Lowassa amuomba Mbowe amsaidie kwenye kampeni!

Lowassa amuomba Mbowe amsaidie kwenye kampeni!

MsemajiUkweli

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2012
Posts
13,185
Reaction score
24,055
Katika kuonyesha kama haiamini tena timu anayoambatana nayo au anataka mtu wa kumsaidia kuongea zaidi na kufafanua kwa ufasaha, Lowassa amemuomba Mbowe waandamane naye kwenye mikutano yake yote iliyobaki ya kampeni za Uchaguzi Mkuu.

Lowassa alitoa ombi maalum kwa Mbowe wakati wa kikao maalum cha kutafakari hali ya kampeni na mwerekeo wake.

Lowassa alimsihi Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kuendelea kuambatana naye kwenye kampeni ili aongeze nguvu kwenye timu yake.

Lowassa alisisitiza na kusema Mbowe anaweza kufanya kampeni zake kwenye Jimbo la Hai na pia kuweka timu ambayo itamsaidia wakati atakapokuwa nje ya jimbo kumpigia kampeni mgombea urais.

Wataalam wa siasa wanabaki na maswali mengi hasa ikichukuliwa uwezo wa Lowassa katika kutoa hotuba na kujieleza kwa wananchi ni mdogo achilia mbali afya yake. Ikumbukwe, Lowassa mara nyingi amekuwa hachukui zaidi ya dakika tano katika hotuba zake.

Lowassa amekuwa akiambatana mara nyingi kwenye mikutano ya kampeni na kundi lake ambalo lilimfuata CHADEMA kutoka CCM. Hawa ni pamoja na Sumaye, Mgeja, Masha na Goodluck Ole Medeye.

Is this Twaweza and Synovate opinion polls psychological effect?

Is Lowassa and his inept team have pushed the panic button?
 
Nilimkataa Lowassa akiwa CCM, ninaendelea kumkataa akiwa nje ya CCM.

Lowassa hafai kuwa Rais wa Tanzania achilia mbali udhoofu wake kifikra na kiafya.

Ninapenda bunge liwe na wabunge wengi wa upinzani ili bunge lisiwe rubber stamp na lifanye kazi yake kamili ya kutunga sheria na kuisimamia kikamilifu serikali ya Magufuli.

Kura yangu itakuwa ni moja ya kura zitakazozuia Lowassa kuwa Rais wa Tanzania.
 
well spoken
 
Tehe! Tehe! Tehe!!! Kama Kweli Ni Kiboko Ya Mafisadi, Angeenda Kuwanadi Akina WILLIAM NGELEJA, ANDREW CHENGE NA ANNA TIBAIJUKA Majukwaani!!!?? Akiwaomba Watanzania Wa Majimbo Hayo Wawachague, Ili Aje KUFANYA Nao Kazi!!!!!! Je, Huo Ufisadi Anauchukia Kwa Maneno!!?? Watanzania Wameshatambua MFUMO Wao CCM Ndio Shida!! Wanaogopana Kuchukuliana Hatua Kali Za Kisheria!!! WEZI Na MAFISADI Wanaombwa Kurudisha MAMILIONI Waliogawana, Na Kuachiwa Tu!! ( EPA)
 
Nilimkataa Lowassa akiwa CCM, ninaendelea kumkataa akiwa nje ya CCM.

Lowassa hafai kuwa Rais wa Tanzania achilia mbali udhoofu wake kifikra na kiafya.

Ninapenda bunge liwe na wabunge wengi wa upinzani ili bunge lisiwe rubber stamp na lifanye kazi yake kamili ya kutunga sheria na kuisimamia kikamilifu serikali ya Magufuli.

Kura yangu itakuwa ni moja ya kura zitakazozuia Lowassa kuwa Rais wa Tanzania.

If you ever call fellow human being 'dogs' hekima yako iko wapi?
 
Nilimkataa Lowassa akiwa CCM, ninaendelea kumkataa akiwa nje ya CCM.

