DuppyConqueror
JF-Expert Member
- Mar 30, 2014
- 9,466
- 6,970
Kwikwikwikwi...Lowassa ni immobile prezidaaaa....ngoma ya jangwani
Marahaba lowasashikamoo lowassa...
Hii ndio Post bora kuliko zote, jumapili ya leo!tumesha amua malofa hata waseme mwizi, mgonjwa yuko icu lakini tutamchagua huyo
Ameongea Dk ngapi?
Mshumbushi naona unahangaika sana na bado endelea kuzalishwa na hako kazee pambafwataacha October 25....!
"Dakika moja!" Alisalimia tu kisha akakaa! Ila tutampa kura zetu, na tutahakikisha kuwa ndiye Rais wetu ajaye!
Umefurahi?
Ni mafinga iyo mimi nilikuepo