Lowassa alikuwa wapi wakati wa kumuaga Marehemu Samwel Sitta?

Lowassa alikuwa wapi wakati wa kumuaga Marehemu Samwel Sitta?

Leo Ndugu yangu Edward N. Lowassa hakuonekana kwenye kutoa salamu za mwisho kwa Samwel J Sitta.
Je ni kwamba Lowassa anaumwa au bado ana uchungu wa ile kashfa ya Richmond?
Yule Mzee ukimtabitia kuumwa kufa unatangulia wewe hivyo angalia tusije kukukosa JF...
 
Leo Ndugu yangu Edward N. Lowassa hakuonekana kwenye kutoa salamu za mwisho kwa Samwel J Sitta.
Je ni kwamba Lowassa anaumwa au bado ana uchungu wa ile kashfa ya Richmond?
Alikuwa kwa Mungai pia Sitta alikuwa mnafaki tu kupigwa chuni uwaziri mkuu ndio kisa cha yeye kutoa povu kwa Lowasa pia katiba yetu pendekezwa aliivuruga sana mpaka marehemu akaweka wapige kura , so tusipeane sifa za kijinga hata kama mtu kafariki
 
Kwani bila lowasa sita hazikwi ? Kwa hiyo mnataka kipenzi cha watu asisafiri au arudi haraka huko aliko kabla ya kufanya kilichompeleka .Acheni mambo ya kizamani aliyekufa kafa watanzania tuache unafiki wa kupendana siku za misiba tu .Upendo hauhesabu .
 
Ana appointment na Donald trump,USA kwa mazungumzo na mikakati
 
Leo Ndugu yangu Edward N. Lowassa hakuonekana kwenye kutoa salamu za mwisho kwa Samwel J Sitta.
Je ni kwamba Lowassa anaumwa au bado ana uchungu wa ile kashfa ya Richmond?
Bora hakwenda angewafunika wote pamoja na mteule wa rubuva asingeonekana kama yupo nguvu yake ni kubwa sana
 
ENL yupo na mkewe, kamtoe Regina ukae wewe!
 
Bora hakwenda angewafunika wote pamoja na mteule wa rubuva asingeonekana kama yupo nguvu yake ni kubwa sana
Ki itifaki viongozi wanatakiwa kufika kabla ya PrezidaaMsafara wa EL ulikwama kwenye traffic jam na angeingia pale baada ya Prezidaa wewe na mimi tungesema mengine.Muhimu tujue sote njia yetu ni hiyo aliyetangulia nayo Mzee Sitta.
 
Back
Top Bottom