Tehe! Tehe! Tehe!!! Kama Kweli Ni Kiboko Ya Mafisadi, Angeenda Kuwanadi Akina WILLIAM NGELEJA, ANDREW CHENGE NA ANNA TIBAIJUKA Majukwaani!!!?? Akiwaomba Watanzania Wa Majimbo Hayo Wawachague, Ili Aje KUFANYA Nao Kazi!!!!!! Je, Huo Ufisadi Anauchukia Kwa Maneno!!?? Watanzania Wameshatambua MFUMO Wao CCM Ndio Shida!! Wanaogopana Kuchukuliana Hatua Kali Za Kisheria!!! WEZI Na MAFISADI Wanaombwa Kurudisha MAMILIONI Waliogawana, Na Kuachiwa Tu!! ( EPA)
Mbowe baada ya kulamba pesa kwa sasa anataka kutuuzia mbuzi kwenye gunia ili pia alambe pesa za ruzuku itokanayo na kura za Urais.Mjini shule,jamaa wamelamba hela ya mmasai wamejikata .sa hii analialia tu,afadhali karudisha chetu kidogo.
Babu duni wapi?acha hao wengine,meona Leo video rais ukawa kapitiliza jukwaa 2 times
Upotoshaji wangu uko wapi wakati unachokifanya ni kukubaliana zaidi na mada yangu!Mleta Mada amelenga !! Kupotosha
Ndo maana hujamtaja Mbatia ili Uongo wako uaminike??
Ukweli ni Kwamba Lowassa amewaomba Wapigakura wa wa Hai na.Vunjo
Mbowe na mbatia ili waongeze Nguvu kwenyee Kampeni ya kitaifa kuliko kwenye Majimbo.yao
Hoja yako nimeijibu hapa,Ni Ujuha Kuanzisha Uzi, Na Kuanza Kuuchangia wewe Mwenyewe Hii Inapoteza Uhalisia...
Hakuna taratibu au sheria zinazotaka au kutoa nafasi ya nani aanze kuchagia kwenye mada.
Thanks kwa hoja ambayo imebeba fikra zangu!Mkuu Lissu na Mbowe hawaamini kabisa kuwa Lowasa atashinda ndio maana wanaona kuachia majimbo yao kwa wengine itakuwa ni sawa na kuacha nchi kavu na kujitosa kwenye mto wenye mamba ukiwa una uhakika kuwa watakula mzima mzima.
Yes, kwa fikra zako Lowassa ni Rais lakini kuna uwezekano mkubwa fikra zako haziakisi fikra za wapiga kura wengi nchini.Lowassa ndio rais,hutaki kajinyonge
dogs??? am very curious,whom are you reffering as dogs btn ccm and Enl??
Yetu ni macho na masikio!Sumaye miaka yote ni Mr Zero na sasa hivi wala hamsaidii mgombea Ukawa, sasa Lowassa anaupata ukweli kwa kujionea mwenyewe.
Naona hawa watoa Mada huwa wanajipanga kama ambao wanapelekwa kwenye mikutano na Mafusso.Haja zenu hazina Mashiko.Safario hii nawambia Mtachoma Mahindi.Mlizoea vyakuzoea.sasa kudadekiii👾🙉🙉🙉🙉🙉
Yetu ni macho na masikio!
Shetani wa CHADEMA kwa sasa amekuwa ni maraika ndani ya CHADEMA
Kinachoendelea kwa sasa ndani ya CHADEMA/UKAWA ni zaidi ya ulaghai wa kisiasa.
Thanks kwa hoja ambayo imebeba fikra zangu!
Akili ya kawaida ndiyo ipi?Akili tu ya kawaida inakataa. Mtoa hoja kuwa mchangiaji tena wa mwanzo ni kituko.
Jaribu kuwa specific!Ukitaka kujua CCM haifai hata kwa nukta moja angalia
1. Wanaotegemewa kuwa viongozi ni mafisadi
2. Mfumo wote wa kifisadi
Watu wanaomkataa Lowassa nu kuyarudia matapishi ya CCM wanahitaji ushauri nasaha
Amepaniki!Katika kuonyesha kama haiamini tena timu anayoambatana nayo au anataka mtu wa kumsaidia kuongea zaidi na kufafanua kwa ufasaha, Lowassa amemuomba Mbowe waandamane naye kwenye mikutano yake yote iliyobaki ya kampeni za Uchaguzi Mkuu.
Lowassa alitoa ombi maalum kwa Mbowe wakati wa kikao maalum cha kutafakari hali ya kampeni na mwerekeo wake.
Lowassa alimsihi Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kuendelea kuambatana naye kwenye kampeni ili aongeze nguvu kwenye timu yake.
Lowassa alisisitiza na kusema Mbowe anaweza kufanya kampeni zake kwenye Jimbo la Hai na pia kuweka timu ambayo itamsaidia wakati atakapokuwa nje ya jimbo kumpigia kampeni mgombea urais.
Wataalam wa siasa wanabaki na maswali mengi hasa ikichukuliwa uwezo wa Lowassa katika kutoa hotuba na kujieleza kwa wananchi ni mdogo achilia mbali afya yake. Ikumbukwe, Lowassa mara nyingi amekuwa hachukui zaidi ya dakika tano katika hotuba zake.
Lowassa amekuwa akiambatana mara nyingi kwenye mikutano ya kampeni na kundi lake ambalo lilimfuata CHADEMA kutoka CCM. Hawa ni pamoja na Sumaye, Mgeja, Masha na Goodluck Ole Medeye.
Is this Twaweza and Synovate opinion polls psychological effect?
Is Lowassa and his inept team have pushed the panic button?
Kumbe wewe ni liCCM ndio maana umeandika ujinga kama huu?Yetu ni macho na masikio!
Shetani wa CHADEMA kwa sasa amekuwa ni maraika ndani ya CHADEMA
Kinachoendelea kwa sasa ndani ya CHADEMA/UKAWA ni zaidi ya ulaghai wa kisiasa.