Lowassa alikuwa wapi wakati wa kumuaga Marehemu Samwel Sitta?

Lowassa alikuwa wapi wakati wa kumuaga Marehemu Samwel Sitta?

Leo Ndugu yangu Edward N. Lowassa hakuonekana kwenye kutoa salamu za mwisho kwa Samwel J Sitta.
Je ni kwamba Lowassa anaumwa au bado ana uchungu wa ile kashfa ya Richmond?
Ana beef naye hadi siku ya mwisho ya Ngoyai maan pale ndipo alipompotezea ramani za kuwa prezidaa!
 
Ivi ile katiba pendekezwa ilokuwa na maoni halisi ya wananchi amemuachi nani?
 
Hivi kwani aliyefiwa ni Lowassa? Lakini pia kwa mambo ambayo Samweli Sitta, Mwakyembe na Kikwete wamemtendea Lowassa, nitamlaumu sana akihudhuria misiba yao...maana ni hakika ataishi kushuhudia wakifa mmoja baada ya mwingine kabla yake!
 
Sitta na Mwakyembe wanajua wenyewe kwa nini hakuhudhuria ingekuwa unafiki angeenda
 
Leo Ndugu yangu Edward N. Lowassa hakuonekana kwenye kutoa salamu za mwisho kwa Samwel J Sitta.
Je ni kwamba Lowassa anaumwa au bado ana uchungu wa ile kashfa ya Richmond?
Wewe umehudhuria misiba yote iliotokea mtaani kwako?
 
Leo Ndugu yangu Edward N. Lowassa hakuonekana kwenye kutoa salamu za mwisho kwa Samwel J Sitta.
Je ni kwamba Lowassa anaumwa au bado ana uchungu wa ile kashfa ya Richmond?

Hata mimi ninajiuliza mwenyewe "sijui nilikuwa wapi" kwenye kuzika miili ya wazee wetu hawa!!

Sijui nilikuwa naumwa au najiandaa na kampeni za "kumng'oa" Magu na CCM yake wakati wowote kuanzia sasa!!
 
Akitaka kwenda msibani si huwa polisi wanamzuia njiani.
 
Back
Top Bottom