MsemajiUkweli
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 13,185
- 24,055
- Thread starter
- #61
Yes, ninaweza nisiwe na athari kubwa lakini haki yangu nitakuwa nimeitumia katika msingi wa haki kwa kizazi kijacho.Msemaji ukweli huna lolote wewe nani mpaka umkatae? Huna athali yoyote kwa lowassa mamilioni yanamkubali mkuu
Ni haki yangu kusema kwa vitendo, Lowassa hafai kuwa Rais wa Tanzania.