MsemajiUkweli
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 13,185
- 24,055
- Thread starter
- #181
Una maana gani?uchaguzi wa octoba 25 ni ajabu la 8 la dunia
Naomba ufafanuzi zaidi!
Una maana gani?uchaguzi wa octoba 25 ni ajabu la 8 la dunia
Nilimkataa Lowassa akiwa CCM, ninaendelea kumkataa akiwa nje ya CCM.
Lowassa hafai kuwa Rais wa Tanzania achilia mbali udhoofu wake kifikra na kiafya.
Ninapenda bunge liwe na wabunge wengi wa upinzani ili bunge lisiwe rubber stamp na lifanye kazi yake kamili ya kutunga sheria na kuisimamia kikamilifu serikali ya Magufuli.
Kura yangu itakuwa ni moja ya kura zitakazozuia Lowassa kuwa Rais wa Tanzania.
I cant let our beautiful country go to the dogs!
Taarifa ya 4u movement kuhusu waliozimia tanga
Waliozimia ni watu waliotoka Kilimanjaro, Arusha na Manyara, walikuwa wana UCHOVU wa safari. Maana waliondoka kwao Asubuhi kwa kusombwa na mabasi na wakaingia Tanga mchana bila kupumzika, kula wala kunywa maji wala juice wakapitilizia uwanjaNi. Kwann wasizimie❓❗
Ninawapa pole maana ni watanzaNia wenzangu.
Ila huu mchezo wa kusomba watu kwenye mabasi mikoa mpaka mikoa uishe, watanzaNia wanateseka saNa.
Watu walisombwa kama watumwa toka mikoani kuja Tanga tena bila kula lazimwazimie, mungu awaponye haraka majerui tare 25 wachague hapa kazi tu
Una haki ya kuwa na wasiwasi lakini haki yako haiondoi ukweli wa mada!Nina wasiwasi na source ya hii taarifa!!!
Na hasa ukizingatia The author (MsemajiUkweli) is the first commenter of his/ her own post!!!
Ni haki yako!
Hata Mungu aliamua kuwapa haki binadamu kuchagua shetani au Mungu.
Maamuzi yako ndiyo yatakayo kuangamiza!
Nilimkataa Lowassa akiwa CCM, ninaendelea kumkataa akiwa nje ya CCM.
Lowassa hafai kuwa Rais wa Tanzania achilia mbali udhoofu wake kifikra na kiafya.
Ninapenda bunge liwe na wabunge wengi wa upinzani ili bunge lisiwe rubber stamp na lifanye kazi yake kamili ya kutunga sheria na kuisimamia kikamilifu serikali ya Magufuli.
Kura yangu itakuwa ni moja ya kura zitakazozuia Lowassa kuwa Rais wa Tanzania.
I cant let our beautiful country go to the dogs!
Kwani taratibu na sheria za Jamiiforums zimevunjwa?Unapost mwenyewe na unakuwa mchangiaji wa kwanza kwenye post yako....unajitekenya na unakuwa wa kwanza kucheka mwenyewe!!!!!!
Tulieni.........
Kweli, anahitaji kusaidiwa.Kwani wako vyama tofauti mpaka waombane kusaidiana?
Nadhani haelewi mantiki ya comment yake.Lembu, hebu soma tena maandishi yako na utafakari upya!
Unamzungumzia Lowasa au Magufuli?
Nashukuru kama nawe una msimamo kama wangu.Tupo wengi wenye msimamo kama wako..Pia huwaga nawasifu Wahariri wa Raia Mwema na Raia Tanzania hawakumkubali Lowassa akiwa ccm na hata alipohamia cdm bado hawamkubali kwa vigezo vilevile ila wengine ni waganga njaa...bendera kufuata upepo
NARUDIA KUSEMA TENA KUSEMA; Huko kama ni silaha zote nibutu. Lowas anaamini mbowe pekeyake ndo anaweza kumsaidia kuongea na nadhani yukosawa maana huwezi kumtegemea mtu kama suma akupugie campeni mpaka uchukue nchi sidhani. maana nimeanza kuwa nawasiwasi naye kauli alizoanza kuzitoa kuwa UKAWA hawawezi kuongoza serikali. Na nadhani atakuwa ameenda ukawa na lake jambo Ukifika kwenye mikutano yake ukamsikiliza lowas akimaliza kuongea badala ya kupata matumaini unakata tamaa na ndomaana anataka mbw ndo awe muongeaji wake na si mtumwingine. Hii ni sawa na kusema maguful amwambie jk amsemee majukwaani iliashinde urais 2015 Umeona wapi hiyo!!?? unadhani nini kitatokea. Lakini sasa shida ni kwamba akiambatana na mgombea urais na jimbo lake je??? Nakauli anazoanza kuzitoa lowas zinaashiria kushindwa kabla hata... Kama uwezi kujieleza wewe mwenyewe kwenye panel ya INTERVIEW ambayo ni wananchi unaomba kazi ya urais ya nini??
Kuna baadhi ya watu inakuwa ni vigumu kuelewa kama wanachokisema kinasababishwa na ujinga au upumbavu.Utakuja kumuelewa mzee Baada ya uchaguzi... Maana uelewa wako ni mdogo sana kiasi cha kukufanya uelewe hivi sasa
Tunaambiwa eti Lowassa na Sumaye wamesamehewa kana kwamba wametubu dhambi zao! Hata kama wametubu dhambi zao, ni lini CHADEMA imekuwa dhehebu la dini?We kweli nyumbu hujaona tatizo nini..?Tatizo hata huyo mnaetaka atuongoze amekaa CCM miaka 50 sasa mnatuambiaje kama kuna mabadiliko...?jiongeze bhana
Kwani wewe umekojoa na kulala?pathetic haya kakojowe ulale
Ni kweli utastaajabu hoja yangu kwa sababu huwezi kufahamu mantiki yake.