Mtingaji
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 1,223
- 367
Kibaki alipata ajali ya gari. Kibaki hakuwa ZEZETA kama LOWASSA. Acha kudanganya watu, zee lenu gonjwa na haliwezi kuwa rais. Rais wetu ni MAGUFULI TU! #HapaKaziTu
Mchapa kazi wa ukweli hawezi kuongea maneno mengi kama amemeza CD ya Hip-Hop. "Hapa Kazi Tu" huku maneno meengi yasiyotekelezeka, tumeshayachoka tangu uhuru. Watu wanataka Rais mwenye maneno machache yanayotekelezeka! LOWASSA ANATOSHA.