Lowassa anasafishwa!

Lowassa anasafishwa!


He added that TVT planned to run a programme on Mr Lowassa�s two-year tenure as Prime Minister. Mr Mhando could not, however, explain why the TV station had decided to air the programme detailing the former prime minister�s successes in the post he held from December 2005.

I hope ITV wakishamalizana na EL watamwalika na waziri mkuu mstaafu Joseph Sinde Warioba ili atuwakilishe kutoa comments!
 
Ama kweli waandishi wetu wamefika pabaya na ndiyo hao hao walianza kwa kutuandikia kuwa Lowassa ni nabii na Sokoine anayekuja kuikomboa Tanzania na watu wake. Hivi kweli hata nafsi za haziwasuti kweli? Wenye akili na ufahamu mkubwa tunatambua kuwa hao ndiyo miongoni mwa waandishi ambao wamejengewa nyumba na kununuliwa magari, na zaidi sana hata kuahidiwa au kusomeshwa kabisa wao, wake zao na watoto. Ndio hao hao ambao Lowassa aliagiza kuwekewa umeme kwa siku moja na kafanikiwa.
Kama waandishi nao wanakuwa namna hiyo iweje kwa watu wengine, nani atawaetea wana wa nci hii tajiri lakini yenye watu masikini wa kutupwa kwa kuwa tu kna Lowassa na wengine wa aina yake wanatuibia na kukomba kila kilicho chetu kwa faida ya matumbo yao, wake zao, wachumba zao, mashangingi yao na shemeji zao. Twafile nyambara

Jamani, watu walio kwenda kumpokea ni maswahiba wake wa karibu katika shughuli zake za ufisadi,kama machimbo ya mererani na wandugu zetu wa Kiasia walitoa magari kusindikiza na sio wapiga kura. Hebu tafakarini,wana JF wapiga kura wa Tz ni maskini wakulima wajima, msafara ulikuwa na Mashangingi na magari ya kifahari zaidi ya mia. Sasa kwanini tusione kwamba walio mpokea ni wale wale mafisadi waliokuwa wana neemeka nae wakati aki nyonya damu kidogo iliyo baki kwa wana wa NCHI HII. Kwa mtu mwenye BUSARA NA HEKIMA hatakuwa tayari kwanjia yoyote ile kumshabikia huyu Bwana mkubwa, kwani naamni hata kama alifaidika na EL kuwa Pm lakini bado ni Wtz walivikwa vitanzi na kulazimishwa kunywa uji wa malilmao kwa faida ya wachache wenye TAMAA ya mali. SHAME TO EVERYBOBY alie MTZ halisi anae mshabikia EL. Nasema huyo ni pungwani.
 
Someone had written him a letter telling him SILENCE CAN NEVER BE MISQUOTED BUT ONLY MISINTERPRETED... EL you better read this letter again...

Do you think BWM read that letter? Teh.
 
Jamani, watu walio kwenda kumpokea ni maswahiba wake wa karibu katika shughuli zake za ufisadi,kama machimbo ya mererani na wandugu zetu wa Kiasia walitoa magari kusindikiza na sio wapiga kura. Hebu tafakarini,wana JF wapiga kura wa Tz ni maskini wakulima wajima, msafara ulikuwa na Mashangingi na magari ya kifahari zaidi ya mia. Sasa kwanini tusione kwamba walio mpokea ni wale wale mafisadi waliokuwa wana neemeka nae wakati aki nyonya damu kidogo iliyo baki kwa wana wa NCHI HII. Kwa mtu mwenye BUSARA NA HEKIMA hatakuwa tayari kwanjia yoyote ile kumshabikia huyu Bwana mkubwa, kwani naamni hata kama alifaidika na EL kuwa Pm lakini bado ni Wtz walivikwa vitanzi na kulazimishwa kunywa uji wa malilmao kwa faida ya wachache wenye TAMAA ya mali. SHAME TO EVERYBOBY alie MTZ halisi anae mshabikia EL. Nasema huyo ni pungwani.

Wakati sasa hivi anajifananisha na Mwinyi, kitu ambacho anakosea kuwianisha kwani Mwinyi alijiuzuru si kwa sababu ya ufsadi kama wa EL. Sasa kama anafikiri kuwa Presidaa kuchomoka toka kwenye ufisadi basi asahau kabisa kwani sasa hivi watz wengi wana aili timamu.
 
La Kuvunda Halina Ubani.
Namshauri Ajiunge Na Wazee Wa Kimasai Awe Mfugaji Bora.
Pia Awape Ushauri Na Utumishi mahiri Na Makini wa Kuboresha Mifugo Yao.
 
NAUHAKIKA KUNA WENGI WANGETAKIWA KUJIUZULU KAMA EL ANGEPEWA NAFASI YA KUHOJIWA.
KUNA AMBAO ANAWATAJA YEYE!! KUNA UZEMBE MWINGI ULIFANYWA NA IDARA NYETI AMBAZO ALIZISHIRIKISHA KWENYE TEAM YAKE YA WATU WA WATANO.
NAHISI KUNAWALIO PUMUA KUSIKIA HAJAHOJIWA NA KUNA WALIOSUKURU ALIPOTANGAZA KUTOKA HARAKA.... LOWASA ANA JAZBA NA JAZBA YAKE INGETOA MAJIBU MENGI AMBAYO HADI LEO KUNA MASWALI HATA SIE HATUNA MAJIBU... SAWA KAJIUZULU SASA? NINI MUSTAKABALI WA HAYO MABILIONI? LABDA YEYE ANAHISI KUJIUZULU NDIO ADHABU ANAYOSTAHILI LAKINI NI KWELI WATANZANIA WATARIDHIKA NA YE KUJIUZULU TUU?

