Lowassa Afunika Iringa

Lowassa Afunika Iringa

Lowassa tushamuelewa tangia 2005 alivyokuwa waziri mkuu,tulikua tunasubiri zamu yake ifike tumpe ikulu hata asipopiga kampeni tunampa maana tulishamuelewa kitambo.
 
Na picha zenyewe zinaonekana ni kutoka viwanja tofauti. Mwaka huu tutalishwa propaganda na hivi vyama vya siasa mpaka tutajuta kuzaliwa.

Ahahahahahah, nimejikuta nacheka tu, nakwambia tutajuta si kidogo
 
Kuongea maneno Mengi Sio ndio Kiongozi Bora, Kiongozi Mwingine Anatenda. Tatizo Mitanzania Imezoea Kudanganywa na

Wanasiasa Wabwabwaji. Je Marais wako Waliotangulia kwa Kubwabwaja kwao Unaona Walipotufikisha?.

Kwahiyo zile hotuba za kila mwisho wa mwezi tuzisahau mwanawane
 
Msiwe mnakurupuka kujudge huyo mfanyabiashara kashapokea tuzo nyingi za mlipaji kodi bora...
Watanzania ndo maana hatuendelei badala ya kujitafutilia maendeleo wemyewe tumekaa tunatafutiana chuki kwny biashara
 
kama ndio mfanyabiashara ambayo yupo akilini mwangu basi msigwa kagonga mwamba jamaa namfahmu viziri sana ana nguvu kubwa sana Iringa isitoshe pia amesaidia sana jamii ya wana iringa bila kujali itikadi za chama . Pia huyu bwana ana nguvu sana CCM at my point of view msigwa harudi tena jimbo la iringa.
 
Naona Lori kwa mbaaaali zinasubiria mizigo baada ya speech ya dakika 3 ya mgombea

viwanja vingi vya wazi wanavyo tumia ni viwanja.wenye maroli hupaki kwa ajili ya shughuli zao.leo nipo dodoma uwanja ws barafu kwe mkutano wa cdm pembeni kuna mafuso ya mizigo.
kirumba na furahisha mwanza ni hivo hivo hata hilo eneo iringa yamkini hutumikankm parking ya mafuso
 
Mbona kama imechina hiyòoo

Sio tu imechina, Lowassa muda wa dakika alizoongea kashikilia kimeza, kile kimeza kikichoka kikaanguka, nayeye chali

Afya mgogoro hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Kistuli hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Studio hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Tovuti hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Mahaba hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Nawashukuru sana
 
kama ndio mfanyabiashara ambayo yupo akilini mwangu basi msigwa kagonga mwamba jamaa namfahmu viziri sana ana nguvu kubwa sana Iringa isitoshe pia amesaidia sana jamii ya wana iringa bila kujali itikadi za chama . Pia huyu bwana ana nguvu sana CCM at my point of view msigwa harudi tena jimbo la iringa.
Msigwa amepanic
 
Watu bwana, badala ya kujibu Swali la mwanzisha mada, mnaleta porojo, Swali limeulizwa ameongea dakika ngapi, sio kuwa wewe utampa kura au laa.....

Angalia tu, Usije ukampigia kura akiwa six futi under kwa mahaba uliyonayo kwake.

Wenye majibu tupeni majibu, wenye porojo anzisheni Uzi wenu wa porojo.

Nitampigia kura Ngoyayi
 
Kuongea maneno Mengi Sio ndio Kiongozi Bora, Kiongozi Mwingine Anatenda. Tatizo Mitanzania Imezoea Kudanganywa na

Wanasiasa Wabwabwaji. Je Marais wako Waliotangulia kwa Kubwabwaja kwao Unaona Walipotufikisha?.

Acha kupepesa macho, kiongozi wa kisiasa lazima awe na uwezo wa kujieleza.Kiongozi anatakiwa awe mshawishi na mwenye uwezo wa kujengo hoja.
 
"Dakika moja!" Alisalimia tu kisha akakaa! Ila tutampa kura zetu, na tutahakikisha kuwa ndiye Rais wetu ajaye!

Umefurahi?


Wewe sio wa iringa, kaa chini, tunataka majibu kutoka watu waliopo Iringa, chunga uwezo wako wa kujibu maswali
 
tumesha amua malofa hata waseme mwizi, mgonjwa yuko icu lakini tutamchagua huyo

Mimi naona hilo box la kura lingewekwa kabisaaa mimi nitumbukize yangu niendelee na shughuli zingine. Sihitaji ilani wala laana, Lowassa tu
 
Kurugenzi ya habari hamko makini kipindi hiki... mnazidiwa hata na updates za ACT wasaliti ... angalieni walivo toa updates vizuri kwenye mkutano wao wa leo... kwa hili makene tumahitaji crew itakayo kuwa inatupa updates on the spot na kwa uhakika kwenye kila mkutano wa raisi mtarajuwa.... nimecheki pia kwenye website ya chadema hamana chochote kuhusu kinacho endelea Iringa.... hii hapana makamanda....
.

Website haiko up to date. Hata ilani hamna, achilia mbali hizo kampeni zinazoendelea. Kule green mambo yanakwenda kwa kasi ya kufa ya sauti. Tehetehe
 
Kuna jamaa zangu niliwaambia Tanzania mabadiliko hayazuiliki, watu wamechoka, hata ukiwatazama Watanzania usoni unajua kabisa kuna shida mahali.....na shida ni CCM, mwaka huu hata baba wa Taifa angekuwapo na kuipigia kampeni CCM lazima watanzania wangemuambia Mwalimu tunakuheshimu sana, lakini kwa hili wacha tuchague upande huu........Nchi inanuka rushwa, sasa madawa ya kulevya na meno ya tembo, eti bado mtu anataka tuichague CCM.
 
Back
Top Bottom