Lowassa amuomba Mbowe amsaidie kwenye kampeni!

Is Lowassa and his inept team have pushed the panic button?

Nakumbuka kutoa pendekezo mapema tu kuwa kama Lissu na Mbowe wanaamini kabisa katika Ushindi wa Lowassa walitakiwa waachilie majimbo yao kwa Wanachadema wengine ili wao waongoze kampeni ya Lowassa. Kwa vile wanauhakika atashinda Urais basi angeweza kuja kuwateua zile nafasi kumi na hivyo wangeendelea kuwa wabunge... bahati mbaya sasa hivi Wana CCM wanaendesha kampeni zote mbili za Magufuli na ya Lowassa.. think about it!
 
Naomba kujua mfumo wa cdm plz maana kuna mtu ananichanganya et anasema mfumo wa cdm ni kuwssafisha mafisadi mf el, sumay, mash nk yaan anamaanisha walio toka ccm na kule ccm walijukana kuwa ni fisad's tosha, sasa anayejua mfumo wa cdm au ukawa nifahamishen wakuu
 
Tehe! Tehe! Tehe!!! Kama Kweli Ni Kiboko Ya Mafisadi, Angeenda Kuwanadi Akina WILLIAM NGELEJA, ANDREW CHENGE NA ANNA TIBAIJUKA Majukwaani!!!?? Akiwaomba Watanzania Wa Majimbo Hayo Wawachague, Ili Aje KUFANYA Nao Kazi!!!!!! Je, Huo Ufisadi Anauchukia Kwa Maneno!!?? Watanzania Wameshatambua MFUMO Wao CCM Ndio Shida!! Wanaogopana Kuchukuliana Hatua Kali Za Kisheria!!! WEZI Na MAFISADI Wanaombwa Kurudisha MAMILIONI Waliogawana, Na Kuachiwa Tu!! ( EPA)
Hoja yako ni nini?

Watanzani ndiyo kina nani katika fikra zako? Jisemee nafsi yako kwa sababu hata mimi ni mtanzania lakini sitaki Lowassa awe Rais wa Tanzania.

Nani alikudanganya kuwa Magufuli amewanadi kwenye kampeni kina Chenge, Tibaijuka na Ngeleja?

Ni mfumu upi ulio bora zaidi ya mfumo wa CCM? Au Lowassa na kundi lake la The Three Musketeers – nawamaanisha Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye ndiyo mfumo unaoupigia chapuo?

Lowassa mabadiliko, Mabadiliko Lowassa. My left foot
 
Katika kuonyesha kama haiamini tena timu anayoambatana nayo au anataka mtu wa kumsaidia kuongea zaidi na kufafanua kwa ufasaha, Lowassa amemuomba Mbowe waandamane naye kwenye mikutano yake yote iliyobaki ya kampeni za Uchaguzi Mkuu.

Lowassa alitoa ombi maalum kwa Mbowe wakati wa kikao maalum cha kutafakari hali ya kampeni na mwerekeo wake.

Lowassa alimsihi Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kuendelea kuambatana naye kwenye kampeni ili aongeze nguvu kwenye timu yake.

Lowassa alisisitiza na kusema Mbowe anaweza kufanya kampeni zake kwenye Jimbo la Hai na pia kuweka timu ambayo itamsaidia wakati atakapokuwa nje ya jimbo kumpigia kampeni mgombea urais.

Wataalam wa siasa wanabaki na maswali mengi hasa ikichukuliwa uwezo wa Lowassa katika kutoa hotuba na kujieleza kwa wananchi ni mdogo achilia mbali afya yake. Ikumbukwe, Lowassa mara nyingi amekuwa hachukui zaidi ya dakika tano katika hotuba zake.

Lowassa amekuwa akiambatana mara nyingi kwenye mikutano ya kampeni na kundi lake ambalo lilimfuata CHADEMA kutoka CCM. Hawa ni pamoja na Sumaye, Mgeja, Masha na Goodluck Ole Medeye.

Is this Twaweza and Synovate opinion polls psychological effect?

Is Lowassa and his inept team have pushed the panic button?

Ukimwachia Sumaye ndo awe mpiga kampeni wako mkuu lazima uchemshe.
Jiulize, nguvu ya ushawishi wa Sumaye ni ipi?

kama ukitaka kujua nguvu ya Sumaye angalia tu, angekuwa CCM akaitisha mkutano wa hadhara pale Mbeya wangehudhuria watu wangapi?

Huo ndo uwezo wa Sumaye.
 
Katika kuonyesha kama haiamini tena timu anayoambatana nayo au anataka mtu wa kumsaidia kuongea zaidi na kufafanua kwa ufasaha, Lowassa amemuomba Mbowe waandamane naye kwenye mikutano yake yote iliyobaki ya kampeni za Uchaguzi Mkuu.

