Lowassa Afunika Iringa

Lowassa Afunika Iringa

wasalaam;
binafsi ninawasiwasi na afya ya mgombea urais kupitia chadema ndugu lowasa. Ila toka ahamie chadema yakhe hajawahi simama jukwaani zaidi ya dakika kumi.
naomba mliopo iringa mtujuze leo kaweka rekodi ya dakika ngapi?

Leo alichuchumaa na tutampa kura hata akilala huyo ndo raisi wetu
 
Nataman ukawa waunde kikosi kazi official kinatakachodili na utoaji na usambazaji wa habari kwa kasi na staili ya karne ya 21 kwa mfano kama leo wawe wana stream laivu mtandaoni na kurushia mipicha ya kutosha mtandaoni tuwe updated in real time.. Linawezekana kabisa bila shaka
 
Kuongea maneno Mengi Sio ndio Kiongozi Bora, Kiongozi Mwingine Anatenda. Tatizo Mitanzania Imezoea Kudanganywa na

Wanasiasa Wabwabwaji. Je Marais wako Waliotangulia kwa Kubwabwaja kwao Unaona Walipotufikisha?.

wewe ndo unaedanganywa mpaka leo hujajua lowasa kaja kuharibu mchezo wa m4c?.......Hivi hujajua kwanini jana kashindwa soma sera ya chama kaiishia kuwahaidi kufatilia kwenye mtandao.
 
Naona Lori kwa mbaaaali zinasubiria mizigo baada ya speech ya dakika 3 ya mgombea
 
Attachments

  • 1440954675024.jpg
    1440954675024.jpg
    103.7 KB · Views: 695
wasalaam;
binafsi ninawasiwasi na afya ya mgombea urais kupitia chadema ndugu lowasa. Ila toka ahamie chadema yakhe hajawahi simama jukwaani zaidi ya dakika kumi.
naomba mliopo iringa mtujuze leo kaweka rekodi ya dakika ngapi?

Kasimama daika 1...
Kwahyo unasemaje sasa???
 
Hizo porojo za ccm na hoja mfuu. Watanzania hawati rais anaeongea snaaaaa kama cherehani na kutoa ahadi za uongo. Watanzania wanataka man of action sio kubwabwaja mdomo Tu. Na lowasa ndie tunaemuhitaji kwa mabadiliko.

Man of action SI aende Hollywood au unaonaje LOFA!
 
ukawa mwaka huu mtapangua ngumi sana. toka kampeni za 1995 sijawahi ona upinzani ukiwa kwenye defencive side kama mwaka huu.
 
Dakika 3...afu baada ya hapo watu wakaambiwa waelekee kwenye malori 👇
 
naombeni jibu jamani kwa wananchi wa iringa. najua majukumu ya rais hivyo kabla sijampigia kura lazima nijiridhishe yu mzima haswa. sipendi turudie uchaguzi kabla ya miaka 5
 
Na hili limo kwenye ilani ya chama chenu?? Nauliza tu...
 
MUNGU awape nguvu ... wa TZ tunataka mabadilikooooooooooooooooooo
 
wasalaam;
binafsi ninawasiwasi na afya ya mgombea urais kupitia chadema ndugu lowasa. Ila toka ahamie chadema yakhe hajawahi simama jukwaani zaidi ya dakika kumi.
naomba mliopo iringa mtujuze leo kaweka rekodi ya dakika ngapi?

Nitampigia kura hata kama yupo ICU
 
Back
Top Bottom