the sum equal to 80 per cent of the salary of the incumbent premier,
  • A gratuity of the sum equal to 50 per cent of the total sums of money received by him as salaries when he was in office,
  • A winding up allowance of the sum equal to the amount that would be received as salary in 24 months by the incumbent prime minister.
  Apart from the lucrative pensions package, Lowassa - who served in the post of prime minister from December 30, 2005 to February 9, 2008 - is apparently also entitled to be provided by the government the following benefits:

  • A diplomatic passport for him and his wife (Regina),
  • A health insurance policy that covers treatment within Tanzania,
  • The service of one vehicle to be provided by the government, along with maintenance allowance of the sum equal to 80 per cent of the salary payable to the incumbent prime minister.
  The use of the VIP lounge at all airports in Tanzania.

  ’’All necessary security and other protection services shall be provided to him and his immediate family,’’ states the same legislation.

  Furthermore, if the former premier is requested by the government to travel outside the country, the government (using taxpayers’ money) will foot ’’all First Class travelling expenses which shall also cover expenses for his spouse and one assistant.’’

  According to at least one legal expert sought out for comment, Lowassa’s accumulated pension benefits combined with the maintenance allowance is likely to exceed even the monthly salary earned by the incumbent Prime Minister, Mizengo Pinda.

  And considering that Lowassa is still a member of parliament representing his Monduli Constituency, and thus also entitled to all legislators’ perks, this means that Lowassa and his immediate family can expect to continue living a comfortable, taxpayer-supported life from now onwards.

  The issue of the former premier’s massive pensions package has already been brought up in parliament, with Kilindi legislator Beatrice Shellukindo (CCM) declaring last week that Lowassa was not entitled to the package because of the manner in which he left public office.

  Ms Shellukindo asserted that since Lowassa resigned over a corruption scandal and did not officially retire, he did not deserve to be paid such a fat pensions cheque at the expense of Tanzanian taxpayers.

  Ms Shellukindo has significant experience in public service management and previously worked in the Civil Service Department under the President’s Office, before entering politics.

  According to section (1) of the Political Service Retirement Benefits Act (2000), a person shall be entitled to a grant or benefit under this legislation upon the occurrence of any of the following events:

  Completion of a term of service in an office to which he was elected, nominated or appointed, Cessation of service in pursuance to the provisions of the Constitution or the provisions of any other law or order issued under any written law, Abolition of the office to which he was elected, nominated or appointed, Existence of medical evidence to the satisfaction of the electoral, nominating or appointing authority that he is incapable by reason of any infirmity of mind or body of discharging the duties of the office, or upon death while serving in a political office before completion of a term of service, in which case benefit shall be granted to dependents of survivors.

  Section 6 (2) of the same legislation states that: ’’A person shall not be entitled to benefits under this Act if he ceases to hold office as a leader in the circumstances provided for in Articles 46A (11), 50(5), 57(2)(g) or 71(1)(d) of the Constitution of the United Republic of Tanzania.’’
  And according to section 57(2)(g) of the national constitution, the person holding the office of prime minister may cease to do so if the Ethics Council rules that such a person has breached the Public Leadership Code of Ethics Act of 1995.
   
 2. Nipashe

  Nipashe Member

  #2
  Feb 23, 2008
  Joined: Nov 4, 2007
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa wale wenye access, msikose sakata hili. Atakuwa live on TVT kujieleza kwa mara ya kwanza baada ya kujiuzulu.
   
 3. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #3
  Feb 23, 2008
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Leoo hii - Feb23, 2008???????

  Vipi maswali yatakuwepo??????
   
 4. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #4
  Feb 23, 2008
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  I mean itaruhusiwa kupiga simu kumuuliza maswali???
   
 5. green29

  green29 JF-Expert Member

  #5
  Feb 23, 2008
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 312
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 35
  Waungwana huyu jamaa anajieleza nini sasa? Mimi naona kitu cha msingi ilikuwa ni kuendelea ku-refine hizo tuuma za ufisadi na ikiwezekana khatua za kisheria kuchukuliwa kwake na wengine iwapo wataonekana na hatia. Hakuna umuhimu wa kupewa majukwaa kwenye TVT chombo cha Taifa kwa sasa.

  Vyombo vya Taifa ni vyombo vitakatifu. NI sawa anatakiwa kupewa nafasi ya kujieleza lakini TVT sio pahala sahihi. Isitoshe haina meno hiyo. Kama yuko interested kujieleza ni bora atinge humu JF. Watu walio mfano bora kwa taifa ndio wanatakiwa kupewa nafasi kama hizo. usije watoto wetu wakaiga mfano mbaya wakawa mafisadi.