Lowassa alitoa ombi maalum kwa Mbowe wakati wa kikao maalum cha kutafakari hali ya kampeni na mwerekeo wake.

Lowassa alimsihi Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kuendelea kuambatana naye kwenye kampeni ili aongeze nguvu kwenye timu yake.

Lowassa alisisitiza na kusema Mbowe anaweza kufanya kampeni zake kwenye Jimbo la Hai na pia kuweka timu ambayo itamsaidia wakati atakapokuwa nje ya jimbo kumpigia kampeni mgombea urais.

Wataalam wa siasa wanabaki na maswali mengi hasa ikichukuliwa uwezo wa Lowassa katika kutoa hotuba na kujieleza kwa wananchi ni mdogo achilia mbali afya yake. Ikumbukwe, Lowassa mara nyingi amekuwa hachukui zaidi ya dakika tano katika hotuba zake.

Lowassa amekuwa akiambatana mara nyingi kwenye mikutano ya kampeni na kundi lake ambalo lilimfuata CHADEMA kutoka CCM. Hawa ni pamoja na Sumaye, Mgeja, Masha na Goodluck Ole Medeye.

Is this Twaweza and Synovate opinion polls psychological effect?

Is Lowassa and his inept team have pushed the panic button?

MSEMAJIUONGO, acha hadaa.
Ukweli ni kuwa Lowassa akiwa kwenye mkutano wa hadhara HAI na VUNJO, aliwaombea Mbowe Na Mbatia ruhusa kwa wapiga kura wao kuwa watakuwa hawawaoni mara kwa mara kwa ajili ya kushiriki kampeni za kitaifa kama wenyeviti wenza wa UKAWA!
 
Katika kuonyesha kama haiamini tena timu anayoambatana nayo au anataka mtu wa kumsaidia kuongea zaidi na kufafanua kwa ufasaha, Lowassa amemuomba Mbowe waandamane naye kwenye mikutano yake yote iliyobaki ya kampeni za Uchaguzi Mkuu.

Lowassa alitoa ombi maalum kwa Mbowe wakati wa kikao maalum cha kutafakari hali ya kampeni na mwerekeo wake.

Lowassa alimsihi Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kuendelea kuambatana naye kwenye kampeni ili aongeze nguvu kwenye timu yake.

Lowassa alisisitiza na kusema Mbowe anaweza kufanya kampeni zake kwenye Jimbo la Hai na pia kuweka timu ambayo itamsaidia wakati atakapokuwa nje ya jimbo kumpigia kampeni mgombea urais.

Wataalam wa siasa wanabaki na maswali mengi hasa ikichukuliwa uwezo wa Lowassa katika kutoa hotuba na kujieleza kwa wananchi ni mdogo achilia mbali afya yake. Ikumbukwe, Lowassa mara nyingi amekuwa hachukui zaidi ya dakika tano katika hotuba zake.

Lowassa amekuwa akiambatana mara nyingi kwenye mikutano ya kampeni na kundi lake ambalo lilimfuata CHADEMA kutoka CCM. Hawa ni pamoja na Sumaye, Mgeja, Masha na Goodluck Ole Medeye.

Is this Twaweza and Synovate opinion polls psychological effect?

Is Lowassa and his inept team have pushed the panic button?
Ile betri inayojulikana kama Sumaye imekwisha kazi.
Matokeo ya kumnadi mgombea mgonjwa sasa yako dhahiri.

Mwishowe Lowasa ataomna Dr Slaa amsaidie kumnadi, yeye mwenyewe hatoshi kujinadi.
 
Katika kuonyesha kama haiamini tena timu anayoambatana nayo au anataka mtu wa kumsaidia kuongea zaidi na kufafanua kwa ufasaha, Lowassa amemuomba Mbowe waandamane naye kwenye mikutano yake yote iliyobaki ya kampeni za Uchaguzi Mkuu.

Lowassa alitoa ombi maalum kwa Mbowe wakati wa kikao maalum cha kutafakari hali ya kampeni na mwerekeo wake.

Lowassa alimsihi Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kuendelea kuambatana naye kwenye kampeni ili aongeze nguvu kwenye timu yake.

Lowassa alisisitiza na kusema Mbowe anaweza kufanya kampeni zake kwenye Jimbo la Hai na pia kuweka timu ambayo itamsaidia wakati atakapokuwa nje ya jimbo kumpigia kampeni mgombea urais.

Wataalam wa siasa wanabaki na maswali mengi hasa ikichukuliwa uwezo wa Lowassa katika kutoa hotuba na kujieleza kwa wananchi ni mdogo achilia mbali afya yake. Ikumbukwe, Lowassa mara nyingi amekuwa hachukui zaidi ya dakika tano katika hotuba zake.

