Shukurani
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 251
- 11
Waliompokea ni wapandikizwaji hili jamaa aonekane kama ni shujaa.
Ushauri wa bure kwa Lowasaa,ni kwamba ni bora akatulia kimya na kusubiri maamuzi zaidi ya watanzania. Kuendelea kuongea ni kuendelea kuwatia hasira watanzania ambao bado wanamaumivu makali na bei mbaya ya umeme. Ni vigumu kuwalazimisha watanzania waamini kile lilichosema na ndiyo maana hata maongezi yake TVT yaliondolewa hewani hili kuepusha hasira za wananchi.
Ushauri kwa CCM,itakuwa ni kosa kubwa kwa CCM kama Lowassa siku moja atasisimama na kugombea urais wa nchi hii,Mwl.Nyerere alimwona mtu huyu sio msafi toka siku nyingi. Sasa tumeyaona wenyewe,
Lowassa kaa kimya,washabiki hawa wa kupandikizwa wataendelea kukuponda