  Tume ya mwakyembe imefanyaka kazi kama ya Maabara kuchunguza ugonjwa, na kujiuzulu ni sawa na kupelekwa wodini. Sasa tunataka kujua tiba gani inafatia ili ugonjwa upone. Kumnadi huko TVT ataeneza maradhi. By the way Pesa zetu vipi zinarudi? Au watuhumiwa wataendelea kula good time na VIP treatment maisha yao yote.

  Au wanataka kumtangaza shujaa wa kitaifa kwa "kujiuzulu".
   
 6. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #6
  Feb 23, 2008
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Kwanza naanza kwa umuona Mod aunganishe habari ya Lowasa na TVT leo iwe habari moja .

  Habari za kuaminika toka ndani ya Ikulu na MISA zinasema kwamba baada ya mshikaji wa rais kuachia ngani the Prezido is not happy .Kwa mtaji huo wamerudia sasa mbinu zao chafu kama zile wakati wanautaka Urais nna kuepelekewa akina Salim Ahmed Salim kuitwa majina na matusi ya kila namna.

  This time mtandao huo ukiongozwa na JK na RA wameamua kwanza kutumia Media kumpa jina safi.Wameanza na magazeti na sasa leo atakuwa LIVE kwenye TVT kujieleza na baada ya hapo atakwua underground na kuona impact ya media na maelezo .

  Taarifa ambazo zinanifikia muda hapa Mtoni Kijichi nyumbani kwangu zinasema kuna post kubwa anaandaliwa baada kuoshwa na media na atarudi kama kawaida na guvu za ajabu kwenye Chama na system nzima. Watanzania tunajiandaa kupigwa changa la macho .Habari hizi ni za uhakika . Vilunyungu vimezipata toka MISA na baadaye kuthibitishwa na jamaa mmoja wa Ikulu .Muda ukifika majina nitayataja kwa uwazi mana huu ni mchezo mchafu na JK na serikali yake kumbe hawana nia ya kupambana na rushwa kabisa .Mwenye habari zaidi tafadhali aongee hapa .Niko kazini na nitazuka na nyeti zaidi .
   
 7. M

  Mkandara Verified User

  #7
  Feb 23, 2008
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Duh, mkuu kama ndio hayo, basi tumekwisha!
   
 8. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #8
  Feb 23, 2008
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145

  Mkandara .Nina habari za huu mkakati mzito.Na kila nikiangalai naona kila aina ya dalili baada ya rais kuanza kujikanyaga kwenye majukwaa.Lowasa huenda akaenda Ubalozini ama akapata nafasi moja kubwa na ya ulaji lakini anapigania kurudi kwenye siasa ndani ya CCM.
   
 9. Pundit

  Pundit JF-Expert Member

  #9
  Feb 23, 2008
  Joined: Feb 4, 2007
  Messages: 3,741
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Lunyungu,

  Mimi sishangai hata kidogo.Lowassa kupewa muda TVT maana yake ni kuwa JK amekubali. JK kukubali kujiuzulu kwa Lowassa ni kwa sababu alikuwa hana jinsi.Wale wote waliomsifu JK hawakuelewa kwamba JK hafanyi move kama hii ila kwa sababu ya kujisafisha ili approval ratings zipande, sasa zishapanda wanataka kuleta makida makida kwenye kuendesha serikali.

  Ingekuwa inakera vya kutosha kama angestaafu bila kuchukuliwa sheria, sasa wanataka kumrudisha kwenye uongozi? Wakifanya hivyo watakuwa wametutukana Watanzania wote matusi ya nguoni.

  Umahiri katika kazi hauji kwa watendaji kutaka tu, unakuja kwa watendaji kuwajibishwa na wananchi.Tuendelee kufuatilia kwa karibu na kuwawajibisha ipasavyo.
   
 10. Mtade_Halisi

  Mtade_Halisi Member

  #10
  Feb 23, 2008
  Joined: Feb 23, 2008
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama kawaida ya uozo wa serikali yetu lazima siku moja huyu fisadi atarudi madarakani tena kwa post kubwa.Watanzania tuamkeni mambo kama haya si ya kuyafumbia macho mtu anaiba mabilioni yatu na sasa anageuzwa kuwa shujaa....
   
 11. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #11
  Feb 23, 2008
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hivi JK hawezi kusoma nyakati????? hii nchi kweli itakuja kubadilika kweli?????
   
