Lowassa alikuwa wapi wakati wa kumuaga Marehemu Samwel Sitta?

Lowassa alikuwa wapi wakati wa kumuaga Marehemu Samwel Sitta?

Mie sikumuona mtu muhimu sana mzee wa ruhsa sijuwi yuko wapi?
 
Leo Ndugu yangu Edward N. Lowassa hakuonekana kwenye kutoa salamu za mwisho kwa Samwel J Sitta.
Je ni kwamba Lowassa anaumwa au bado ana uchungu wa ile kashfa ya Richmond?
Braza bujibuji kuna sred yko moja hivi miaka mitatu iliyopita kila nikiikumbuka huwa nacheka sana sijui nani aliamua kukuchafulia jina looh......
 
kwanini mnapenda unalizimisha mtu aonekane mkosefu mbele ya Mungu na hata kwa wanadamu?wewe ni nani hadi uhoji uwepo wa mtu msibani yeye ni nani tuseme yeye ndo nani akiwepo?acheni umbeya haikusaidii
 
Bujibuji fanya mazoezi mkuu kuamsha ubongo huwa unakua na nyuzi nzuri sasa naona unaanza kupotea.
..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] khaaa hii kweli jf ya kiutu uzima looh
 
Back
Top Bottom