Lowassa hafai kuwa Rais wa Tanzania achilia mbali udhoofu wake kifikra na kiafya.

Ninapenda bunge liwe na wabunge wengi wa upinzani ili bunge lisiwe rubber stamp na lifanye kazi yake kamili ya kutunga sheria na kuisimamia kikamilifu serikali ya Magufuli.

Kura yangu itakuwa ni moja ya kura zitakazozuia Lowassa kuwa Rais wa Tanzania.

I can't let our beautiful country go to the dogs!

Msome kwa makini huyu great thinker hapa chini....

Bora nimkabizi nchi dog na sio dogs

Bora mbwa mmoja kuliko mijibwa mingi milafi.
 
Nilimkataa Lowassa akiwa CCM, ninaendelea kumkataa akiwa nje ya CCM.

Lowassa hafai kuwa Rais wa Tanzania achilia mbali udhoofu wake kifikra na kiafya.

Ninapenda bunge liwe na wabunge wengi wa upinzani ili bunge lisiwe rubber stamp na lifanye kazi yake kamili ya kutunga sheria na kuisimamia kikamilifu serikali ya Magufuli.

Kura yangu itakuwa ni moja ya kura zitakazozuia Lowassa kuwa Rais wa Tanzania.

I can’t let our beautiful country go to the dogs!

dogs??? am very curious,whom are you reffering as dogs btn ccm and Enl??
 
nilimkataa lowassa akiwa ccm, ninaendelea kumkataa akiwa nje ya ccm.

Lowassa hafai kuwa rais wa tanzania achilia mbali udhoofu wake kifikra na kiafya.

Ninapenda bunge liwe na wabunge wengi wa upinzani ili bunge lisiwe rubber stamp na lifanye kazi yake kamili ya kutunga sheria na kuisimamia kikamilifu serikali ya magufuli.

Kura yangu itakuwa ni moja ya kura zitakazozuia lowassa kuwa rais wa tanzania.

unaleta swali na jibu unatoa mwenyewe. Tumia akili kufikiri kura yangu ndo itakayo mzuia mpiga push up kuingia ikulu.lowasa ikulu yake.
 
Hii tabia ya kuanzisha thread Na kuanza kuchangia mwenyewe pia Ni ulofa.

timu lumumba wanapewa vitu vya kuja kupost huku,then wanajichanganya na kuanza kuchangia wenyewe...........

unakaa unajiuliza huyu km kwel kaandika mwenyew kwann hajayasema yote kwenye bandiko lake kuu mpk awe wa kwanza kucomment mwenyew???????

vijana wa makamba sijui akili zao nazo wameweka rehani hawa hahahaaaa
 
tehe! Tehe! Tehe!!! Kama kweli ni kiboko ya mafisadi, angeenda kuwanadi akina william ngeleja, andrew chenge na anna tibaijuka majukwaani!!!?? Akiwaomba watanzania wa majimbo hayo wawachague, ili aje kufanya nao kazi!!!!!! Je, huo ufisadi anauchukia kwa maneno!!?? Watanzania wameshatambua mfumo wao ccm ndio shida!! Wanaogopana kuchukuliana hatua kali za kisheria!!! Wezi na mafisadi wanaombwa kurudisha mamilioni waliogawana, na kuachiwa tu!! ( epa)

haya mambo yako tanzania tu wametukosea sana hawa ccm muda wa kuwatia adabu ni huu ndio maana wanatumia nguvu nyingi kupiga kampeni tumewapa miaka 50 wamelala tu zamu ya wengine kuongoza wao ni nani?
 
Lowasa tunampenda ila tukienda mbali zaidi tutakula hasara juu ya mtu huyu,ukiachia afya yake lowasa atakapokua rais atachukua muda mwingi kulipa fadhila kwa wadau mbalimbali,kitu hiki ndicho pia kilichomponza kikwete.
 
Back
Top Bottom