Nimeamini Dr. Slaa alikua kipenzi cha wana Iringa, Slaa alikua anajaza watu zaidi ya hapo, navyoifahamu Iringa hao watu ni wachache sana tuache ubishi. Slaa alikua akitua pale mwembetogwa palikua hapatoshi
Leo basha wako amekutelekeza?Mshumbushi naona unahangaika sana na bado endelea kuzalishwa na hako kazee pambaf
hatakama atakuwa kwenye machela tutampa tu kura zetu malofa
Kwani yule mgonjwa wa koo kaongea maneno mangapi leo, tuna wasiwasi na afya yake pia. Mbona hataki kupanda ndege na kila akipandwa analazwa?
kamuulize mgombea wenu kwa nini huwa anaenda kubadili damu ulaya kila mweizi kama ni mzima?wasalaam;
binafsi ninawasiwasi na afya ya mgombea urais kupitia chadema ndugu lowasa. Ila toka ahamie chadema yakhe hajawahi simama jukwaani zaidi ya dakika kumi.
naomba mliopo iringa mtujuze leo kaweka rekodi ya dakika ngapi?
Ameongea Dk ngapi?
Babu Duni ndani ya viwanja vya mashujaa Mtwara leo jioni.
We ----- km huyo wenu anaemaliza alikuwa anajidondokea tu jukwaani kaweza kumaliza ten years. Cha ajabu kipi kwa bwn EL? acheni ushabiki wa kijinga
Aisee, kumbe Jangwani sasa ni Iringa. Hivi uongo mtaacha lini nyie UKAWA?
kamuulize mgombea wenu kwa nini huwa anaenda kubadili damu ulaya kila mweizi kama ni mzima?
Sumaye pia alizungumzia madai kuwa Lowassa ni mgonjwa. Alisema mtu akishapita miaka 50 anapata matatizo ya maradhi.
Lakini hata kama mgonjwa, urais unahitaji kiongozi kuwa makini tu, kazi zinafanywa na timu nzuri anayoiteua. Kazi hii anaiweza Mhe Lowassa., amesema.
Sumaye akasema kwamba kama Lowassa anasemwa na viongozi wa CCM kuwa ni mgonjwa, kwani hawajui kuwa Magufuli ni mgonjwa? Anakwenda Ulaya kila mwezi kufanya nini, alihoji.
Taarifa za ndani ya serikali zinasema kwamba Magufuli amekuwa akienda kubadilisha damu Ulaya kutokana na kuugua ugonjwa mkubwa ulio maarufu. Hatua hiyo ya kubadilisha damu kila mwezi inagharimu fedha nyingi ambazo analipiwa na serikali anayoongoza Rais Kikwete.
Babu Duni ndani ya viwanja vya mashujaa Mtwara leo jioni.
Mbona KIKWETE alibinuka pale Jangwani na bado sisi sisi tutamuweka madarakani kipindi kile? Au bado ulikuwa mtoto?Ipo siku atapiga kichwa chini kabisa.
Kumbe uthibitisho wa afya ni kusimama muda mrefu !!!????