Nitampigia kura hata kama yupo ICU
Hizi ndo mada zinazoletwa baada ya kutoka kupiga komoni na wanzuki
Hata akiwa ICU tutampigia tu kura
mbona wakwenu ana ile kitu dume hamsemi aondoke nyumba nyeupe?Akili za kushikiwa hizi.
Ameongea Dk ngapi?
wewe unafaa nikuitie nzee nkapa akutukane wewe ni lofa na mpumbavu.hii hoja ya kubadilisha damu ni ya kilofa na kipumbavu. Duniani kote hakuna tena tiba ya kubadilisha damu mwilini. Jibu swali kasimama dakika ngapi?
Hotuba ya Lowassa jana uliisoma? Ipo hata humu JF, Ina shida gani ile? Kuna hotuba nzuri kama ile iliyowahi kutolewa na kiongozi wa kisiasa mwaka huu? Hebu isome hapa!yakhe umejibu kishabiki zaidi. ngoja raia wa kawaida wajibu sheikhe
kamvulie suruali akupumlie ndio utajua anasimama muda ganijibu swali, kasimama dakika ngapi?
Ameongea Dk ngapi?
Nani aliwahi kusimama na kusema afya yake. Afya ya mtu ni siri, akitaka atasema.yakhe anataka kuwa rais wa watz, ni dhambi kuulizia afya yake katika kipimo kidogo kabisa cha kusimama dakika 15!