Lowassa Afunika Iringa

Lowassa Afunika Iringa

Mwaga ugali namwaga mchuzi. Kenya wazuri sana, biashara na siasa mbali. Hata hivyo UK aliona Safaricom inataka kususiwa na wapiga kura haraka haraka akauza hisa kwa umma
 
wasalaam;
binafsi ninawasiwasi na afya ya mgombea urais kupitia chadema ndugu lowasa. Ila toka ahamie chadema yakhe hajawahi simama jukwaani zaidi ya dakika kumi.
naomba mliopo iringa mtujuze leo kaweka rekodi ya dakika ngapi?

nimestaajabu nilipoiona picha ya leo iringa mjini, lowasa anaongea lakini kashikiria 'mimbali' kwa nguvu sana na mikono miwili. ni kama amejiegemeza kwayo.

yakhe umejibu kishabiki zaidi. ngoja raia wa kawaida wajibu sheikhe

mbona unatoka povu tu, jibu swali.

ukawa mwaka huu mtapangua ngumi sana. toka kampeni za 1995 sijawahi ona upinzani ukiwa kwenye defencive side kama mwaka huu.

naombeni jibu jamani kwa wananchi wa iringa. najua majukumu ya rais hivyo kabla sijampigia kura lazima nijiridhishe yu mzima haswa. sipendi turudie uchaguzi kabla ya miaka 5

yakhe anataka kuwa rais wa watz, ni dhambi kuulizia afya yake katika kipimo kidogo kabisa cha kusimama dakika 15!

kukauka sauti kwa mwasiasa nadhani siyo tatizo sana wakati wa kampeni.
katafuta pumba nyingine yakhe, hakuna ugonjwa ambao mtu akipanda ndege anaugua

jibu swali, dakika ngapi? kudondoka bila kupoteza fahamu mara mbili ndani miaka kumi siyo tatizo kabisa. maranyingi huwa ni uchovu uliopitiliza/upungufu wa sukari.
Ila usisahau alianguka baada ya kusimama zaidi ya dakika 15

hii hoja ya kubadilisha damu ni ya kilofa na kipumbavu. duniani kote hakuna tena tiba ya kubadilisha damu mwilini. jibu swali kasimama dakika ngapi?

ndiyo, ni moja ya kipimo cha chini sana. physical fitness. tunajua majukumu ya rais, haiingii akilini rais asiyeweza kusimama hata dakika 15 ataweza mudu majukumu ya urais.

jibu swali, kasimama dakika ngapi?

haiwezi malizwa kwa majibu mapesi vile ya sumaye.
wanaume 50+ years wanakuwa na prostate hypertrophy na wachache presha ya juu(hypertension kama sijakosea kizungu). hayo magonjwa hayazuii kabisa ufanisi kazini.
Ila kiharusi/stroke/paralysis na kisukari ni tofauti kabisa - vinashusha kabisa ufanisi wa kazi.
aacha porojo sumaye, watz wa leo siyo wajinga. lowasa ni mhanga wa kiharusi. sasa madhara ya kiharusi ni sawa na madhara ya prostate hypertrophy kwa mtu?!

mbona siku ya kwanza tu lowasa alishindwa zungumza dakika 15? lowasa anafahamika kwa afya mbovu toka apatwe kiharusi.

jibu swali kama ulikuwepo iringa leo, kasimama dakika ngapi jukwaani?
kama hukuwepo nyamaza tu.

unaundugu na sheikhe yahya?
jibu swali hapo juu

We magamba acha kiherehere Ndoroooobo wewe..jibu lako Oct 25
 
Kuna shida gani kususia bidhaa za mfanyabiashara anayejiingiza kuviruga kupinga ukombozi?

Ni dhahiri anafaidika na ukwepaji kodi chini ya ccm.

Naunga mkono bidhaa zake zisinunuliwe na wana ukawa, awauzie hao wanaomsaidia kukwepa kodi!
 
