Katika kuonyesha kama haiamini tena timu anayoambatana nayo au anataka mtu wa kumsaidia kuongea zaidi na kufafanua kwa ufasaha, Lowassa amemuomba Mbowe waandamane naye kwenye mikutano yake yote iliyobaki ya kampeni za Uchaguzi Mkuu.
Lowassa alitoa ombi maalum kwa Mbowe wakati wa kikao maalum cha kutafakari hali ya kampeni na mwerekeo wake.
Lowassa alimsihi Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kuendelea kuambatana naye kwenye kampeni ili aongeze nguvu kwenye timu yake.
Lowassa alisisitiza na kusema Mbowe anaweza kufanya kampeni zake kwenye Jimbo la Hai na pia kuweka timu ambayo itamsaidia wakati atakapokuwa nje ya jimbo kumpigia kampeni mgombea urais.
Wataalam wa siasa wanabaki na maswali mengi hasa ikichukuliwa uwezo wa Lowassa katika kutoa hotuba na kujieleza kwa wananchi ni mdogo achilia mbali afya yake. Ikumbukwe, Lowassa mara nyingi amekuwa hachukui zaidi ya dakika tano katika hotuba zake.
Lowassa amekuwa akiambatana mara nyingi kwenye mikutano ya kampeni na kundi lake ambalo lilimfuata CHADEMA kutoka CCM. Hawa ni pamoja na Sumaye, Mgeja, Masha na Goodluck Ole Medeye.
Is this Twaweza and Synovate opinion polls psychological effect?
Is Lowassa and his inept team have pushed the panic button?
Ndugu naona wewe ni katika team slaa au la sivyo ni team lumumba.
Unapaswa kufikiri kidogo,ili umshinde adui yako unapaswa kutumia mbinu za ziada kwa kujua siri zake za ndani kabisa.
Hata usa na soviet union walichukuliana wataalamu na wanasayansi ili kila mmoja kujua hali ya halisi ya mwenzake ikiwepo pia teknologia,kuna kipindi kiongozi wa soviet union nikita krushchev aliwaambia usa nchi yake inauwezo wa kutengeneza makombora ya nyuklia kama soseji ikawapanikisha usa lakini usa walipomhadaa jasusi wa soviet union kuja kwao akawaelezea hali halisi ambayo ni tofauti.
Kama sio hivyo huenda pengine usa wange launch massive nuclear surprise attack ukawa mwanzo WA maafa.
Kwa jinsi nilivyosoma akili ya mbowe ili chadema imtoe ccm inabidi ipenye ndani ya ccm kuchukua watu muhimu(watu wazito Sana) WA ccm.
Watu hao wanajua mbinu zote za ccm kuanzia a to z.mfano namna wanavyocheza na kura nk.sehemu hii ilimshinda slaa ndiyo maana alishindwa 2010,na 2015 angeshindwa tena.
Kwakuwa Ni wazito Sana bado watakuwa na mabaki yao ccm kama vile michezo ya soviet union na USA ilivyokuwa na
inavyokuwa sasa, kumbuka Sakata la Edward Snowden(nsa)na litnyenko (kgb)yule waliomuua kwa sumu london vile vile umeona Sakata la gasper shinyanga
kama wewe unavyotaka kuamini lowasa sio msafi, akija chadema atakuwa na utendaji safi sababu katiba ya chadema na mfumo wake Ni tofauti na ccm,chadema wanawajibisha bila kuoneana aibu.
Baba yake mbowe alikuwa rafiki mkubwa wa mwalimu nyerere kwa muda mrefu kabla ya uhuru na baada ya uhuru,hivyo mbowe amekulia kwenye siasa na biashara Ana mawazo mapana ya kimkakati.