Lowassa amekuwa akiambatana mara nyingi kwenye mikutano ya kampeni na kundi lake ambalo lilimfuata CHADEMA kutoka CCM. Hawa ni pamoja na Sumaye, Mgeja, Masha na Goodluck Ole Medeye.

Is this Twaweza and Synovate opinion polls psychological effect?

Is Lowassa and his inept team have pushed the panic button?

Umeto.mbeka makalio wewe! Jamaa yenu wa "todays is just to congregations you" ameshaanza kutapatapa na kuwataja wasaliti hadharani, mwaka huu mtajibeba!
 
Eti wataalamu wa siasa....
Mdanganye Mzee Mwanakijiji ambaye mtashiriki dhambi ya kuvuruga harakati za ukombozi....
Watanzania wanataka mabadiliko.. Hawatasubiri hadi nyie mkubali...Na hawatayaleta katika njia mnayotaka nyie...!!
 
Lowasa anaweza ufisadi tu hakuna jambo lingine anaweza mzee mwizi sana.
Gazeti la Mtanzania eti limemnukuu akisema atakomesha rushwa.

Ni sawa na kusikia kauli ya shetani akisema atasamehe wanadamu waliotenda dhambi!
 
Lowasa tunampenda ila tukienda mbali zaidi tutakula hasara juu ya mtu huyu,ukiachia afya yake lowasa atakapokua rais atachukua muda mwingi kulipa fadhila kwa wadau mbalimbali,kitu hiki ndicho pia kilichomponza kikwete.
Lowassa hafai kuwa Rais wa Tanzania.
 
Hoja yako ni nini?

Watanzani ndiyo kina nani katika fikra zako? Jisemee nafsi yako kwa sababu hata mimi ni mtanzania lakini sitaki Lowassa awe Rais wa Tanzania.

Nani alikudanganya kuwa Magufuli amewanadi kwenye kampeni kina Chenge, Tibaijuka na Ngeleja?

Ni mfumu upi ulio bora zaidi ya mfumo wa CCM? Au Lowassa na kundi lake la The Three Musketeers – nawamaanisha Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye ndiyo mfumo unaoupigia chapuo?

Lowassa mabadiliko, Mabadiliko Lowassa. My left foot
Bora kutokuwa na mfumo kuliko Kuwa na serikali yenye mfumo kandamizi , WA wezi na usiojali maisha ya Wananchi. CCM WAMESHIBA HAWAWAJALI TENA WATANZANIA WENYE NJAA.
 
dogs??? am very curious,whom are you reffering as dogs btn ccm and Enl??

Dont confuse peoples here! Is CCM an empty box or what? CCM is a Party and EL inclusive. If CCM is corrupt you mean Peoples plus EL and Sumaye. They have left the CCM clean. Those are my views. Nzi mmoja anaweza kuichafua Glass ya kinywaji endapo ataingia humo. Akihamishiwa kwebye glass nyingine mpya ndiyo glass hiyo itakuwa safi kwa nzi yuleyule na huku paendelee kuwa pachafu wakati nzi mchafu keshatolewa? Haya mnafanya matani.
 
unaleta swali na jibu unatoa mwenyewe. Tumia akili kufikiri kura yangu ndo itakayo mzuia mpiga push up kuingia ikulu.lowasa ikulu yake.
Nashukuru kwa kulielewa jibu langu.

Ni haki yako pia kumzuia mpiga push kuingia Ikulu.

Hata shetani amepewa haki na Mungu ya kuwa na wafuasi wake ingawa hao wafuasi wa shetani ndiyo watakaoangamia!
 
Nakumbuka kutoa pendekezo mapema tu kuwa kama Lissu na Mbowe wanaamini kabisa katika Ushindi wa Lowassa walitakiwa waachilie majimbo yao kwa Wanachadema wengine ili wao waongoze kampeni ya Lowassa. Kwa vile wanauhakika atashinda Urais basi angeweza kuja kuwateua zile nafasi kumi na hivyo wangeendelea kuwa wabunge... bahati mbaya sasa hivi Wana CCM wanaendesha kampeni zote mbili za Magufuli na ya Lowassa.. think about it!
Kimantiki na kiuhalisia, Mbowe na Lissu wanafahamu Lowassa hawezi kushinda Urais ndiyo maana hawakutaka kuziachia fursa zao za kupata ubunge ambazo wanaamini kuna uhakika wa kuzipata.
 
Eti wataalamu wa siasa....
Mdanganye Mzee Mwanakijiji ambaye mtashiriki dhambi ya kuvuruga harakati za ukombozi....
Watanzania wanataka mabadiliko.. Hawatasubiri hadi nyie mkubali...Na hawatayaleta katika njia mnayotaka nyie...!!

Umemuona huyo mfuasi wa padri mzinzi alivyofurahia?
 
Back
Top Bottom