Lowassa amuomba Mbowe amsaidie kwenye kampeni!

Lowassa amuomba Mbowe amsaidie kwenye kampeni!

Hoja yako ni nini?

Watanzani ndiyo kina nani katika fikra zako? Jisemee nafsi yako kwa sababu hata mimi ni mtanzania lakini sitaki Lowassa awe Rais wa Tanzania.

Nani alikudanganya kuwa Magufuli amewanadi kwenye kampeni kina Chenge, Tibaijuka na Ngeleja?

Ni mfumu upi ulio bora zaidi ya mfumo wa CCM? Au Lowassa na kundi lake la The Three Musketeers – nawamaanisha Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye ndiyo mfumo unaoupigia chapuo?

Lowassa mabadiliko, Mabadiliko Lowassa. My left foot

Magufuli amesema hatavumila ufisadi na amesema anasema ukweli, ukweli kabisa. Kwa vile Takukuru wanayo majalada yote ya watuhumiwa kazi ni rahisi. Yale yenye ushahidi lkn Hosea anaogopa kumpatia DPP kwa hofu ya wakubwa Fulani, sasa lazima yatapelekwa kwani tingatinga halijali majabali wala milima. Liwalo na liwe wananchi lkn wapate maisha bora.
 
Mussa alikuwa hawezi hata kujieleza lakini alikuwa kiongozi shujaa aliyewaokoa Wayahudi kutoka kwenye utumwa wa Farao. Kuongea sana sio kigezo cha utendaji. Historia inatoa jibu sahihi

JK alikuja na umahiri wa hali ya juu kwenye kuongea, wapi yale maisha bora!
Kwa hiyo unataka kuniambia Lowassa ni kama Mussa? Hivi unaelewa hata mantiki ya hoja yako?

Kuhusu kauli na umahili wa Kikwete msikilize huyu,



Ndiyo maana ninasema Lowassa hafai kuwa Rais wa Tanzania.
 
Last edited by a moderator:
Nilimkataa Lowassa akiwa CCM, ninaendelea kumkataa akiwa nje ya CCM.

Lowassa hafai kuwa Rais wa Tanzania achilia mbali udhoofu wake kifikra na kiafya.

Ninapenda bunge liwe na wabunge wengi wa upinzani ili bunge lisiwe rubber stamp na lifanye kazi yake kamili ya kutunga sheria na kuisimamia kikamilifu serikali ya Magufuli.

Kura yangu itakuwa ni moja ya kura zitakazozuia Lowassa kuwa Rais wa Tanzania.

I can’t let our beautiful country go to the dogs!

Dogs tena? Muogope mungu wewe
 
Hiv nyie magamba mnajua kuwa maguful yupo kwenye kampen itinga? Maana naona mnalia na lowasa tu! Msemeen na maguful kidogo eti! Halaf hata hamjui samia sululu leo yupo wap
 
Nilimkataa Lowassa akiwa CCM, ninaendelea kumkataa akiwa nje ya CCM.

Lowassa hafai kuwa Rais wa Tanzania achilia mbali udhoofu wake kifikra na kiafya.

Ninapenda bunge liwe na wabunge wengi wa upinzani ili bunge lisiwe rubber stamp na lifanye kazi yake kamili ya kutunga sheria na kuisimamia kikamilifu serikali ya Magufuli.

Kura yangu itakuwa ni moja ya kura zitakazozuia Lowassa kuwa Rais wa Tanzania.

I can’t let our beautiful country go to the dogs!

Mkuu hapo mwusho umearibu kabisa hizi siasa zisituondolee heshima zetu
 
Upinzani wamepoteza mwelekeo wao wanaangalia zaidi nafasi ya uraisi na kuinadi kwa bidii zote bila kuzingatia BUNGE. wamesahau kama wabunge ndio muhimili mkuu wa serikali. Ukawa siku zilizobakia wabunge wenu wote warudi majimboni wakajinadi usiku na mchana wafike kusikofikika vijiji na vijiji watapata wananchi wanachohitaji ambayo ni serikali kwa ajili YA watanzania sio serikali kwa ajili ya familia fulani. Potelea mbali hata Magufuli ashinde nguvu elekezeni bungeni wajameni
 
Hiv nyie magamba mnajua kuwa maguful yupo kwenye kampen itinga? Maana naona mnalia na lowasa tu! Msemeen na maguful kidogo eti! Halaf hata hamjui samia sululu leo yupo wap
Leo atakuwa huku.

IMG_0178.JPG
 
Lowassa kwishney ..CDM wamemkimbia kabaki na mbowe tapeli
Mbowe yuko kibiashara!

Huoni ameamua kutokuacha hata ubunge ili kumsaidia Lowassa katika kampeni zake.

Mbowe anafahamu Lowassa hawezi kushinda Urais bali ataongeza pesa za ruzuku ndani ya CHADEMA zitokanazo na wingi wa kura za Urais.
 
Magufuri kunadi change Anna Ngeleja ni tofauti na ayasemayo hana jipya ccm wameoza Lowassa ni chaguo la Mungu ili kuinusuru nchi...
 
Taarifa ya 4u movement kuhusu waliozimia tanga


Waliozimia ni watu waliotoka Kilimanjaro, Arusha na Manyara, walikuwa wana UCHOVU wa safari. Maana waliondoka kwao Asubuhi kwa kusombwa na mabasi na wakaingia Tanga mchana bila kupumzika, kula wala kunywa maji wala juice wakapitilizia uwanjaNi. Kwann wasizimie❓❗

Ninawapa pole maana ni watanzaNia wenzangu.

Ila huu mchezo wa kusomba watu kwenye mabasi mikoa mpaka mikoa uishe, watanzaNia wanateseka saNa.

Watu walisombwa kama watumwa toka mikoani kuja Tanga tena bila kula lazimwazimie, mungu awaponye haraka majerui tare 25 wachague hapa kazi tu
 
Akili za magamba zimefikia mwisho kwa sasa. Badala ya kujadili sera za chama, wao kutwa kucha wanamjadili Lowassa na Ukawa.

Hebu leteni thread za kujadili sera za vyama ili tuzichambue
 
Mimi nilidhani upopoma wako ni kwa diamond tu kumbe hata huku?
Mamio kala hasara.

nifH nakupenda ila kwanza toka hapaa ..... unanichagulia pa kupenda....... hiyo hasara aliyopata Mama yangu alianza kupata Bibi yako ..... jenga hoja ukishindwa GTFOH
 
Back
Top Bottom