Lowassa amuomba Mbowe amsaidie kwenye kampeni!

Lowassa amuomba Mbowe amsaidie kwenye kampeni!

naona mnasahau kua Lowassa hata alipokua na afya njema, hajawahi kua msemaji. Hata bungeni, mara chache sana Lowassa alikua anaongea. Lowassa ni mtendaji na si msemaji. Tunahitaji mtendaji na si mtu wa kubwabwaja hovyo wakati hakuna kitu anafanya. Mmesahau pia alivyozunguka nchi nzima alipokua Prime Minister, na kutenda mpaka akawa threat kwa mkuu wa kaya. Mimi Lowassa kuongea dakika 5 jukwaani sio tatizo, maana naamini mwisho wa siku atatenda. Mpiga push up, tumba, na kusonga ugali ndio mnamuona anafaa. CCM hakujawahi kua na msafi, sema uchafu hutofautiana. Lakini isiwe Lowassa ndio kawa mwizi kupita wengine. Kama mnataka msafi mtamtafuta sana na hatopatikana.
Kuijibu hoja yako, angalia hii video

 
Last edited by a moderator:
Iwe usiku iwe mchana Lowasa chaguo langu.iwe masika iwe vuli lowasa chaguo langu.awe mgonjwa au mzima yeye ndo nimemchagua.Yoote kosoeni lakini kama kujielezea baba Rizi amefunika wote ila ametufikisha wapiiiiiiiii?uzima si jambo la kukadiria..wapi komba,wapi sharo,wapi kombani,wapi marehemu wooote waliokufa wakiwa wazima bila maradhi yoyote?uchaguzi ni sawa na ndoa,siku ya harusi chereko mkiingia ndani ndo mnajuana vizuri same as the politics.All the best to me for choosing EL..tarehe 25 nabonyeza kidude..Mungu alie juu anajua kipi chema kwa taifa hili.RIP CCM
 
Magufuri kunadi change Anna Ngeleja ni tofauti na ayasemayo hana jipya ccm wameoza Lowassa ni chaguo la Mungu ili kuinusuru nchi...

Hata Kikwete mlisema ni chaguo la mungu lakini mwishoni mkageuka!!! Kila mara wenye imani wanasema kuwa flani ni chaguo la mungu huku wakitegemea watakumbukwa katika ufalme wake waliyesema chaguo la mungu lakin wasipokumbukwa wanaanza kulalamika!!!!! Je unatofautiana vp na walosema Kikwete ni chaguo la mungu na baadaye wakaanza kumnanga kuwa hafai!!!!!
 
Tatizo la Kikwete ni mfumo. Kama angekuwa nje ya mfumo wa ccm angefanya vizuri. Mtu mmoja katika mfumo ulioota mizizi hawezi kitu.
 
Back
Top Bottom