 12. Rufiji

  Rufiji JF-Expert Member

  #12
  Feb 23, 2008
  Joined: Jun 18, 2006
  Messages: 1,710
  Likes Received: 161
  Trophy Points: 160
  Wazalendo huu ni ujinga wa hali ya juu , anajielezea nini haswa ? Kama anaona he was not treated fairly then he should a file a lawsuit against Mwakyembe or the parliament . For how long are we going to sit down and listen to this crap ? He was given a platform Bungeni why didn't he use it then ?

  Mimi nauliza kiburi hiki anakipata wapi? Ni lazima kuna mtua anayeshikilia ofisi kubwa anayemsupport huyu bwana . Lowassa should be taken to court and face the full wrath of the law PERIOD. To those journalist who are going to attend the press conference , please my dear brothers and sisters ask some serious question ....remember our motto " Tunamkoma Nyani Giladi "
   
 13. TzPride

  TzPride JF-Expert Member

  #13
  Feb 23, 2008
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 2,423
  Likes Received: 395
  Trophy Points: 180
  NATAMANI NINGEKUWA NA MIMI NI MMOJA WA WAALIKWA ILI NIMUULIZE SWALI HILI; je mheshimiwa unadhani Watanzania bado wanakuhitaji kwa sasa?
   
 14. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #14
  Feb 23, 2008
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  At least kama Tido ndio atarun hiyo kipindi na pia invitees wakawa kama baregu au Lwaitama!!!!!
   
 15. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #15
  Feb 23, 2008
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Namsikia jamaa anasema jambo hili Lowasa limetabiriwa na Sheikh Yahya .Mimi nilisha waambia kwamba huyu si Mtabiri bali amekuwa mtumishi wa Usalama mwaminifu tangia enzi za Mwalimu hadi sasa.Yeye anajua kinacho fuata na akisema mwishoni mnaenda kwake kwamba ni muahuzi hapana .Anajua hili na hata usalama wote wanajua na wana faclitate ku clear jina la Lowasa na arudi kwenye ulaji.Tukatae na JK asitufanye sisi wajinga .
   
 16. M

  Mugo"The Great" JF-Expert Member

  #16
  Feb 23, 2008
  Joined: Oct 7, 2007
  Messages: 263
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Badala ya kujisafisha anataka kuichafua TVT. Credility yake tayari iko below par. Tunataka aende mahakamani na siyo porojo anazoleta. Nahisi he has the full support of JK. Hivi 152 Million per day zitarudi lini mikononi mwa walalahoi?
   
 17. Nipashe

  Nipashe Member

  #17
  Feb 23, 2008
  Joined: Nov 4, 2007
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndio Nyambala, leo hii tarehe 23 February. Kuna tetesi kwamba sanasana ataongelea kuhusu mipango yake ya siasa na maisha kwa ujumla in the post - PM era. Also may be atatumia nafasi hii kuelezea what really happened kufikia kujiuzulu kwake.
  All in all, mimi kwa maoni yangu hakutaka kujiuzulu, alikuwa ana beep tu na alitegemea wabunge wa ccm wangesimama kidete kama kina muhidhiri etc. Inasemekana kuna wabunge waliokuwa na mpango huo lakini mipango ikayeyuka. Tusubiri na tuone.
   
 18. M

  Mugo"The Great" JF-Expert Member

  #18
  Feb 23, 2008
  Joined: Oct 7, 2007
  Messages: 263
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Kitu kimoja kiko wazi ni kuwa hata EL akisafishwa kwa "JIK" hawezi kutakata. Wananchi tuukatae huu mchezo. Kwanini JK hataki kusoma alama za wakati? RA ni mtz-ponjoro na maji yakifika shingoni atamuacha JK na Watz kwenye mataa na kukimbilia UK au Canada. Watchout Muungwana, this time the dice is not rolling in your favour.
   
 19. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #19
  Feb 23, 2008
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  JF hureeeeeeeeeeee nimekuwa nikisikia tu, Asante Mwema na Manumba!!
  Lowasa awe fair enough aruhusu na maswali itapendeza sana

  Week end njema
   
 20. K

  Kalamu JF-Expert Member

  #20
  Feb 23, 2008
  Joined: Nov 26, 2006
  Messages: 874
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Nilidhani mambo ya Richmond na mengine bado yanafanyiwa kazi ili watakaobainika kuhusika wafikishwe kwenye sheria?

  Sasa waliowajibika kwa kujiuzuru nyadhifa zao, si ingefaa watakasike kabisa kisheria kabla ya kuwaingiza tena katika mambo ya uongozi wa juu? Ina maana gani ya mtu kujiuzuru sehemu moja na mara moja hapo hapo kumpachika sehemu nyingine? Haraka ni ya nini kama yote haya ya uchunguzi siyo mazingaombwe ya kulaza akili za wananchi?
   
Loading...