KWEZISHO
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,518
- 6,524
Mhh, kiswahili kina maneno mapya, hili neno ANGEMRUDIDHA sijawahi kulisikia. Hiki ni kiswapare?ANGEMRUDIDHA?
Mhh, kiswahili kina maneno mapya, hili neno ANGEMRUDIDHA sijawahi kulisikia. Hiki ni kiswapare?ANGEMRUDIDHA?
Lowasa sii MTU wa mchezo mchezoLeo Ndugu yangu Edward N. Lowassa hakuonekana kwenye kutoa salamu za mwisho kwa Samwel J Sitta.
Je ni kwamba Lowassa anaumwa au bado ana uchungu wa ile kashfa ya Richmond?
Akujibu nani sasa mpigie mwenyewe,hatupendi maswali ya hovyoLeo Ndugu yangu Edward N. Lowassa hakuonekana kwenye kutoa salamu za mwisho kwa Samwel J Sitta.
Je ni kwamba Lowassa anaumwa au bado ana uchungu wa ile kashfa ya Richmond?
kumbe hujui endelea kuuliziauliwaanga ndio nini?
Lowasa yuko USA ameenda kumpongeza TRUMP kwa kuishinda DEMOCRATICLeo Ndugu yangu Edward N. Lowassa hakuonekana kwenye kutoa salamu za mwisho kwa Samwel J Sitta.
Je ni kwamba Lowassa anaumwa au bado ana uchungu wa ile kashfa ya Richmond?
uliwaanga; umekuwa mkenya?kumbe hujui endelea kuulizia
Ama kweli Lowasa ni habari ya mujini.Leo Ndugu yangu Edward N. Lowassa hakuonekana kwenye kutoa salamu za mwisho kwa Samwel J Sitta.
Je ni kwamba Lowassa anaumwa au bado ana uchungu wa ile kashfa ya Richmond?
Yupo na dada yako
BWM sikumwona kwenye lnunga, Dar wala Dodoma....Daaah,,, Mbona viongozi wengne hawakuepo tyu lowassa kutokuepo tatzo Mbona sumaye alikuepo!
Nyoka wake msipige chenga alikuwa wapi?Ni kwamba hakuwepo.
Mpaka atakaposema yeye kuwa alikuwa wapi ndio tutajua alikokuwa.
Umesoma lakini umeshindwa kujua nimeandika nini!!!!Nyoka wake msipige chenga alikuwa wapi?
Acha kuongea na watoto waliozaliwa mwaka 1999.Jamani, tokea lini Lowassa kahusika na EPA..?
Sasa hamtaki mtu asafiriNi kwamba hakuwepo.
Mpaka atakaposema yeye kuwa alikuwa wapi ndio tutajua alikokuwa.
Misiba iko mingi tu, sio mpaka ya watu maarufu ndio mnao inafaa kila mtu kuwepo. EL alikuwa kwenye mazishi mengine Zenji. Mfurahiini basi, au mlitaka aje, mseme anafanya siasa au mkutano was hadhara?Mamvi anaharibu sana kususia msiba. Hata jana hakuonekana kumuaga marehemu Mungai.
Haya sawa, asante kwa taarifa.Misiba iko mingi tu, sio mpaka ya watu maarufu ndio mnao inafaa kila mtu kuwepo. EL alikuwa kwenye mazishi mengine Zenji. Mfurahiini basi, au mlitaka aje, mseme anafanya siasa au mkutano was hadhara?