NDIO MAANA BADO MSIMAMO WANGU KUWA ANGEPEWA NAFASI YA KUHOJIWA KUNA AMBACHO KINGEPATIKANA ANALALAMIKIA KUTOPEWA NAFASI LABDA ALITAKA KUFA NA WAKE HAMJUI!!


Wabillah Tawfiq
 
But what was the answer concerning the issue?? seems Tido were deffending the situation rather giving true picture.
My doubts are still as others that maybe intervene from high authority might prune the programe offair.

But why does the man (EL) be given so much with media now adays just to defend his head?? does it means Bunge lied?
Tuambiwe majibu yaliyonyooka na siyo siasa.
 
Tafuteni makala ya Mwananchi iliyopita jumapili ya Theodatus Muchunguzi. Ninamshangaa sana anapodai ktk makala yake kuwa tuache kumjadili Lowassa kuwa tumwache apumzike, Je inaingia akilini kweli??
Nimeanza kuwataja majina hapa bila uoga na wengine mfuate kutaja majina.

Nitawaletea majina mengine zaidi hapa.
 
Najaribu kufikiria,

Matukio yaliyomtokea mpendwa Mh. Waziri Mkuu wetu mstaafu Mh. Edward Ngoyai Lowassa hivi karibuni, Pale Bungeni, na hili la Kuja kwenye ITV mapema vile.

Tunajua atarudi tena kwenye siasa kwa nguvu mpya... swali moja ninalojiuliza.

Je kwa pupa hizi za Mh. Edward Ngoyai Lowassa, Je anafaa kuwa Amir Jeshi Mkuu wa Majeshi Yetu... Kwa wengine ambao hawatanielewa...

Urais wa Tanzania uko tied na U-Amir Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Na Usalama wa Taifa.

Naomba kutoa Hoja!!!
 
Then what was the role of Hoseah and TAKUKURU when they ran their investigation, didn't they compare notes with their cousins at TISS?

If the whole RDC is now known to be bogus, where was TISS on this? aren't they supposed to do a due dilligence and background investigation on behalf of Serikali? or RDC is another Kagoda since the money to finance the whole programme was from WB/IMF and not GVTZ?

Jamani ile tume inakuhoji kwa kiapo yote haya yangeulizwa kwani tume kiukweli ilisheheni vichwa tupu!!! natamani kama waambiwe wakamhoji leo maana hii y yeye kujipeleka kwenye TV atasema yale tuu ambayo amejiandaa kusema na muandishi hawezi kumlazimisha kujibu hoja kama ambavyo angemjibu Mh Sana!!
 
mbio za .......... huishia ...............?
kilichobaki ni bora anyamaze ili kulinda heshima yake na familia yake lasivyo tutamfilisi sisi wenyewe watanzania kama anafikiri haiwezekani amuulize Prof Mkandara anajua hasira za watanzania ziko vipi wakiamua..

After all msafara na mapokezi yake hayakua na maana yoyote maana yaliandaliwa na WAHUNI wenzake kina NYARI na wengine ambao ni wa bia wake..

Chonde Lowasa
 
yale yale ya MALECELA na laana za NYERERE sembuse Lowasa! wala msiogope JF tuko pamoja tutamuangusha kirahisi sana tumuombee mema ili aonje nguvu ya umma ikoje naona anaamini sana nguvu ya pesa
 
Why is Tanzania suddenly censoring the media? Let the truth be said, we wananchi want to know the truth!
 
Lowasa.jpg
 
Nashauri JF tusitumie muda mwingi sana wa kujadili vituko anavyovifanya Lowassa na kambi yake sasa hivi.

Nia yao ni kutupoteza lengo watanzania. Wanaona uwezekano wa hatari ya hatima ya Lowassa na hivyo wanafanya maigizo na vichekesho ili watanzania msitumie muda kutafakari ufisadi.

Nashauri kama kuna wanasheria JF tutumie muda mwingi kuangalia namna gani ya kumwajibisha fisadi huyu ili kama inawezekana tujiunge hapa JF na tu-file kesi mahakamani (sio lazoma TZ) ili tumwajibishe. Tusipotee na usanii wao wa sasa hivi. Hakuna lolote la ajabu zaidi atakalolifanya Lowassa kuliko ambayo amekwisha-yafanya. Let's be focused.

Kama kuna mwanasheria yeyote mimi niko tayari kuweka sahihi yangu kama mshtaki. Maneno matupu hayatusaidii watanzania ni wakati wa kutenda sasa.
 
The combination of money and power is a dangerous political aphrodisiac. At this point Lowassa thinks he is above everyone and he can do and get whatever he wants.
My only fear is that this obsession of power may turn him into a maniac.
 
Back
Top Bottom