Lowassa alikuwa wapi wakati wa kumuaga Marehemu Samwel Sitta?

Msiba wa sitta hata sisimizi hakutakiwa kuhudhuria ilitakiwa mwili wake uchomwe moto na majivu yake yakatupwe kwenye kina kirefu cha bahari ili kwamba jina lake lipotee milele
 
Leo Ndugu yangu Edward N. Lowassa hakuonekana kwenye kutoa salamu za mwisho kwa Samwel J Sitta.
Je ni kwamba Lowassa anaumwa au bado ana uchungu wa ile kashfa ya Richmond?
Hoja yako ya kipuuzi sana.... Basi tutajie viongozi woooote waliohudhuria. Mbona una gubu hivyo na mzee wa watu. Hapo mtaani kwako kila msiba huwa unahudhuria? .... KAMA WE WA KIUME JIREKEBISHE. MBAAAAAAFU.
 
Kwani jamaa BUKOBA kaenda mbona hamuulizagi hilo mmeng'ang'ania Lowassa
Ee labla aanze kujibu hilo zen twende upande wa pili. Tena baba J c alikuwa na safari ya kwenda .... lkn hakwenda kwa 7bu ya ishu ya bukoba afu sasa hata huko bk hakwenda na adi leo
 
Hoja yako ya kipuuzi sana.... Basi tutajie viongozi woooote waliohudhuria. Mbona una gubu hivyo na mzee wa watu. Hapo mtaani kwako kila msiba huwa unahudhuria? .... KAMA WE WA KIUME JIREKEBISHE. MBAAAAAAFU.
Haha hahah hahahhahah wee jamaaa wewe huna baba? Lowassa ana familia yake na watoto wake wanajulikana, wewe sio mmoja wazo. Uchungu mkali hivyo unaupatia wapi?
 
wewe ulienda msibani kuangalia nani kaenda nani hajaenda? acha umbea mtoto wa kike
 
Msiba wa sitta hata sisimizi hakutakiwa kuhudhuria ilitakiwa mwili wake uchomwe moto na majivu yake yakatupwe kwenye kina kirefu cha bahari ili kwamba jina lake lipotee milele
Povu!
 
Leo Ndugu yangu Edward N. Lowassa hakuonekana kwenye kutoa salamu za mwisho kwa Samwel J Sitta.
Je ni kwamba Lowassa anaumwa au bado ana uchungu wa ile kashfa ya Richmond?
Yuko nje kikazi..alikuwa na Appointment Na USA President-elect .
 
Ndo hapo sasa, wampumzishe khaaa
Mwinyi, mama Mwinyi, mama Mkapa, mama Mwinyi 2 wote hao hawakuwepo sasa Lowasa ni nani nchi hii? Yes alikuwa Waziri mkuu na waziri lakini CCM inamuitaje? Fisadi. Mlitaka aje ili mumung'onge kama Kaka Sumaye alivyoachwa kukaa mbali na Nkapa maili mbili eti sijui aliona ana ukoma pale wakati wa kuaga Mungai??? Heri wafu wazike wafu wao.
 
Kuna lolote limekosekana baada ya yeye kukosekana?
 
Leo Ndugu yangu Edward N. Lowassa hakuonekana kwenye kutoa salamu za mwisho kwa Samwel J Sitta.
Je ni kwamba Lowassa anaumwa au bado ana uchungu wa ile kashfa ya Richmond?
Bado hamjajifunza? Usimjaribu bwana Mungu wako na kumpangia watu wa kutangulia kufa.
 
Back
Top Bottom