Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,092
- 43,265
oh snap !!
Mizengo Pinda for president 2010...
What? Yaani pamoja hayo aliyoyasema hapo? labda kama atabilisha usemi wake juu ya EL
hahahahahhaha wabongo bwana, mbona mnajifanya kustuka na kushangazwa kama vile hiko ni kitu cha ajabu kilichosemwa na Pinda. Hizo ndio Siasa za Bongo na zitaendelea kuwa hivyo miaka nenda rudi. Vingozi wataiba pesa na kuchukua rushwa na hakuna lolote watakalofanywa sana sana watasifiwa na kupigiwa vigelegele na hao hao wananchi walioridhika na umasikini wa hali ya juu. Asilimia kubwa ya watanzania wanaona dhiki na ufukara ni haki yao, umasikini ni haki yao, wanaona pia viongozi kuiba rasilimali za nchi ni jambo la kawaida na halina haja ya kukemewa. Kwa Tanzania Kiongozi Mwizi na Jambazi ni Shujaa na Hukumbatiwa wakati Mtetea Haki na Uongozi Bora ni wa Kushutumiwa na Kukimbiwa.
Sasa nikisema Waafrika Ndivyo Tulivyo nitakuwa nimekosea?
Sasa nikisema Waafrika Ndivyo Tulivyo nitakuwa nimekosea?
NN, nadhani inabidi urefine kidogo "Watanzania ndivyo tulivyo".. na nimeanza kukubali..
Well...nakubali tunaweza kurefine...lakini tatizo ni hili; nchi nyingi zilizopo Afrika kusini mwa jangwa la Sahara matatizo yake yanafana fanana. Uende Cameroon...upitie Guinea Bissau...Ghana...Nigeria....Zimbabwe....mambo yale yale tu. Juzi nimeona kwenye CNN International eti inflation ya Zimbabwe imefikia asilimia 66,000....how can this even be possible? Halafu eti chama cha Zanu-PF kimempendekeza Mugabe agombee tena...and guess what...atashinda tena na wakati huo huo Wazimbabwe wanakula panya!! Wakati wa Rhodesia mambo yalikuwa freshi...so nini kimetokea?
Natambua kwamba Waafrika wote si watu weusi but damn...we obviously got some issues....we can't run anything...
that brings us back to Kwame... our pimp mayor
Exactly...na mifano iko mingi tu!!
Huku GA kuna county moja inaitwa Clayton county. Population ni 90% African American....school district sasa hivi iko kwenye verge ya kupoteza accreditation. Budget ya district ni dola millioni 500 kwa mwaka lakini shule hazina vitabu na walimu wa kutosha kuwafundisha wanafunzi 52,000....where does all that money go? Halafu watu walioko kwenye bodi ni wale wale miaka nenda rudi huku kiwango cha elimu kikishuka mwaka baada ya mwaka. Kumbuka hawa watu huwa wanachaguliwa...kwa hiyo hizo nafasi za kwenye bodi ni kama za kisiasa...kama walivyo ma-district attorneys....yaani wee acha tu....mifano iko mingi mno
Yaani Hawa viongozi kweli lao moja na naona wanateteana sana jamani,
Yaani huyu Pinda anadhubutu kutuambia kuwa Ufisadi ni changamoto ya uongozi jamani, Kwa maana hiyo hata yeye anaweza kuwa Fisadi muda wowote sio, Jamani kaeni macho Boga lingine hili linaweza kupasuka saa yoyote,
Pinda lekebisha sentensi zako kuhusu Lowasa please