5523
JF-Expert Member
- Nov 13, 2014
- 2,290
- 2,430
wasalaam;
binafsi ninawasiwasi na afya ya mgombea urais kupitia chadema ndugu lowasa. Ila toka ahamie chadema yakhe hajawahi simama jukwaani zaidi ya dakika kumi.
naomba mliopo iringa mtujuze leo kaweka rekodi ya dakika ngapi?
Yuko mmoja alianguka jukwaani kwa kuongea hatimae alipopata hakutekeleza hata moja mpaka sasa.