Ni wapi wameandika kua Lowasa lazima auhudhurie misiba
Wewe alikua wp mbona hatujakuona? Usilete maswali ya kipumbavu hatutaki ujinga humu.Leo Ndugu yangu Edward N. Lowassa hakuonekana kwenye kutoa salamu za mwisho kwa Samwel J Sitta.
Je ni kwamba Lowassa anaumwa au bado ana uchungu wa ile kashfa ya Richmond?
Mpaka keshoHivi Sita amezikwa?
Mpaka kesho
Labda anaweza akawepoTusubiri kama kesho ataonekana uko kwenye mazishi.
Ugoro unasababisha kansa ya akili.We jiwe kweli yani unauliza swali halafu mwishoni unajijibu kwa swali..punguzeni ugoro unaharibu ubongo huo
Mamvi anaharibu sana kususia msiba. Hata jana hakuonekana kumuaga marehemu Mungai.
uliwaanga ndio nini?Je wewe uliwaanga >:<??????
wewe buji kumbuka viongozi wote wa cccm waliokuwa wanamtukana lowassa kuwa ni mgonjwa kajinyea atafia ikulu hayo sio mambo na wote Mungu kawaona na natumaini Mwenyezi Mungu anamuweka mahali panapostaili.Kwani kuna nini kati ya Mungai na Lowassa?
Jamani, tokea lini Lowassa kahusika na EPA..?