joey kooley
Member
- Dec 15, 2014
- 98
- 23
Siasa bwana!
wakati alipoteuliwa kuwa PM
alifurahia sana kulinganishwa na Edward Sokoine....
but akumbuke Sokoine alikufa vipi.....
asije kuwa bila kujijua 'ameomba maombi fulani' yatimizwe lol
Wakuu heshima mbele, kwenye magazeti ya leo imefahamika kuwa Fredrick Lowassa mtoto mkubwa wa EL amereport kuwa UWT wana mpango wa kumuua baba yake kwa kile ambacho hakijawekwa bayana!
Kama ada wanajamvi kwa weledi, tunapenda kujua kimetokea nini ghafla hivyo au ni kujihami baada kushukiwa na kuwalisha sumu baadhi ya wapambanaji wa ufisadi?
Nawasilisha
Edward Lowassa sio mgonjwa huyu mzee ana sumu mwilini wake mungu siku moja atawavua nguo waliomfanyia mambo hayo....mungu yuko nawe mzee wangu haki ni hapa hapa duniani
Huyu mzee Mungu amsaidie ila hawezi kuficha tena, ana Parkinson disease. Asitake kumsingizia binadamu mwenzake labda ye mwenyewe maana zile brandy alizokuwa anakunywa ndo zime-accelerate PD symptoms. Anatakiwa apumzike kwa wingi na kwa mwendo huu muda si mrefu atajikuta katika wheelchair. Tuendelee kumwombea.
Anatafuta huruma za wabongo.... hiyo ni straregy tu kwa wenye akili tunajua, nani atamuua huko UWT wakati wapambe wake hapa kutwa wanatuaminisha usalama wa taifa wanamuunga mkono yeye?
laana ikuangukie wewe na kizazi chako chote...wewe sio binaadamu bali ni shetani
Edward Lowassa sio mgonjwa huyu mzee ana sumu mwilini wake mungu siku moja atawavua nguo waliomfanyia mambo hayo....mungu yuko nawe mzee wangu haki ni hapa hapa duniani
afafanue nini hajui anachokiandika humu anazani na wengine hawajui ,cha kufanya akachukue posho yake tu basi,Mkuu fafanua
ndo maana naomba lowasa awe rais,ili wadanganyika wajionee wenyewe,jinsi watu wanavyojua kula nchi....
afafanue nini hajui anachokiandika humu anazani na wengine hawajui ,cha kufanya akachukue posho yake tu basi,
Mkuu hasikudanganye mtu, mlevi mara nyingi uzungumzia alicho kusudia kusema.Kwa hiyo ni habari za Ulevini?? Mnajua kuwa hizo na Tuhuma kubwa sana kwa Chombo Husika??
lowasa ni popo la ajabu sana yeye alikuwa anatumia aliyekuwa usalama wa taifa Apson mwangoda kuwapa sumu mwakyembena mwandosya sababu ikiwa ni kuondoa list ya baba wa taifa leo hii anajifanya anaongopa
lowasa amekuwa akilipa mishahara ya pekee baadhi ya vibaraka wake walioko ndani ya usalama wa taifa ili kuvurunga mwendnendo wa nchi ,ni mpuuzi sana
anayoyafanya ni upuuzi mtupu,