Magufuli alipofunga safari kutoka CHATO mpaka LOLIONDO alikuwa anaugua nini?

dkmagupombe.jpg
 
Mkwere na yule kipipa walikuwa wanatumia masaa mawili hadi matatu kuongea ila hakuna hata kiwanda cha vijiti vyakutolea uchafu maskion...
 
Sisi huku tunasubiri tarehe ya uchaguzi tu. Chama chetu CHADEMA/ UKAWA, Sera yetu MABADILIKO, mgombea/ raisi wetu LOWASA. Nyie endeleeni kupima uhodari wa wagombea kusimama jukwaani kama twiga wa Mikumi. Tumeshafanya maamuzi ccm out.
 
nimestaajabu nilipoiona picha ya leo iringa mjini, lowasa anaongea lakini kashikiria 'mimbali' kwa nguvu sana na mikono miwili. ni kama amejiegemeza kwayo.

Ntampgia kura hata asipotokea kwenye mkutano wowote, maana hakuna namna nyingine sasa.
 
Kwa Mfano Chadema ikichukua Dola, huyu nae atakua waziri. Eeh Mungu epishia mbali..

Utamlinganisha na wale mawaziri mizigo??? Hivi kuna wale kama yule alikuwa Elimu, haya hata huyo alikuwa Naibu wizara hiyohiyo wa mwishoni huyu. Utawalinganisha na Msigwa. !!! Nchi hii ina maajabu sana ingekuwa daladala nngeshashuka.
 
Fidel Castro kaongoza Cuba miaka mingap akiwa kitandan?lowasa hata akiongea dakk 2 zinatosha haina haja ya kuumiza koromeo lake wakt tunamuelewa utendaj wake
 
Bila kumtaja jina; mchungaji msigwa amewataka wanachadema kususia bidhaa za mfanyabiashara mkubwa wa Iringa kwa sababu ya kuwanunua vijana wa Chadema ili wahamie CCM. Source: ITV habari usiku huu.


Wasiponunua bidhaa za mfanyabishara wa kwao maana hata watu walioajiriwa na huyo mfanyabiashara watakuwa kwenye hatari ya kupoteza ajira kwa sababu ya kuyumba kwa biashara! Akili ndogo inatawala akili kubwa!
 
wasalaam;
binafsi ninawasiwasi na afya ya mgombea urais kupitia chadema ndugu lowasa. Ila toka ahamie chadema yakhe hajawahi simama jukwaani zaidi ya dakika kumi.
naomba mliopo iringa mtujuze leo kaweka rekodi ya dakika ngapi?

Nilikuwa nakuheshimu kumbe we GAMBA au ulipouliponzwa na kufanya na Sahara media kwa bw. Diallo.

Rais anayesimama na kusema maneno kibao wa nini yakhe???! Ki kubwa Gamba litoke
 
wewe ndo unaedanganywa mpaka leo hujajua lowasa kaja kuharibu mchezo wa m4c?.......Hivi hujajua kwanini jana kashindwa soma sera ya chama kaiishia kuwahaidi kufatilia kwenye mtandao.

Ntampa kura yangu hivo hivo
 
wasalaam;
binafsi ninawasiwasi na afya ya mgombea urais kupitia chadema ndugu lowasa. Ila toka ahamie chadema yakhe hajawahi simama jukwaani zaidi ya dakika kumi.
naomba mliopo iringa mtujuze leo kaweka rekodi ya dakika ngapi?

hujafa hujaumbika km kweli ni muislam na hilo jina ni lako
sidhani km unaweza kukebehi au dhihaki maradhi ya binadamu mwenzie
MUOGOPE MWENYEZIMUNGU
hujui saa wala dakika ambao MUNGU atakupa mtihani wowote ule hyo ni qadar yake yy
binadamu tunajisahau sana
 
Back
Top Bottom