Lowassa alikuwa wapi wakati wa kumuaga Marehemu Samwel Sitta?

Lowassa alikuwa wapi wakati wa kumuaga Marehemu Samwel Sitta?

We unamuwaza Lowassa tu......kakufanya nn......?unaumia ukimckia.....kwani Hashim Rungwe alikuwepo...? SIASA ZIMEKUARIBU.
 
Ngoyai angejitokezaa ungesikia mapambio ya wapambe wake. Oooohh hana visasi, ohh ni mtu wa watu. Kwa nini umsafishe wakati hasafishiki!!?? Wajemeni, kama mtu amlikosea na bado ana kinyongo hiyo ni hulka ya binaadamu. Ila ni wajibu wetu kumkumbusha tendo la kusamehe. Sio Ngoyai pekee hata Kapuya anao mtihani mzito kwa walimwengu.
We unamuwaza Lowassa tu......kakufanya nn......?unaumia ukimckia.....kwani Hashim Rungwe alikuwepo...? SIASA ZIMEKUARIBU.
 
Kamanda Lowassa hana kinyongo kamwachia Mungu mbona CCM mmemtukana sana lakini kanyamaza?
Ni kweli hata Chadema walimtukana sana kwa miaka mingi..tena ndo waliwafanya hata ccm wamtukane na kumkaya ili kuua soo.
Hivi sasa nawachukulia poa tu..
 
Lowassa kutohudhuria misiba ya watu hawa wawili sio issue. Kwani kulikuwa hakuna wawakikishi wa Chama pale? Kwa Mungai alikuwepo Sumaye, Msigwa na Prof J, kwa Sitta alikwepo Freeman na wabunge wengine. Shida ipo wapi?
 
Kwa nyongeza kama walikuwa wanataka awepo wangemtumia barua ya mwaliko.
 
Lowassa ni maarufu sana, magamba bila kumtaja hawalali, alaf utafiti ukionesha kuwa umaarufu wa Lowassa unaongezeka mnakataa wakati ninyi wenyewe mnam-popularise.
 
We unamuwaza Lowassa tu......kakufanya nn......?unaumia ukimckia.....kwani Hashim Rungwe alikuwepo...? SIASA ZIMEKUARIBU.
Hashim Rungwe ndio yule aliyechezesha mechi ya Coastal Union na Kinondoni Municipal Council Mkwakwani Tanga na kuambulia kipigo cha mbwa mwizi?
 
Usipende kutafuta jina kwa kumtaja Lowasa. Kuna mawaziri wakuu wengi tu ambao hawakuhudhuria. Ulimuona Msuya pale. Ulimuona Salim pale. Ulimuona Nahodha pale. Ulimuona maalim Seif pale. Ulimuona Dr. Bilal pale ? Ulimuona Pinda pale ? Acha unafiki
 
Braza bujibuji kuna sred yko moja hivi miaka mitatu iliyopita kila nikiikumbuka huwa nacheka sana sijui nani aliamua kukuchafulia jina looh......
Aisee na alivyokauzu hivo pata picha anavyotembea..
 
Back
Top Bottom