Alikuwa anaongea huku sura yake ikionyesha kapanicHuyu jamaa sijui aliupate huo uchungaji?
Ccm imekufa kifo cha mende nyanga nyanga ndembe ndembe chali!
wewe ni me au ke? Mbona mshakunaku hivyo.
Forum:
Forum:
Forum:
Forum:
Forum:
Forum:
Forum:Hata usipoamini wewe! sisi tunaamini!Nani ataamini kuwa hotuba hii ni ya kwake mwenyewe kama sio ya walioiandaa? Mbona vipaumbele vyake vile vinne havifafanuliwa?
1.elimu,2.elimu, 3.elimu, 4.Kumtoa babu seya na wahalifu sugu.
Pamoja mkuu....!Lowasa ni mpango wa mungu..Tunaikomboa Tanzania yetu hapo October 25
Utakufa wew inayejiona una afya na utamuacha yey asiye na Afya!
Mh msingwa ni mbunge wa kudumu wa jimbo la iringa mjini kama hutaki kula malimao....
Alaf mgonjwa ni mgonjwa tu hawana tofauti hata.unaweza shindwa tembea/simama kwa sababu nyingine na akili yako ikabaki super yakhe. Ila kiharusi kinaathiri akili/uwezo wa kufikiri na kuamua. mhanga wa kiharusi akishindwa simama muda mrefu inatia wasiwasi kama kichwani yupo sawa yakhe